Wanaojua Dkt. William Mtanzania wa USA. Je, Profile picha ni yake?

Wanaojua Dkt. William Mtanzania wa USA. Je, Profile picha ni yake?

Karibu kilingeni, naona uzi huu mpo madaktari wengi, ni matumaini yangu utawatoa dukuduku wale wote wenye mashaka juu yako kwa yale wanayohitaji kufahamu toka kwako.
Doctor William Mtanzania
Dr Matola PhD
DR HAYA LAND


Kwa kweli.


Kila siku kuna mapya ya kuendelea kujifunza.

Muite na Dr Namugari, Dr Mambo na Drs wengine wote bila kumsahau Nesi Mkunga aje kusaidia kuandika notes.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William.

Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku zinavyokwenda anazidi kuvaa uhusika mbalimbali kwamba yeye ni Sangoma, yeye ni Astrologist na blah blah kibao.

Binafsi sina tatizo naye lakini naamini Allah ndio mjuzi zaidi, haiwezekani Dr William kila jambo Sasa hivi anarukia na kujifanya anajuwa zaidi.

Sasa si vibaya Kwa sababu hapa JF ndio huwa tunaanzia wengine wanapoishia basi Kwa thread hii naomba tumjuwe vizuri huyu Dr William Mtanzania wa Marekani ni nani je hizi ni Picha zake halisi? Na kama siyo anaficha nini? Na kama hizi Picha siyo zake je mwenye Picha hizi anaitwa nani?

To cut short the whole story naomba hii thread iwe maalum kuyajuwa makandokando yote ya kiumbe huyu kutoka undefined to reviled.

View attachment 2515696View attachment 2515697
😂😂😂
 
Back
Top Bottom