Wanaojua Dkt. William Mtanzania wa USA. Je, Profile picha ni yake?

Maadamu hakuna aliyedai kuwa picha yake tukubali kuwa ndiye yeye, achana naye. Duniani unaeeza ukaishi kokote kule na ukapiga hela kwa kufanya kazi za maokoto bila kumsumbua mtu, sasa wewe unamtakia nini? Kama picha umeikuta kwenye pochi ya mkeo yamalizeni wenyewe, hakujui humjui.
 
Hizi ni akili zaidi ya upumbavu, hujui maisha ya watu yanategemea social network kiasi gani.

Kujiita Dr kwa akili za kijinga kama hizi ni kuwadhalilisha wanataaluma.

Nashauri ujiite Tabibu.
Madaktari wagaigai watatu wanapambana kwa Uzi mmoja 😀😀
 
Kwahiyo wewe fulu dokta unapraktiz kabisa hapa tanzania au?
hebu toa majina yako kamili tuyadukue....
 
Nilivyoiona hiyo picha tu...nikaitambua...

Hakuna Dr hapo .. hiyo picha iko viral sana google...

Nilianza kuiona na kuipenda tangu 2012... Baada ya kusearch "Doctor photos"

Labda mimi ndie sijui... Ila nenda kwenye Goole photos.. image search... Itakuletea ukweli wa hicho nnachokwambia...




Teknolojia haijawahi danganya... Huyo ni kama marehemu ng'wizukulu jilala... Ama msanii Jj mwaka!



Mpigaji wa Daraja la kwanza!
 
Uko deep sana.
 
Umekuja JF huku ndio utakuwa mwisho wa Utapeli wako, wait n see.

Kuna Mtu mzito amekimbia hapa JF.
 
Mimi baada ya kuona unaandika 'mhimu' badala ya 'muhimu'
'Taperi'badala ya 'tapeli' nimegundua ww ni wa mchongo
na ulivyotumia maandishi makubwa ndo basi tena ......wale wale...
 

Uki reverse search hiyo picha kwenye google images, inakuja na mpaka na kichwa cha Obama
Ilishatred sana hii picha
Huyu sijui katokea pori gani?
 
Ndio ni picha ya mtandaoni, ni model mmoja sema nimemsahau jina
 
DJ Walete, huyu kajileta mwenyewe, hapa JF ndio utakuwa mwisho wa Utapeli wake na kuungaunga story.
 
Mimi binafsi simuoni kama tapeli maana amenisaidia hasa hii miti shamban yupo vizuri sana huyu jamaa na anafundisha Bure! Shida ni kwenye kutabiri mara mechi za Simba na Yanga na mambo ya siasa walakini angejikita kwenye taaluma Yake. Jamaa mara atabiri ajari mara magonjwa Kwa wasanii hapo ndo anabugi Kwa sababu ajari zipo tu
 
Hiyo mitishamba unaweza kuitaja?
 
Hiyo mitishamba unaweza kuitaja?
Mshenzi wewe unavidonda vya tumbo na mimi Doctor William nipo hapa [emoji35]

Kuku wewe, nakupa dawa itakusaidia sasa ole wako ukawapw wengine kwa hela mshenzi wewe,

Chukua haya majani faster nimesema, chizi wewe unazuba nini 🥸

Chukua yaoshe,
Afu yaponde ponde, yawe kama kisamvu.

Safi,
Yachemshe [emoji91] wacha yaive kuku wewe, kwani mimi ndio nilikupa madonda ya tumbo, siujinga wako unakula mdaa umeenda, ulidhani usingepata madonda ya tumbo mbuzi wewe,

Kula ni kwa faida yako,
Nyagau wewe, kula hadi ukumbushwe, mdaa na kula wewe upo busy na umbea kenge kabisa wewe,

Nakuona unavyosoma huku unacheka [emoji16] aya chukua chukua glass uwe unakumix na majivu ya mkaa ambayo yamechujwa kisha _ kijiko kimoja koroga kunywa kila siku asubhi.

Ukiendelea kuumwa vidonda vya tumbo niite taperi nipo hapa nasubiri mrejesho...

Tikiti ni SoMo jingine na huo mmea ndo kazungumzia vingi inshort masomo ni mengi kama hujamfatalia unaweingia fb ukampata sema amejaa matusi yasiyo na sababu nk. Kuhusu kuomba pesa halazimishi mtu mwenyew sijawahi tuma Hela ukiamua kutapeliwa basi ni wewe wengine tunafaidika na mambo mengi kule
 
Hiyo mitishamba unaweza kuitaja?
LEO NATAKA KUWAPA DAWA YA KUTOA HARAFU

Kinywa chako kinatoa harufu, isiyoeleweka hata unakosa kukaa na kuongea na watu sababu ya harafu.

Basi chukua huu ushauri wangu utakusaidia, sana

Chukua
1. LIMAO 1
2. CHUMVI KIJIKO 1
3. MDARASINI VIJIKO 3
4. PUNJE ZA KARAFU

JINSI YA KUCHANGANYA
(Hii mix yako utakapoianda, hakikisha unatumia usiku na asubhi) maana faida yake pia hungalisha na meno kuwa masafi na hata kutibu kama meno yametoboka.

Anza kwa kusaga karafuu upate unga laini, na mix na unga wa mdarasini

Mix chumvi kwenye bakuri, pana kisha tia maji ya limao anza kutitia mchanganyo wako wa karafu + mdarasini taratibu kwenye bakuri lenye maji ya chumvi na limao pata rojo nzito.

Rojo hii, iweke kwenye mswaki pigia mswaki usiku na asubhi utakuja kuniambia mimi nimemaliza.


Sasa hapo Kuna utapeli Gani? Maana unajifunza ukiona huwezi hiyo tuba unawaachia wanao weza simple tu na kasaidia watu wengi sana Mimi Kuna jirani yangu alikuwa anasumbuliwa na jino mno siku Moja akapost SoMo la jino nikamwambia ajaribu Hadi Leo kashapona akataka kunipa 25 nikamwambia hata Mimi nilisoma mtandaon tu swali mtu kama huyo kama kasoma mwenyew akiamua kutuma kama shukran je atakuwa katapeliwa?
 
Huyo jamaa ni tapeli, katapeli washamba wengi kwakujifanya anatibu ukimwi.
Anatumia picha ya mwanamitindo flan uko majuu.
Mbwembwe zake wala zisikuumize kichwa hana tofauti na popoma genta.
So Genta naye ni tapeli kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…