Doctor William wa USA
Member
- Jul 6, 2018
- 7
- 10
unaposema utaperi naomba uwe basi unasema nimetaperi nini sio kuongea kwa kuwaza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maadamu hakuna aliyedai kuwa picha yake tukubali kuwa ndiye yeye, achana naye. Duniani unaeeza ukaishi kokote kule na ukapiga hela kwa kufanya kazi za maokoto bila kumsumbua mtu, sasa wewe unamtakia nini? Kama picha umeikuta kwenye pochi ya mkeo yamalizeni wenyewe, hakujui humjui.Kuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William.
Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku zinavyokwenda anazidi kuvaa uhusika mbalimbali kwamba yeye ni Sangoma, yeye ni Astrologist na blah blah kibao.
Binafsi sina tatizo naye lakini naamini Allah ndio mjuzi zaidi, haiwezekani Dr William kila jambo Sasa hivi anarukia na kujifanya anajuwa zaidi.
Sasa si vibaya Kwa sababu hapa JF ndio huwa tunaanzia wengine wanapoishia basi Kwa thread hii naomba tumjuwe vizuri huyu Dr William Mtanzania wa Marekani ni nani je hizi ni Picha zake halisi? Na kama siyo anaficha nini? Na kama hizi Picha siyo zake je mwenye Picha hizi anaitwa nani?
To cut short the whole story naomba hii thread iwe maalum kuyajuwa makandokando yote ya kiumbe huyu kutoka undefined to reviled.
View attachment 2515696View attachment 2515697
Madaktari wagaigai watatu wanapambana kwa Uzi mmoja 😀😀Hizi ni akili zaidi ya upumbavu, hujui maisha ya watu yanategemea social network kiasi gani.
Kujiita Dr kwa akili za kijinga kama hizi ni kuwadhalilisha wanataaluma.
Nashauri ujiite Tabibu.
Umejileta, subiri nimalize Dominica nitarudi hapa, halafu uniandalie majibu Soda aina Fanta inaweza vipi kutibu tatizo la jicho lenye cataract!unaposema utaperi naomba uwe basi unasema nimetaperi nini sio kuongea kwa kuwaza tu
Karibu kilingeni, naona uzi huu mpo madaktari wengi, ni matumaini yangu utawatoa dukuduku wale wote wenye mashaka juu yako kwa yale wanayohitaji kufahamu toka kwako.unaposema utaperi naomba uwe basi unasema nimetaperi nini sio kuongea kwa kuwaza tu
Kwahiyo wewe fulu dokta unapraktiz kabisa hapa tanzania au?KWANZA NISEME KUWA SIPO HAPA KUPIGANA NA KUBISHANA NA MTU ILA NIPO HAPA KUTAKA KUJUA SWALI MOJA KWAMBA MTU ANAWEZA AKAWA ANATUMIA PICHA NDIO SIO YAKE ILA UZITO WA MHIMU TUKAUTUPA KWINGINE SABABU SIONI UZITO WA MTU NI ZILE CONTENT ALIZO NAZO NA SIO PICHA ALIZONAZO YANI NI SAWA NA KIGOGO AMBAYE WATU WANAWAZA KUMJUA HATA KWA SURA ILA WANASAHAU ZILE CONTENT NDIO KITU MHIMU KINA MATTER NA SIO PICHA NADHANI TUKIJA UPANDE WA PILI UTAONA KWAMBA PICHA sio mada mhimu hapa kikubwa tuangalie tunaisadia vipi jamii katika changamoto za kiafya na maswala ya kiuchumi.
Zipo hoja za msingi kama zilivyo tanguliwa kusema, naweza kusema kila mtu akila binadamu ana mdomo pia ana fikira anaweza kusema kile anacho feel kuwa anaweza kukisema kutokana na mawazo yake binafsi ukweli nikwamba zipo porojo za watu wanasema kwamba mimi nitaperi hebu tujiulize ni nani ambaye nimewahi kumtaperi mfano mzuri ni watu ambao waliwahi kuja inbox yangu na wao walikuja kama wateja wangu kwa sababu hiyo walikuja sio wateja ila walikuja kama wapelelezi kwangu sababu huduma yangu natoa ushauri na matibabu na kama mtu anakuja kwangu still ninazo dawa hebu niulize mtu akija kuuliza dawa utampa dawa bure au dawa utauza na kama nitauza hizo dawa beba usika kwamba wewe ndio mimi daktari una dawa unauza utampa mgonjwa huyu bure au atachangia sehemu ya ofisi,
pia tujiulize swali dogo kwamba huduma yangu imekuwa ya watu wengi wanachangia 1,000 na wenye 5,000 lengo kubwa niwazo ambalo tulitaka kuanzisha ofisi Tanzania, sasa kuna swali, hapa kuna ubaya gani kama mtu nimfuasi wangu akija nikamwomba achangie ujenzi na support ya ofisi hapo nakosea na huo ni utaperi aya sasa ofisi baada ya wale wachache kuchangia tulianzisha na ipo na inafanya kazi kwa kutumia mchango wa wale ambao walikuwa na imani kuwa nipo kusaidia wengine na wao wanaguswa kusaidia kila nacho kifanya tuache roho binafsi kwamba mtu akifanya kitu chema upande wapili anakuwa kama anabana ridhiki isiwe hivyo sisi wote ni waafrika tunapoishi kwa majungu na kusingiziana vitu hakuna ambaye yupo bora sisi ni wana wa mama afarika ngozi zetu nyeusi sisi ndio watu wa kwanza kupigana majungu na sio kusaidiana mtu asonge mbele kama mtu anakosea kuchangia anakosea kuomba wafuasi wake mchango ni kheri kumpa ushauri asiombe na mpe sababu na sio kumpoiga vijembe na kumjadili kisa tu anasaidia wengine au kisa tu hamjui kwa picha huo ni ushamba na siku zote wema huwa hawafi kwa mambo ya kijinga
Uko deep sana.Nilivyoiona hiyo picha tu...nikaitambua...
Hakuna Dr hapo .. hiyo picha iko viral sana google...
Nilianza kuiona na kuipenda tangu 2012... Baada ya kusearch "Doctor photos"
Labda mimi ndie sijui... Ila nenda kwenye Goole photos.. image search... Itakuletea ukweli wa hicho nnachokwambia...
Teknolojia haijawahi danganya... Huyo ni kama marehemu ng'wizukulu jilala... Ama msanii Jj mwaka!
Mpigaji wa Daraja la kwanza!
Umekuja JF huku ndio utakuwa mwisho wa Utapeli wako, wait n see.KWANZA NISEME KUWA SIPO HAPA KUPIGANA NA KUBISHANA NA MTU ILA NIPO HAPA KUTAKA KUJUA SWALI MOJA KWAMBA MTU ANAWEZA AKAWA ANATUMIA PICHA NDIO SIO YAKE ILA UZITO WA MHIMU TUKAUTUPA KWINGINE SABABU SIONI UZITO WA MTU NI ZILE CONTENT ALIZO NAZO NA SIO PICHA ALIZONAZO YANI NI SAWA NA KIGOGO AMBAYE WATU WANAWAZA KUMJUA HATA KWA SURA ILA WANASAHAU ZILE CONTENT NDIO KITU MHIMU KINA MATTER NA SIO PICHA NADHANI TUKIJA UPANDE WA PILI UTAONA KWAMBA PICHA sio mada mhimu hapa kikubwa tuangalie tunaisadia vipi jamii katika changamoto za kiafya na maswala ya kiuchumi.
Zipo hoja za msingi kama zilivyo tanguliwa kusema, naweza kusema kila mtu akila binadamu ana mdomo pia ana fikira anaweza kusema kile anacho feel kuwa anaweza kukisema kutokana na mawazo yake binafsi ukweli nikwamba zipo porojo za watu wanasema kwamba mimi nitaperi hebu tujiulize ni nani ambaye nimewahi kumtaperi mfano mzuri ni watu ambao waliwahi kuja inbox yangu na wao walikuja kama wateja wangu kwa sababu hiyo walikuja sio wateja ila walikuja kama wapelelezi kwangu sababu huduma yangu natoa ushauri na matibabu na kama mtu anakuja kwangu still ninazo dawa hebu niulize mtu akija kuuliza dawa utampa dawa bure au dawa utauza na kama nitauza hizo dawa beba usika kwamba wewe ndio mimi daktari una dawa unauza utampa mgonjwa huyu bure au atachangia sehemu ya ofisi,
pia tujiulize swali dogo kwamba huduma yangu imekuwa ya watu wengi wanachangia 1,000 na wenye 5,000 lengo kubwa niwazo ambalo tulitaka kuanzisha ofisi Tanzania, sasa kuna swali, hapa kuna ubaya gani kama mtu nimfuasi wangu akija nikamwomba achangie ujenzi na support ya ofisi hapo nakosea na huo ni utaperi aya sasa ofisi baada ya wale wachache kuchangia tulianzisha na ipo na inafanya kazi kwa kutumia mchango wa wale ambao walikuwa na imani kuwa nipo kusaidia wengine na wao wanaguswa kusaidia kila nacho kifanya tuache roho binafsi kwamba mtu akifanya kitu chema upande wapili anakuwa kama anabana ridhiki isiwe hivyo sisi wote ni waafrika tunapoishi kwa majungu na kusingiziana vitu hakuna ambaye yupo bora sisi ni wana wa mama afarika ngozi zetu nyeusi sisi ndio watu wa kwanza kupigana majungu na sio kusaidiana mtu asonge mbele kama mtu anakosea kuchangia anakosea kuomba wafuasi wake mchango ni kheri kumpa ushauri asiombe na mpe sababu na sio kumpoiga vijembe na kumjadili kisa tu anasaidia wengine au kisa tu hamjui kwa picha huo ni ushamba na siku zote wema huwa hawafi kwa mambo ya kijinga
Mimi baada ya kuona unaandika 'mhimu' badala ya 'muhimu'KWANZA NISEME KUWA SIPO HAPA KUPIGANA NA KUBISHANA NA MTU ILA NIPO HAPA KUTAKA KUJUA SWALI MOJA KWAMBA MTU ANAWEZA AKAWA ANATUMIA PICHA NDIO SIO YAKE ILA UZITO WA MHIMU TUKAUTUPA KWINGINE SABABU SIONI UZITO WA MTU NI ZILE CONTENT ALIZO NAZO NA SIO PICHA ALIZONAZO YANI NI SAWA NA KIGOGO AMBAYE WATU WANAWAZA KUMJUA HATA KWA SURA ILA WANASAHAU ZILE CONTENT NDIO KITU MHIMU KINA MATTER NA SIO PICHA NADHANI TUKIJA UPANDE WA PILI UTAONA KWAMBA PICHA sio mada mhimu hapa kikubwa tuangalie tunaisadia vipi jamii katika changamoto za kiafya na maswala ya kiuchumi.
Zipo hoja za msingi kama zilivyo tanguliwa kusema, naweza kusema kila mtu akila binadamu ana mdomo pia ana fikira anaweza kusema kile anacho feel kuwa anaweza kukisema kutokana na mawazo yake binafsi ukweli nikwamba zipo porojo za watu wanasema kwamba mimi nitaperi hebu tujiulize ni nani ambaye nimewahi kumtaperi mfano mzuri ni watu ambao waliwahi kuja inbox yangu na wao walikuja kama wateja wangu kwa sababu hiyo walikuja sio wateja ila walikuja kama wapelelezi kwangu sababu huduma yangu natoa ushauri na matibabu na kama mtu anakuja kwangu still ninazo dawa hebu niulize mtu akija kuuliza dawa utampa dawa bure au dawa utauza na kama nitauza hizo dawa beba usika kwamba wewe ndio mimi daktari una dawa unauza utampa mgonjwa huyu bure au atachangia sehemu ya ofisi,
pia tujiulize swali dogo kwamba huduma yangu imekuwa ya watu wengi wanachangia 1,000 na wenye 5,000 lengo kubwa niwazo ambalo tulitaka kuanzisha ofisi Tanzania, sasa kuna swali, hapa kuna ubaya gani kama mtu nimfuasi wangu akija nikamwomba achangie ujenzi na support ya ofisi hapo nakosea na huo ni utaperi aya sasa ofisi baada ya wale wachache kuchangia tulianzisha na ipo na inafanya kazi kwa kutumia mchango wa wale ambao walikuwa na imani kuwa nipo kusaidia wengine na wao wanaguswa kusaidia kila nacho kifanya tuache roho binafsi kwamba mtu akifanya kitu chema upande wapili anakuwa kama anabana ridhiki isiwe hivyo sisi wote ni waafrika tunapoishi kwa majungu na kusingiziana vitu hakuna ambaye yupo bora sisi ni wana wa mama afarika ngozi zetu nyeusi sisi ndio watu wa kwanza kupigana majungu na sio kusaidiana mtu asonge mbele kama mtu anakosea kuchangia anakosea kuomba wafuasi wake mchango ni kheri kumpa ushauri asiombe na mpe sababu na sio kumpoiga vijembe na kumjadili kisa tu anasaidia wengine au kisa tu hamjui kwa picha huo ni ushamba na siku zote wema huwa hawafi kwa mambo ya kijinga
Nilivyoiona hiyo picha tu...nikaitambua...
Hakuna Dr hapo .. hiyo picha iko viral sana google...
Nilianza kuiona na kuipenda tangu 2012... Baada ya kusearch "Doctor photos"
Labda mimi ndie sijui... Ila nenda kwenye Goole photos.. image search... Itakuletea ukweli wa hicho nnachokwambia...
Teknolojia haijawahi danganya... Huyo ni kama marehemu ng'wizukulu jilala... Ama msanii Jj mwaka!
Mpigaji wa Daraja la kwanza!
easy9ja.com
Ndio ni picha ya mtandaoni, ni model mmoja sema nimemsahau jinaNilivyoiona hiyo picha tu...nikaitambua...
Hakuna Dr hapo .. hiyo picha iko viral sana google...
Nilianza kuiona na kuipenda tangu 2012... Baada ya kusearch "Doctor photos"
Labda mimi ndie sijui... Ila nenda kwenye Goole photos.. image search... Itakuletea ukweli wa hicho nnachokwambia...
Teknolojia haijawahi danganya... Huyo ni kama marehemu ng'wizukulu jilala... Ama msanii Jj mwaka!
Mpigaji wa Daraja la kwanza!
DJ Walete, huyu kajileta mwenyewe, hapa JF ndio utakuwa mwisho wa Utapeli wake na kuungaunga story.View attachment 2819031
Uki reverse search hiyo picha kwenye google images, inakuja na mpaka na kichwa cha Obama![]()
NMA vs FMoH: Ebola turn at Nigerian Resident Doctors
Diseases can be terrible; how much more epidemics? It was barely a week ago that I came down with fever, malaise and highly disturbing diarrhoea. It was just after I'd (unsuccessfully) treated malaria with drugs of questionable originality; they had been much cheaper. So my first differential...easy9ja.com
Ilishatred sana hii picha
Huyu sijui katokea pori gani?
Jina la mwisho anaitwa Brown na jina la kwanza linafanana na barafu kingereza.Ndio ni picha ya mtandaoni, ni model mmoja sema nimemsahau jina
Hiyo mitishamba unaweza kuitaja?Mimi binafsi simuoni kama tapeli maana amenisaidia hasa hii miti shamban yupo vizuri sana huyu jamaa na anafundisha Bure! Shida ni kwenye kutabiri mara mechi za Simba na Yanga na mambo ya siasa walakini angejikita kwenye taaluma Yake. Jamaa mara atabiri ajari mara magonjwa Kwa wasanii hapo ndo anabugi Kwa sababu ajari zipo tu
Yes mkuuHiyo mitishamba unaweza kuitaja?
Mshenzi wewe unavidonda vya tumbo na mimi Doctor William nipo hapa [emoji35]Hiyo mitishamba unaweza kuitaja?
LEO NATAKA KUWAPA DAWA YA KUTOA HARAFUHiyo mitishamba unaweza kuitaja?
So Genta naye ni tapeli kumbeHuyo jamaa ni tapeli, katapeli washamba wengi kwakujifanya anatibu ukimwi.
Anatumia picha ya mwanamitindo flan uko majuu.
Mbwembwe zake wala zisikuumize kichwa hana tofauti na popoma genta.