Wanaolia teuzi za Rais Samia wameshaisahau Awamu ya Tano na tuhuma za 'Kanda Maalum'

Kwaiyo kama Magufuli alikosea na yeye Samia akosee. Kwanini anateua Mawaziri wa wengi kutoka Pwani, Tanga na Zanzibar na kuacha Mikoa mingine ambayo ndiyo mtaji wa kura za CCM. Pwani peke yake ina Mawaziri 5, Tanga 3 na Zanzibar 5 wakati Mikoa ya Tabora 0, Rukwa 0 nk.

Huko alikoelekeza nguvu ndiyo watampigia kura na ata wakipiga wapo wangapi?
4 (Ummy, January, Aweso na FA)
 
Hawajawahi kutegemea kura za kupigwa. Angalia mabadiliko nec
 
Mwana FA hana elimu sawa ila je ni waziri au naibu waziri?
Mwana FA hana elimu?? jitahidi hata kufuatilia ili utambue ila kwa kifupi ana Masters of Science aliyoisomea Uingereza, ukiacha muziki ambayo yupo vyema kwenye elimu pia yupo vizuri
 
Back
Top Bottom