Wanaojikita kwenye dini sana siwapendi na wachukia sana

Wanaojikita kwenye dini sana siwapendi na wachukia sana

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Dini mda mwengine ni uchizi na ujinga ukifata sana. mtu imani imemkaa mpaka mambo mengine kuendeshwa na mtu wa imani mwenzake.

SITASAHAU:
Mama mmoja kasababisha mtoto kufariki akishinda kumuombea kwa kudai mapepo wakati ni maralia.

kisa chengine kuna ostadh ana wadanganya wasichana kwa kutumia vifungu vya dini kufanya nao ngono.

ukija kwangu utatangazwa na ITV
 
kisa chengine kuna ostadh ana wadanganya wasichana kwa kutumia vifungu vya dini kufanya nao ngono.

Unaweza kunipa hicho kifungu cha Dini kinacho sema hivyo?
 
Hata ugali , chai , maziwa nk vinaweza kukumaliza kama hautofuata taratibu sahihi za matumizi yake , utunzaji na upishi..
 
Labda hao wavaa vibarghashia na kobozi, maana hata sura zao hutisha na kukosa nuru hasa wanapokuwa wazee, tofati na wenzao wa upande ule wa kigalatia
 
Nikiwa naongea na mtu afu akaanza ku quote vifungu vya bible au quran hua namuambia neno moja. "kama huwez jenga hoja stay away"
 
Labda hao wavaa vibarghashia na kobozi, maana hata sura zao hutisha na kukosa nuru hasa wanapokuwa wazee, tofati na wenzao wa upande ule wa kigalatia
Mama mmoja kasababisha mtoto kufariki akishinda kumuombea kwa kudai mapepo wakati ni maralia.

Maneno ya mtoa post hayo
 
Back
Top Bottom