Wanaolilia lockdown: Je, wanajua mwelekeo wa sasa duniani?

Infection rate imepugua kwa nchi zilizoweka lockdown, kwa kutumia indicators zao. They are easing restrictions... USA, Germany wali ease restrictions sasa infection rate imeanza kupanda tena. hapa hatukufanya any restriction seriously and therefore infection itakuwa juu sana, it is a matter of time!
Mwogope Mungu! Hivi unathubutu vipi kusema hapa hatukufanya ANY restrictions! Siku moja baada ya kupatikana mgonjwa wa kwanzwa shule zote za msingi na Sekondari zilifungwa! Wiki moja baadaye vyuo vyote vilifungwa! Ukilinganisha ns nchi kama Marekani, wao walifunga shule baada ya zaidi ya miezi miwili bsada ya kupatikana mgonjwa wa kwanza!! Bado utaisifu Marekani kuliko Tanzania!! Utumwa mwingine unaleta kinyaa!! Maambukizi Tanzania tumeyacontrol na hayako juu baada ya takriban miezi miwili!! Watabiri wa mabaya walisema ikifika mwishoni mwa April mtaokota miili barabarani!! Leo tuko katikati ya mwezi wa tano nikuulize umeokota miili mingapi barabarani?
Ukubali ukatae: Magufuli is a hero on this!! Wote wanamuiga japo hawasemi hivyo lakini vitendo vyao vinaonyesha!!
Hivi kwa akili yako ufunge kabisa Dar!! Ni sawa na kumkimbia kenge ukaamua kupanda mtini huku ukijua juu ya mti kuna nyoka Cobra anakusubiri! Dar ina watu milioni 6, na zaidi ya asilimia 80% wanategemea kipato cha siku moja moja ili kuendesha maisha! Zaidi ya asilimia 50% ya kodi inatoka Dar! Hivi huyo Mbowe mwenye Division .......,.. Kidato cha sita ayaelewa haya?
Endeleeni kutazamia mabaya kwa nchi yetu ambayo hayatatokea!! jueni Mungu yuko upande wetu! Rais wetu amemheshimu Mungu hadharani juu ya janga hili na dunia yote imesikia!! Mungu hatatuacha!!!
 
Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.

Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise

Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.

Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!!
Kwa hiyo unataka tukusaidie nini? Kwaqni mzee wako kashindwa kukuona hata kukupa utendeji wa mtaa tu?
 
Yaani wewe unaziamini hizo taarifa za kutoka mafichoni kwamba hatuna vifo vya Korona? Hao waliokuwa wakizikwa usiku tatizo lilikuwa ni nini? Ukweli wa maambukizi ungekuwa na uhakika zaidi kama tungepimwa watanzania wote. Lakini hii ya kutegemea mtu aende hospitali haina uhakika wa taarifa sahihi za kuenea kwa ugonjwa.
 
Tanzania’s overall response to the pandemic has been a mix of controversy. From president Magufuli casting doubts on the efficacy of test kits, refusal to implement measures such as curfew or lockdowns and reported cases of midnight burials.
 
Mtake msitake Corona ipo duniani na itakuwepo kwa muda mrefu mbeleni. Ukikwepa shambulio la kwanza haimaanishi utakwepa shambulio la pili, la tatu, la nne...nk. Cha msingi, zingatia yale yote unayoshauriwa ili kujikinga na uombe Mungu yasikupate. Na kama yakikupata, yasiwe machungu sana kwako na familia yako.
 
Si kweli mkuu maambukizi bado yapo. Hakuna budi kujifunza kuishi navyo hivi virusi.
Bado hakuna aliyevishinda hata china maambukizi bado yapo ili yamepungua tu. Na wanapambana navyo humo humo tu mtaani.
Maana ugonjwa unaonekana hauwezi isha mapema. Watafungia watu mpaka lini?
Ni nchi mbili tu duniani ambazo zinaweza kudai zimedhibiti maambukizi. Nchi hizo ni China na Korea ya kusini. Marekani kuna masmbukizi mapya zaidi ya 20,000 kila siku na vifo zaidi ya 1000 kila siku!! Bado unasema wamedhibiti corona!! shame on you!
Kitaalam, kudhibiti ugonjwa ni mpaka graph ya maambukizi mapya ishuke sana! Ingia kwenye website ya Worldometer on covid 19 cases na uangalie graph ya nchi unazodai zimedhibit ugonjwa halafu linganisha na graph za China na Korea ya kusini!!!
Tusione aibu kusema ukweli: Tanzania tuko vizuri, maambukizi hayako juu kivile na idadi ya wanaopona ni kubwa.
 
MboMbowe analilia lockdown sijui anafikiria nini huyu jamaa..upuuzi .mtupu
Yeye anajua hawezi kuathirika maana ameshiba posho za bungeni mpaka zingine akaamua kuzikimbia!! Lakini ajue hata wachache waliokuwa wanamheshimu bado amewakwaza sana!! Nani leo ata.sikiliza Mbowe? Hata sehemu kubwa tu ya wabunge wake wameshamdharau!!!
 
Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.

Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise

Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.

Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!!
Mbona yeye ameji lockdown Chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nchi mbili tu duniani ambazo zinaweza kudai zimedhibiti maambukizi. Nchi hizo ni China na Korea ya kusini. Marekani kuna masmbukizi mapya zaidi ya 20,000 kila siku na vifo zaidi ya 1000 kila siku!! Bado unasema wamedhibiti corona!! shame on you!
Kitaalam, kudhibiti ugonjwa ni mpaka graph ya maambukizi mapya ishuke sana! Ingia kwenye website ya Worldometer on covid 19 cases na uangalie graph ya nchi unazodai zimedhibit ugonjwa halafu linganisha na graph za China na Korea ya kusini!!!
Tusione aibu kusema ukweli: Tanzania tuko vizuri, maambukizi hayako juu kivile na idadi ya wanaopona ni kubwa.
Nimemshangaa sana.

Binafsi nilitarajia nchi nyingi tu kuruhusu shughuli ziendelee kama kawaida. Maana ugonjwa huu upo mpala December kama si January.
 
Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.

Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise

Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.

Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!!
Magu atabaki kua juu...hakuna Rais bora kama huyu hapa Africa...Malaria yenyewe inapiga watu lakini toka imekuwepo ni miaka mingapi sasa,utafungia watu mpaka lini ilihali ugonjwa umeingia,hii ni vita ya dunia ya kiuchumi,mataifa tajiri yanataka uchumi wa nchi zingine ushuke wao wafanye biashara kwa kigezo cha msaada...mtu anaye kusaidia leo huwezi kumzuia kesho kuingia mlangoni mwako, kwanza ugonjwa wenyewe ni kama hauwawezi waafrika isipokua wanalazimisha mshituko uwe wa dunia nzima kutimiza matakwa yao..lakini kuna mijitu inaropoka tu ovyo ovyo kwa faida za kisiasa na wananchi wengi hawachambui akili zao kuliona hilo

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Si kweli mkuu maambukizi bado yapo. Hakuna budi kujifunza kuishi navyo hivi virusi.
Bado hakuna aliyevishinda hata china maambukizi bado yapo ili yamepungua tu. Na wanapambana navyo humo humo tu mtaani.
Maana ugonjwa unaonekana hauwezi isha mapema. Watafungia watu mpaka lini?

Mkuu ni vigumu kuelewa kauli hii?

"Mkuu USA, Germany, UK, Italy. Spain, Rwanda nk. Wameshashinda vita kwani maambukizi yameshadhibitiwa vilivyo."

Tambua hivi kushinda vita hivi hakuna maana ya kutokuwa na maambukizi au vifo kabisa.

Kumeelezwa sana haya kama hujaelewa sema ikibidi tutafute wa kufasiri kisukuma.

Hii bagosha !!!
 
Nyie mnao andikaga Kiswaenglish hua ni bure kabisa hapa nchini,mnaletaga nadharia mlio karirishwa kwenye makaratasi badala ya kutazama uhalisia na asili yetu jinsi tulivyo...yani ni bure kabisa hamnaga faida kwenye dunia hii
Infection rate imepugua kwa nchi zilizoweka lockdown, kwa kutumia indicators zao. They are easing restrictions... USA, Germany wali ease restrictions sasa infection rate imeanza kupanda tena. hapa hatukufanya any restriction seriously and therefore infection itakuwa juu sana, it is a matter of time!

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
To easy lockdown is not to stop it, ina maana kuna baadhi ya shughuli zinarudishwa lakini kwa tahadhari kuu, social distance ipo pale pale ila watu wanaruhusiwa kwenda nje zaidi ya mara moja kwa siku, lakini ukiwa nje una keep distance from others. Sio biashara zote zinazofunguliwa ingawaje nyingi zimefunguliwa kwa masharti ya kuweka distance baina ya watu. Uingereza nilipo maduka yasiyo uza chakula, baa, gyms, bookshops, museums bado zimefungwa,na mikusanyiko yote bado inazuiliwa, ni nchi chache tu zilizofungua baadhi ya bookshops na maduka ya vitu mbalimbali. Kwenye usafiri lazima kuvaa barakoa hata kwenye baadhi ya maduka.

Hizo mburula haziwezi kuelewa ulichokiandika.
 
Lockdown siyo ya milele mkuu, ni kipindi cha mpito ambapo unatenga kati ya wagonjwa na ambao hawajaambukizwa! Ni kipindi cha kupambana na wagonjwa uliokwisha kuwapata na wakati huo huo kuzuia wengine wasiambukizwe! Baada ya lockdown wagonjwa wengi wana kuwa quarantine au kwenye vituo maalumu vya matibabu, kwa hiyo unakua umepunguza kasi ya maambukize. Ni kweli, tatizo linaweza kuendelea kuwepo lakini aliyetoka lockdown Yupo hatua ya pili ya kukabiliana na tatizo wakati Wewe hata hatua ya kwanza hujaanza!!
Tatizo unataka suluhisho la copy and paste!! Uzoefu wa sasa hivi duniani umedhihirisha kuwa waliofanya hivyo haijawasaidia!! Na wanaachana nayo!! Na imewaletea matatizo makubwa zaidi!! Makampuni yamefilisika, mamilioni wamepoteza ajira, wakati maambukizi bado yanaongezeka kwa kasi kubwa zaidi kuliko nchini kwetu!!
Lockdown imiisaidia China haina maana kuwa na Tanzania itaisaidia msana mazingira ni tofauti. Mpaka sasa, lockdown imefanya vizuri kwa China tu!! Hao wengine wameachana nayo hata kabla ya maambukizi kukaribia kuisha. Kumbuka maambukizi mapya kwa China yaliisha kabisa ndio wakaondoa lockdown!! Lakini Marekani mwenye maambukizi zaidi ya 20,000 mapya kwa siku hawezi kudai anaachana na lockdown kwa kuwa amedhibiti maambukizi! Ukweli ni kwamba ameona dawa ina maumuvu makubwa kuliko ugonjwa!
 
Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.

Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise

Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.

Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!!
Waambie hao chadema...Uzi huu utakosa wachangiaji
 
Nimemshangaa sana.

Binafsi nilitarajia nchi nyingi tu kuruhusu shughuli ziendelee kama kawaida. Maana ugonjwa huu upo mpala December kama si January.

Kuna parameter inayoitwa Reproduction Rate of the disease. Hii inakupankasi ya maambukizi. Important parameters zake:

R = 1 hapo curve ya maambukizi in flatten maambukizi na kuona ni sawa. Maambukizi hayaongezeki. Muelekeo mzuri wa ugonjwa.

Kuna R > 1 na R < 1

Jiridhishe kuwa unaelewa hizi vinginevyo namba yoyote ya vifo au maambukizi hazina maana yoyote!
 
Tatizo unataka suluhisho la copy and paste!! Uzoefu wa sasa hivi duniani umedhihirisha kuwa waliofanya hivyo haijawasaidia!! Na wanaachana nayo!! Na imewaletea matatizo makubwa zaidi!! Makampuni yamefilisika, mamilioni wamepoteza ajira, wakati maambukizi bado yanaongezeka kwa kasi kubwa zaidi kuliko nchini kwetu!!
Lockdown imiisaidia China haina maana kuwa na Tanzania itaisaidia msana mazingira ni tofauti. Mpaka sasa, lockdown imefanya vizuri kwa China tu!! Hao wengine wameachana nayo hata kabla ya maambukizi kukaribia kuisha. Kumbuka maambukizi mapya kwa China yaliisha kabisa ndio wakaondoa lockdown!! Lakini Marekani mwenye maambukizi zaidi ya 20,000 mapya kwa siku hawezi kudai anaachana na lockdown kwa kuwa amedhibiti maambukizi! Ukweli ni kwamba ameona dawa ina maumuvu makubwa kuliko ugonjwa!
Wako watu hapa hawawezi kuelewa..wataendelea tu kumsakama JPM
 
Mkuu ni vigumu kuelewa kauli hii?

"Mkuu USA, Germany, UK, Italy. Spain, Rwanda nk. Wameshashinda vita kwani maambukizi yameshadhibitiwa vilivyo."

Tambua hivi kushinda vita hivi hakuna maana ya kutokuwa na maambukizi au vifo kabisa.

Kumeelezwa sana haya kama hujaelewa sema ikibidi tutafute wa kufasiri kisukuma.

Hii bagosha !!!
Bagosha!!! Ng'wichane!! Kama mwenye maambukizi mapya zaidi ya 20,000 kwa siku unakiri ameyadhibiti maambukizi, sisi ambao maambukizi ni pungufu ya kumi kwa siku basi tumeyadhibiti zadi ya mara 100!! Kwa hiyo hakuna kabisa haja ya lockdown!
 
Back
Top Bottom