mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
- Thread starter
- #61
Ni hivi kama umesoma na kuelewa ukiwa na 0 < R < 1 wagonjwa wanaendelea kupungua hadi kwisha. Hiyo ni mathematics haijali wewe unaona je.
Ndiyo maana waungwana wakiipata R kwenye range hizo wanatangaza ushindi na kuanza kurejea taratibu kwenye maisha ya kawaida!
He unajua kuwa R kwa Tanzania iko chini ya 0.5?