Wanaolia teuzi za Rais Samia wameshaisahau Awamu ya Tano na tuhuma za 'Kanda Maalum'

Tuambie ni lini Magufuli pamoja na udikteta wake aliteua mawaziri 4 au 5 kutoka mkoa mmoja? shame on you
 
4 (Ummy, January, Aweso na FA)
 
Hawajawahi kutegemea kura za kupigwa. Angalia mabadiliko nec
 
Mwana FA hana elimu sawa ila je ni waziri au naibu waziri?
Mwana FA hana elimu?? jitahidi hata kufuatilia ili utambue ila kwa kifupi ana Masters of Science aliyoisomea Uingereza, ukiacha muziki ambayo yupo vyema kwenye elimu pia yupo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…