Jaribuni kuwapa elimu hata kidogo, na yale makenge kwenye msafara wa mamba, ilimradi aonekane nae ni mwanaume!Kuna Vijana humu ni watoto ya single mother ila wakisikia single mother wanashambulia kweli, wanajua single mother ni cheo cha mpenzi tu kumbe hata mzazi aliyekulea bila baba yako ni single mother.
Andika mada yako uweke hivyoNimesoma andiko lako lote na nakubaliana na sehemu moja tu: kulea mtoto peke yako ni jambo gumu sana na linaweza kuleta msongo mkubwa wa mawazo. Lakini hapo ndipo ninapoona hoja yako inaanza kupoteza mwelekeo.
Unasema single mothers ni tatizo katika jamii, lakini katika andiko lote umeeleza madhara ya kulea mtoto peke yako bila msaada wa baba. Swali la msingi ni: kwa nini lawama nyingi ziende kwa anayebaki kubeba jukumu, na si kwa anayeliacha?
Kama single motherhood inaleta uchungu, msongo, hasira na changamoto za malezi kama ulivyoeleza, basi wanaume wanaokwepa wajibu wa malezi ni sehemu ya tatizo hilo pia. Haiwezekani kuzungumzia matokeo huku ukipuuza chanzo chake.
Mtoto hutokana na watu wawili. Hivyo kuwepo kwa single mother si ushahidi wa kushindwa kwa mwanamke peke yake, bali mara nyingi ni matokeo ya maamuzi, makosa au mazingira yanayowahusisha watu wawili.
Kwa mantiki hiyo, mjadala haupaswi kuwa "kwa nini kuna single mothers?" bali pia "kwa nini kuna wanaume wengi wanaowaacha wanawake walee watoto peke yao?"
Ukijibu swali la pili kwa uaminifu, utaona kuwa tatizo ni kubwa kuliko kundi la single mothers pekee.
Bila ushahidi ni kuropoka bwasheeHahaha, Watasema niweke ushahidi sasa nikiweka picha za mama zao wataunganisha vidoti doti.
fastjet umeziona wapi we mkoma! nipande daladala kuja kufanywa bucha?Fast jet mwanza to dar 500k uwanja wa ndege hadi geto buchani nauli mia 7 huku daladala hazina bei😍
Haha, Basi nimeropoka tu, nisamehewe. Humu wote walilelewa na wazazi wawili wawili.Bila ushahidi ni kuropoka bwashee
Sas unataka upande punda?fastjet umeziona wapi we mkoma! nipande daladala kuja kufanywa bucha?
Hatuwezi jua mkuuHaha, Basi nimeropoka tu, nisamehewe. Humu wote walilelewa na wazazi wawili wawili.
choperSas unataka upande punda?
TusigusweVipi kuhusu single fathers?
Hii nzuri mnoKabla haujafikiria kuzaa hakikisha una uwezo wa kumlea huyo MTOTO.
Lilikimbilia kwa mchepuko likazama jumla! Halikumjali tena mke!Lilitelekeza meneja kivipi mkuu?
Hahahahaha. Mna tabia ngumu sana na nyie halafu hamjijuiTusiguswe
Tabia gani😅 uzuri mmoja mama yao kaolewa kabisa 😅Hahahahaha. Mna tabia ngumu sana na nyie halafu hamjijui
Ha ha ha hii sio meme mkuu ni uhalisia.Mbona kama hii vita vijana wanataka kushinda🤔View attachment 3600554
mkuu define singo mazaSingle mother: I am Queen of the jungle, Fighter, Strong woman, Super woman, Lion 🦁 Woman, Jike Shupavu, I don't need a man. Wanaume wote ni Umbwaa!!
Life: Niachieni huyu.
Single mother : Uwiiiiii! Nakufa mieeee!!
Naona huko kuolewa kabisa ndio kunawapasua vichwa single fathers. Hahahah.Tabia gani😅 uzuri mmoja mama yao kaolewa kabisa 😅
Mimi sijui bwashee, mimi single maza sioni tatizo lao😃Ha ha ha hii sio meme mkuu ni uhalisia.