Wanaojua kimombo tusaidieni,Trump anaposema “These countries are calling us up. Kissing my ass" ana maana gani.

Wanaojua kimombo tusaidieni,Trump anaposema “These countries are calling us up. Kissing my ass" ana maana gani.

Trump anaiogopa China, anajua akilegea tu china atamfanyia mchezo mmbaya
 
Asante shem 🤩🤩 tutazidi kudumu katika ndoa yetu takatifu 🤩🤩
Mwanzoni nilijua utani ila sasa daah nimeona mengi Mbaga Jr sasa amebadilika anajua wajibu wa yeye kuwa.baba..

Kiufupi maisha haya kweli ukipata soulmate wako amini utatulia hata bichwa wewe hukuwa hvo mwanzoni ila sasa umetulia huna mambo mengi hongera sna shem wangu
 
Trump anaiogopa China, anajua akilegea tu china atamfanyia mchezo mmbaya
Ndo mana Trump amesimamia ukucha dhidi ya Mchina. Ila mbona wahenga walisema eti Vita vya Panzi ni furaha kwa kunguru. Kwani sisi akina naniliu hatujanufaika lolote kwenye hilo timbiwili baina ya USA na China ambao ndo wakubwa.
 
Wanaonunua bidhaa china wanaelewa zaidi lugha ya Trump
 
Kwanini "ass / ******" inachukuliwa kama tusi wakati ni kiungo cha binadamu kama ulivyo mkono, pua, n.k
 
Simply anasema viongozi wa dunia wanajaribu kumbebembeleza na kujipendekeza ili marekani akubali kushusha ushuru (tarrifs) waliyoongeza kwenye bidhaa za nje.
Unaoneke hujui maana ya kiss my ass wamerekani. " KISS MY ASS" kwa bongo ni sawa na chawa.
 
Unaoneke hujui maana ya kiss my ass wamerekani. " KISS MY ASS" kwa bongo ni sawa na chawa.
Maana ya kujipendekeza ni nini? Sindio uchawa wenyewe?

Mkuu mimi English sijaijulia kwa ras simba.
 
Back
Top Bottom