The Tariff president..Simply anasema viongozi wa dunia wanajaribu kumbebembeleza na kujipendekeza ili marekani akupali kushusha ushuru (tarrifs) waliyoongeza kwenye bidhaa za nje.
Kama ya kwake ameona ni ghali awaachie ya makamu wake JD VanceNadhani Trump anasema kwamba anaogopa kudinywa Kinyeo na KIM JONG.
Nimeona hapo kuna ASS na KISS ASS, maana yake ni Kinyeo/ FUTA.
Niamini mimi, nimesoma HAVARD na Kingereza nakijua.
Muulizeni Nyani Ngabu tulikuwa wote STATES
nje ya mada mmakonde hajambo?Nadhani Trump anasema kwamba anaogopa kudinywa Kinyeo na KIM JONG.
Nimeona hapo kuna ASS na KISS ASS, maana yake ni Kinyeo/ FUTA.
Niamini mimi, nimesoma HAVARD na Kingereza nakijua.
Muulizeni Nyani Ngabu tulikuwa wote STATES
Na ndio maana ya idiom yaani nahau. Nahau ni lugha ya picha ambayo haina maana ya moja kwa moja ya maneno yaliyotumika.Kiiengereza ndio maana kimeshindwa Tanzania.
Sasa ukitaka kusema nitatekeleza mnavyoniambia utageuza vipi sentensi .
😂😂😂😂😂Nadhani Trump anasema kwamba anaogopa kudinywa Kinyeo na KIM JONG.
Nimeona hapo kuna ASS na KISS ASS, maana yake ni Kinyeo/ FUTA.
Niamini mimi, nimesoma HAVARD na Kingereza nakijua.
Muulizeni Nyani Ngabu tulikuwa wote STATES
We mwehu sanaUzi ushaanza kunuka
Kwanini unasema hivo 😂😂😂😂We mwehu sana
Suck my 🍆Kiiengereza ndio maana kimeshindwa Tanzania.
Sasa ukitaka kusema nitatekeleza mnavyoniambia utageuza vipi sentensi .
Kwa lugha safi ni kwamba hizo nchi zinawapigia zikiwapigia magoti. Yani zimesanda.Ambao hatujabobea kwenye kimombo tunaona kama kwamba huyu raisi ameamua kuingiza mambo ya ubasha kwenye vita vya kibiashara.
Kwa wale ambao hawajawahi kujaribu mambo hayo wanapata kichefu chefu na kuona kama ni matusi makubwa.