Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

IMG-20220729-WA0000.jpg

Wanawake wengi ni wahitimu wa hiyo shule hapo juu
 
Banaa weeee siku 6 tuko bize kulala mida ya wanga kuamka majogoo unadhani hiyo siku moja ya kupumzika+kucheza na watoto+ kazi za bustani(hobby kwetu wengine) ,asubuhi kufanya mazoezi ,kwenda kunywa kahawa+other men's talk,kurudi kwenu kuchat nanyi...halafu tuichakate mbususu ukweli wa kuichakata mpaka mridhike na msitake michepuko(mabaharia) halafu majogoo ya siku inayofuata tuamkie katika "cycle" ya kila wiki?!!! Mmmmh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo uanaume majukumu na kuturidhisha vilevile😂😂😂
 
Back
Top Bottom