chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Jan 25, 2023 #1 Dini mda mwengine ni uchizi na ujinga ukifata sana. mtu imani imemkaa mpaka mambo mengine kuendeshwa na mtu wa imani mwenzake. SITASAHAU: Mama mmoja kasababisha mtoto kufariki akishinda kumuombea kwa kudai mapepo wakati ni maralia. kisa chengine kuna ostadh ana wadanganya wasichana kwa kutumia vifungu vya dini kufanya nao ngono. ukija kwangu utatangazwa na ITV
Dini mda mwengine ni uchizi na ujinga ukifata sana. mtu imani imemkaa mpaka mambo mengine kuendeshwa na mtu wa imani mwenzake. SITASAHAU: Mama mmoja kasababisha mtoto kufariki akishinda kumuombea kwa kudai mapepo wakati ni maralia. kisa chengine kuna ostadh ana wadanganya wasichana kwa kutumia vifungu vya dini kufanya nao ngono. ukija kwangu utatangazwa na ITV
professional Driver JF-Expert Member Joined Sep 23, 2022 Posts 2,959 Reaction score 3,510 Jan 25, 2023 #2 kisa chengine kuna ostadh ana wadanganya wasichana kwa kutumia vifungu vya dini kufanya nao ngono. Unaweza kunipa hicho kifungu cha Dini kinacho sema hivyo?
kisa chengine kuna ostadh ana wadanganya wasichana kwa kutumia vifungu vya dini kufanya nao ngono. Unaweza kunipa hicho kifungu cha Dini kinacho sema hivyo?
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Jan 25, 2023 #3 Hata ugali , chai , maziwa nk vinaweza kukumaliza kama hautofuata taratibu sahihi za matumizi yake , utunzaji na upishi..
Hata ugali , chai , maziwa nk vinaweza kukumaliza kama hautofuata taratibu sahihi za matumizi yake , utunzaji na upishi..
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Jan 25, 2023 #4 Stori za kutunga.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 25, 2023 #5 Labda hao wavaa vibarghashia na kobozi, maana hata sura zao hutisha na kukosa nuru hasa wanapokuwa wazee, tofati na wenzao wa upande ule wa kigalatia
Labda hao wavaa vibarghashia na kobozi, maana hata sura zao hutisha na kukosa nuru hasa wanapokuwa wazee, tofati na wenzao wa upande ule wa kigalatia
King 999 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2019 Posts 5,872 Reaction score 8,374 Jan 25, 2023 #6 Nikiwa naongea na mtu afu akaanza ku quote vifungu vya bible au quran hua namuambia neno moja. "kama huwez jenga hoja stay away"
Nikiwa naongea na mtu afu akaanza ku quote vifungu vya bible au quran hua namuambia neno moja. "kama huwez jenga hoja stay away"
professional Driver JF-Expert Member Joined Sep 23, 2022 Posts 2,959 Reaction score 3,510 Jan 25, 2023 #7 LOTH HEMA said: Labda hao wavaa vibarghashia na kobozi, maana hata sura zao hutisha na kukosa nuru hasa wanapokuwa wazee, tofati na wenzao wa upande ule wa kigalatia Click to expand... Mama mmoja kasababisha mtoto kufariki akishinda kumuombea kwa kudai mapepo wakati ni maralia. Maneno ya mtoa post hayo
LOTH HEMA said: Labda hao wavaa vibarghashia na kobozi, maana hata sura zao hutisha na kukosa nuru hasa wanapokuwa wazee, tofati na wenzao wa upande ule wa kigalatia Click to expand... Mama mmoja kasababisha mtoto kufariki akishinda kumuombea kwa kudai mapepo wakati ni maralia. Maneno ya mtoa post hayo