Utofauti wake nini mkuu?Habari za leo ni tofauti na taarifa zako.
Ambao hatujabobea kwenye kimombo tunaona kama kwamba huyu raisi ameamua kuingiza mambo ya ubasha kwenye vita vya kibiashara.
Kwa wale ambao hawajawahi kujaribu mambo hayo wanapata kichefu chefu na kuona kama ni matusi makubwa.
Na ndio maana ya idiom yaani nahau. Nahau ni lugha ya picha ambayo haina maana ya moja kwa moja ya maneno yaliyotumika.
Ni lugha ya mafumbo ambayo huhitaji uelewa wa ziada kuelewa maana ya kilichosemwa. Mwanzoni ulishahisi Trump kaongea "matusi" wakati alichomaanisha ni tofauti.Simply anasema viongozi wa dunia wanajaribu kumbebembeleza na kujipendekeza ili marekani akubali kushusha ushuru (tarrifs) waliyoongeza kwenye bidhaa za nje.
That's just an idiomatic expression so you should not try to interpret it grammatically because it will lose its contextual meaning. I think you get my gist.Kiiengereza ndio maana kimeshindwa Tanzania.
Sasa ukitaka kusema nitatekeleza mnavyoniambia utageuza vipi sentensi .
Una changamoto kubwa sana ya kiakili.Nadhani Trump anasema kwamba anaogopa kudinywa Kinyeo na KIM JONG.
Nimeona hapo kuna ASS na KISS ASS, maana yake ni Kinyeo/ FUTA.
Niamini mimi, nimesoma HAVARD na Kingereza nakijua.
Muulizeni Nyani Ngabu tulikuwa wote STATES
to be very nice to people in authority au 👇👇
Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo Haji Manara akiwa semaji la wekundu aliwahi ku-refer timu pinzani kama UNDERDOG wacha waswahili wazue zogo ooh katukana! Ujinga ni mzigo Webabu.That's just an idiomatic expression so you should not try to interpret it grammatically because it will lose its contextual meaning. I think you get my gist.
Kwa waiengereza matamshi ni tofauti lakini maana ni hizo hizoNa ndio maana ya idiom yaani nahau. Nahau ni lugha ya picha ambayo haina maana ya moja kwa moja ya maneno yaliyotumika.
Ni lugha ya mafumbo ambayo huhitaji uelewa wa ziada kuelewa maana ya kilichosemwa. Mwanzoni ulishahisi Trump kaongea "matusi" wakati alichomaanisha ni tofauti.
Hapana mkuu. Mbona watu wenzenu mnawaita "Chawa" lakini wapo poa na maisha yanaendelea? Mbona mnawasema watu fulani eti wanalamba miguu ya Waarabu? Halafu, kwani neno "ass" unalielewaje? Achana na tafsiri za mitaani bro.
kiswahilo mtu anaposema
Kwani kwenye kiswahili mtu akikwambia "umeingia choo cha kike", unakuwa kweli physically umeingia chooni kwa wanawake? Zijue tamathali za semiNahau ni nini?
Ukibishana na mswahili utachoka bure. Hilo neno "Ass" ni neno la kawaida sana ila kwa sababu linatumika kule pornini, basi kwa mswahili tayari imekuwa shida.Kiss My Ass itabaki kiwa Kiss My Ass...
Sawa na Nyani hauoni kundule...ni rahisi tu Kundule halioni na Nyani.
Au mficha uchi hazai,uchi uliofichwa hauzai..
Ngoja tumshauri Eqn. aende VETA.Kwani kwenye kiswahili mtu akikwambia "umeingia choo cha kike", unakuwa kweli physically umeingia chooni kwa wanawake? Zijue tamathali za semi
Mambo madogo sana hayo Mkuu.Ukibishana na mswahili utachoka bure. Hilo neno "Ass" ni neno la kawaida sana ila kwa sababu linatumika kule pornini, basi kwa mswahili tayari imekuwa shida.
Wanapenda kukuonea sana bichwa wa mbaga jamn 😂😂😂
Hawajui kama mbaga ni mwanageshi ngoja tuuuuuuWanapenda kukuonea sana bichwa wa mbaga jamn 😂😂😂
Sema katika couple bora hapa jf ukiacha ya smart inayofata ni ya BICHWA KOMWE - na Mbaga JrHawajui kama mbaga ni mwanageshi ngoja tuuuuuu
Asante shem 🤩🤩 tutazidi kudumu katika ndoa yetu takatifu 🤩🤩Sema katika couple bora hapa jf ukiacha ya smart inayofata ni ya BICHWA KOMWE - na Mbaga Jr
Mungu awape maisha marefu aiseeee