mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
What is working?Paid holidays end May 12, Russia starts gradually easing coronavirus quarantine measures – Putin
===
Wenye akili zao wamegundua lockdown is not working!
Funga siku tatu ukisali baada ya hapo anza wiki ya nyunguSawa lock down sio sahihi sana
Lakini hatua gani madhubuti zilichukuliwa kuhakikisha watu wote wanapimwa?
Wazaramo ni wajomba zangu kwa hiyo akili ya Jafo naijua vizuri.Funga siku tatu ukisali baada ya hapo a za wiki ya nyungu
Tena anasema nyungu inarekebisha na mambo mengine pia.Wazaramo ni wajomba zangu kwa hiyo akili ya Jafo naijua vizuri.
Hakuna anayelilia total lockdown, hakuna. Lakini hatua za kuhamasisha misongamano wakati wa pasaka na baadaye kutofautiana na maabara yetu wenyewe, sidhani kama ni njia ya kupambana na Covid 19. Na uhalisia umeonekana. Karibu madereva wengi wanaotokea Tz kwenda nje wana Corona. Pili visa vingi vimeongezeka vinavyoitwa changamoto ya kupumua sijui huu nao ni ugonjwa gani ?!. Subiri uje uguswe kama utakuja na sifa hizi tena. Waulize walioguswaNchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.
Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise
Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.
Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!!
Hapa haswa ndo lilikuwa lengo lake.Tena anasema nyungu inarekebisha na mambo mengine pia.
Anayekuambia hakuna hicho kitu, yeye mwenyewe yuko wapi jamani ?!. Mbona unafki !Lockdown kwa Tanzania haiwezekani!
Kuweka lockdown [kama njia ya utatuzi wa tatizo] kutalifanya suluhisho liwe baya zaidi kuzidi hata tatizo lenyewe.
Hakuna lockdown Tanzania.
Anayeombea lockdown kwa Tanzania ni zaidi ya mpumbavu
Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.
Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise
Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.
Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!!
DuuhMagufuli anapewa heshima kubwa
Si kweli mkuu maambukizi bado yapo. Hakuna budi kujifunza kuishi navyo hivi virusi.Mkuu USA, Germany, UK, Italy. Spain, Rwanda nk. Wameshashinda vita kwani maambukizi yameshadhibitiwa vilivyo.