Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #21
Wonders shall never end.Mpumbavu kwa lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wonders shall never end.Mpumbavu kwa lipi?
Nimewalenga nyie ambao hamna mnachoingiza katika social networks ,mnafatilia Maisha ya watu na umbea tuHizi ni akili zaidi ya upumbavu, hujui maisha ya watu yanategemea social network kiasi gani.
Kujiita Dr kwa akili za kijinga kama hizi ni kuwadhalilisha wanataaluma.
Nashauri ujiite Tabibu.
hilo a chemical hata bidhaa za cocacola si za kupendelea kunywa.Anafanya kazi ya kuua biashara ya juice za azam
Teh teh ili jamaa bado lipo uko fesibuku aisee ni jinga sana kuna kipindi lilikimbiza sijui linaleta utabiri Magu alivyokufa likaanza kutunga stor eti lilioteshwa picha nzima itavyokua mpaka chuma kudedi upuuzi mtupuDr William Mtanzania wa Marekani alichonambia leoView attachment 2532793View attachment 2532795
Teh teh ili jamaa bado lipo uko fesibuku aisee ni jinga sana kuna kipindi lilikimbiza sijui linaleta utabiri Magu alivyokufa likaanza kutunga stor eti lilioteshwa picha nzima itavyokua mpaka chuma kudedi upuuzi mtupu
Ni kweli.Wonders shall never end.
Kama hujui umuhimu wa Facebook hujui lolote kuhusu social media. In short wewe ni wakuja kutoka kwenu Kyelimilile. Ni sawa na asiyejua kuendesha gari manual akijitapa ni mjuzi wa magariMimi nikiona Mtu anatumia Facebook namuonaga mpumbavu tu
Hiyo umetumia lugha ya picha huwezi kuelewa Kama Akili ndogo Mimi Facebook nimejiunga 2007 Sasa wewe dogo ulikuwa wapi miaka hiyo?Kama hujui umuhimu wa Facebook hujui lolote kuhusu social media. In short wewe ni wakuja kutoka kwenu Kyelimilile. Ni sawa na asiyejua kuendesha gari manual akijitapa ni mjuzi wa magari
Umetumwa na Azam embe?Nakubaliana na wewe, utafiti wangu inaonesha ni mtu anayetumia internet kuungauñga taarifa zake Sasa shida anapitiliza.
Angekuwa smart kichwani asingejifanya anajuwa kila kitu hata Mimi nilikuwa namfuatilia consultantion zake za kitabibu.
Lakini Sasa hivi baada ya kujifanya na yeye ni Mganga wa kienyeji na yeye Kungwi na yeye ni mtabiri nimepuuza kabisa na nahitaji Sasa tumuexpose Dr William ni nani na je hii ndio Picha yake?View attachment 2515708
Utabiri, sayansi za kubahatisha ni usenge tu. Yupo mtaalam kama huyu mbagala kizuiani anakujua uchawi kwelikweli na anatibia sana ila alipoanza kunitabiria nikamuona huyu jamaa jau. Anatumia sayansi dhahania alafu Common thoughts. Ananambia huyo mwanamke unayemuona Kila mara kwenye ndoto zako ukimuona laiv utamjua?. Nikamjibu simjui... Nikamuona katumbua macho... Ooh nikuandikie kombe ukaoge. Nikamtema mazima mana alipiga ramli chonganishiKuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William.
Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku zinavyokwenda anazidi kuvaa uhusika mbalimbali kwamba yeye ni Sangoma, yeye ni Astrologist na blah blah kibao.
Binafsi sina tatizo naye lakini naamini Allah ndio mjuzi zaidi, haiwezekani Dr William kila jambo Sasa hivi anarukia na kujifanya anajuwa zaidi.
Sasa si vibaya Kwa sababu hapa JF ndio huwa tunaanzia wengine wanapoishia basi Kwa thread hii naomba tumjuwe vizuri huyu Dr William Mtanzania wa Marekani ni nani je hizi ni Picha zake halisi? Na kama siyo anaficha nini? Na kama hizi Picha siyo zake je mwenye Picha hizi anaitwa nani?
To cut short the whole story naomba hii thread iwe maalum kuyajuwa makandokando yote ya kiumbe huyu kutoka undefined to reviled.
View attachment 2515696View attachment 2515697
Yani Bongo ukiwa kauzu na ukiwa huna mshipa wa noma lazima uwe tajiri.Nliona pia linajiandikia ujumbe Alf linajijibu likimaliza linascreenshot linatuma ety ushuhuda 😂😂😂😂😂
Tapeli kabisa hilo.Yani Bongo ukiwa kauzu na ukiwa huna mshipa wa noma lazima uwe tajiri.
Huyu jamaa bila kupepesa macho ni tapeli tu.
Si kweliPia ni member wa wajenzi huru
KWANZA NISEME KUWA SIPO HAPA KUPIGANA NA KUBISHANA NA MTU ILA NIPO HAPA KUTAKA KUJUA SWALI MOJA KWAMBA MTU ANAWEZA AKAWA ANATUMIA PICHA NDIO SIO YAKE ILA UZITO WA MHIMU TUKAUTUPA KWINGINE SABABU SIONI UZITO WA MTU NI ZILE CONTENT ALIZO NAZO NA SIO PICHA ALIZONAZO YANI NI SAWA NA KIGOGO AMBAYE WATU WANAWAZA KUMJUA HATA KWA SURA ILA WANASAHAU ZILE CONTENT NDIO KITU MHIMU KINA MATTER NA SIO PICHA NADHANI TUKIJA UPANDE WA PILI UTAONA KWAMBA PICHA sio mada mhimu hapa kikubwa tuangalie tunaisadia vipi jamii katika changamoto za kiafya na maswala ya kiuchumi.Kuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William.
Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku zinavyokwenda anazidi kuvaa uhusika mbalimbali kwamba yeye ni Sangoma, yeye ni Astrologist na blah blah kibao.
Binafsi sina tatizo naye lakini naamini Allah ndio mjuzi zaidi, haiwezekani Dr William kila jambo Sasa hivi anarukia na kujifanya anajuwa zaidi.
Sasa si vibaya Kwa sababu hapa JF ndio huwa tunaanzia wengine wanapoishia basi Kwa thread hii naomba tumjuwe vizuri huyu Dr William Mtanzania wa Marekani ni nani je hizi ni Picha zake halisi? Na kama siyo anaficha nini? Na kama hizi Picha siyo zake je mwenye Picha hizi anaitwa nani?
To cut short the whole story naomba hii thread iwe maalum kuyajuwa makandokando yote ya kiumbe huyu kutoka undefined to reviled.
View attachment 2515696View attachment 2515697
KWANZA NISEME KUWA SIPO HAPA KUPIGANA NA KUBISHANA NA MTU ILA NIPO HAPA KUTAKA KUJUA SWALI MOJA KWAMBA MTU ANAWEZA AKAWA ANATUMIA PICHA NDIO SIO YAKE ILA UZITO WA MHIMU TUKAUTUPA KWINGINE SABABU SIONI UZITO WA MTU NI ZILE CONTENT ALIZO NAZO NA SIO PICHA ALIZONAZO YANI NI SAWA NA KIGOGO AMBAYE WATU WANAWAZA KUMJUA HATA KWA SURA ILA WANASAHAU ZILE CONTENT NDIO KITU MHIMU KINA MATTER NA SIO PICHA NADHANI TUKIJA UPANDE WA PILI UTAONA KWAMBA PICHA sio mada mhimu hapa kikubwa tuangalie tunaisadia vipi jamii katika changamoto za kiafya na maswala ya kiuchumi.Dr William Mtanzania wa Marekani alichonambia leoView attachment 2532793View attachment 2532795