Serious restriction, soma vizuri! as per WHO!Mwogope Mungu! Hivi unathubutu vipi kusema hapa hatukufanya ANY restrictions
Serious restriction, soma vizuri! as per WHO!Mwogope Mungu! Hivi unathubutu vipi kusema hapa hatukufanya ANY restrictions
How do you measure the serious?? It is very subjective!! According to your measuring instrument, The USA which responded to the disease outbreak more than two months after encountering the first case its actions were more serious than us who responded immediately after just one day!! Are you serious with your argument?Serious restriction, soma vizuri! as per WHO!
Lakini wameshajifunza kuwa wataenda nayo sambamba bila lockdown!China wameondoa lockdown Corona imerudi!
Fuatilia vyombo vya habari uone, maambukizi bado yako juu tena kwa watu walioko Lockdown, Kama unabisha tafuta Video ya mahojiano ya juzi kati ya Gavana Cuomo na Steven Colbert, Yanapatikana You tube.Infection rate imepugua kwa nchi zilizoweka lockdown, kwa kutumia indicators zao. They are easing restrictions... USA, Germany wali ease restrictions sasa infection rate imeanza kupanda tena. hapa hatukufanya any restriction seriously and therefore infection itakuwa juu sana, it is a matter of time!
WHO hutoa ushauri, si maelekezo! Halafu nchi husika itautekeleza kwa kuzingatia mazingira na hali halisi ya nchi! Each country is free to adopt or adapt WHO reccommendations! For our case we did not adopt but we adapted WHO reccommendations to suit our own real situation!Serious restriction, soma vizuri! as per WHO!
Bagosha!!! Ng'wichane!! Kama mwenye maambukizi mapya zaidi ya 20,000 kwa siku unakiri ameyadhibiti maambukizi, sisi ambao maambukizi ni pungufu ya kumi kwa siku basi tumeyadhibiti zadi ya mara 100!! Kwa hiyo hakuna kabisa haja ya lockdown!
Real situation tunapukutika! haya bwana Kwaheri!WHO hu
WHO hutoa ushauri, si maelekezo! Halafu nchi husika itautekeleza kwa kuzingatia mazingira na hali halisi ya nchi! Each country is free to adopt or adapt WHO reccommendations! For our case we did not adopt but we adapted WHO reccommendations to suit our own real situation!
Mimi niko CCN 24 hrs!Fuatilia vyombo vya habari uone, maambukizi bado yako juu tena kwa watu walioko Lockdown, Kama unabisha tafuta Video ya mahojiano ya juzi kati ya Gavana Cuomo na Steven Colbert, Yanapatikana You tube.
Sent using Jamii Forums mobile app
Porojo tu unaleta hali bado mbaya nchi nyingi isipokuwa kidogo ChinaMkuu ni vigumu kuelewa kauli hii?
"Mkuu USA, Germany, UK, Italy. Spain, Rwanda nk. Wameshashinda vita kwani maambukizi yameshadhibitiwa vilivyo."
Tambua hivi kushinda vita hivi hakuna maana ya kutokuwa na maambukizi au vifo kabisa.
Kumeelezwa sana haya kama hujaelewa sema ikibidi tutafute wa kufasiri kisukuma.
Hii bagosha !!!
Porojo tu unaleta hali bado mbaya nchi nyingi isipokuwa kidogo China
View attachment 1447319
Acha matusi na kujifanya kujua sana. Tufanye mimi ni mwanafunzi na ww ni mwalimu. Embu nieleweshe.Umeshindwa kuelewa:
"And yet when I look at where we are tonight, we have the R below one, between 0.5 and 0.9 – but potentially only just below one."
Umeng'ang'ania namba. Hiyo ni extract tokea kwenye speech ya Boris.
Si nia yangu kuelimisha viazi kaa hivyo hivyo.
Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.
Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise
Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.
Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!
Bado unaendelea kuposha tu pamoja na darasa nililokupa? Unajua ni kwanini waliweka lockdown? Hujui, nakupa tena somo: Lockdown iliwekwa kwa ajili ya kuepesha madhara makubwa ya vifo vinavyoweza kuzuilika kama isingewekwa. Kwa mfano Tanzania haikuweka lockdown lakini watu wengi wamepoteza maisha mpaka Magufuli akaamuru wadanganye idadi ya wanaofariki ili baa lililoikumba nchi yetu kwa sababu ya uzembe wake lisijulikana. Sasa basi nikupashe: lengo kuu la lockdowm ni kuepusha watu wengi kuugua kwa mara moja na kufanya hospital zishindwe kuokoa wale ambao wangeweza kuokolewa. Ukiachia watu wazagae kama alivyofanya Magufuli ni kwamba watu wengi wanaugua kwa mara moja na kufanya huduma za afya kuelemewa. Na lengo jingine la lockdown ni kuvuta muda ili kuwaelewa kwa undani hawa virus na kweza kutafuta chanjo na/au tiba. Bila kupunguza kasi ya maambukizi ni hatari sana sana. Kwa hiyo lengo la lockdown siyo kumaliza tatizo la virus kwani hata wataalam wanakiri kuwa bila kuwa na chanjo au tiba tatizo litachukuwa muda mrefu sana ambapo lockdown haitawezekana kwa muda wote. Kwa hiyo waliofanya lockdown wamefanya hospital zao zisielemewe na wagonjwa na wengi zaidi na kufariki, na wale ambao hawajaambukizwa kuendelea kuwa safe mpaka hapo chanjo itakapopatikana. Jaribu kusoma habari za mataifa makubwa uone walivyokuwa wame-estimate watu wengi wangekufa bila kuweka lockdown na uone tofauti na walipoweka lockdown. Kama umeelewa nenda kwamweleshe na rais wako.Nchi zote kwa sasa mwelekeo ni kuachana na lockdown, hata kama maambukizi yako juu. Urusi leo imesema lockdown inaishia leo kesho ni kazi kama kawaida japo maambukizi bado yanaongezeka! Marekani tayari walishaanza kuachana na lockdown, Uingereza hali kadhalika, Hispania, Italia, Ufaransa, Ujerumani, Ghana, Afrika ya Kusini, nk.
Ushahidi kwa Urusi kuachana na lockdown pamoja na maabukizi bado yanaongezeka huu hapa; Putin eases Russian lockdown as cases rise
Ukiona nchi za ulimwengu wa kwanza (zilizoendelea) zimeshindwa kuendelea na lockdown, wewe wa nchi ya ulimwengu wa tatu utakuwa juha kupindukia ukijitosa kwenye lockdown!! Magufuli anapewa heshima kubwa kwa kuliona hili toka mwanzo. Historia itamkumbuka hata kama leo watu hawataki kukiri ukweli huo.
Njia aliyotumia Dr Magufuli kudhibiti Covid 19 ninaiita kitaalam : Magufuli's Model for Covid 19 Control in Tanzania. This model can be summarised as: No lock down, practice social distancing, wash hands regularly, put on masks, stop unnecessary movements, but work very hard!
Jiongoze. Jisomee. Kuwa mdadisi. Tafiti kwa mfano Uingereza na Marekani walikuwa wamekisia ni watu wangapi wangekufa bila lockdown na baada ya kuweka lockdown vifo vimepungua kwa kiasi gani. Na zaidi lengo la lockdown siyo kumaliza tatizo. Wenzako wana utaalam na uzoefu na haya magonjwa ya mlipuko ya virus. Hata ukiweka lockdown na tatizo likaonekana kama limeisha lakini baada ya muda huwa kunatokea second and even third strikes. Lockdown ina lengo la kufanya hospital zisielemewe na vilevile lengo kuu ni kuvuta muda ili chanjo ipatikane na wasife watu wengi.Acha matusi na kujifanya kujua sana. Tufanye mimi ni mwanafunzi na ww ni mwalimu. Embu nieleweshe.
Me bado sikuelewi huenda una kitu labda uwasilishwaji wako ndio haueleweki. Embu nifafanulie. Mfano wingereza pekee wameshinda vita vipi endapo ana maambukizi mapya waliyoyagundua zaidi ya 3800?? Na vifo leo tu ni 210.
Na wapi na lini nipe source ya taarifa yako wanaposema kuwa wamefanikiwa kudhibiti COVID-19 mbali labda na china maana hilo liko wazi wao wameshafanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Unaniwekwa habari sijui za R> na R< sisi hatukuelewi.
U
Angalau ww nakuelewa. Hata hivyo bado hatuwezi sema wameshinda vita.Jiongoze. Jisomee. Kuwa mdadisi. Tafiti kwa mfano Uingereza na Marekani walikuwa wamekisia ni watu wangapi wangekufa bila lockdown na baada ya kuweka lockdown vifo vimepungua kwa kiasi gani. Na zaidi lengo la lockdown siyo kumaliza tatizo. Wenzako wana utaalam na uzoefu na haya magonjwa ya mlipuko ya virus. Hata ukiweka lockdown na tatizo likaonekana kama limeisha lakini baada ya muda huwa kunatokea second and even third strikes. Lockdown ina lengo la kufanya hospital zisielemewe na vilevile lengo kuu ni kuvuta muda ili chanjo ipatikane na wasife watu wengi.
Salamu ndugu yangu Tujitegemee...Paid holidays end May 12, Russia starts gradually easing coronavirus quarantine measures – Putin
===
Wenye akili zao wamegundua lockdown is not working!
Acha matusi na kujifanya kujua sana. Tufanye mimi ni mwanafunzi na ww ni mwalimu. Embu nieleweshe.
Me bado sikuelewi huenda una kitu labda uwasilishwaji wako ndio haueleweki. Embu nifafanulie. Mfano wingereza pekee wameshinda vita vipi endapo ana maambukizi mapya waliyoyagundua zaidi ya 3800?? Na vifo leo tu ni 210.
Na wapi na lini nipe source ya taarifa yako wanaposema kuwa wamefanikiwa kudhibiti COVID-19 mbali labda na china maana hilo liko wazi wao wameshafanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Unaniwekwa habari sijui za R> na R< sisi hatukuelewi.
U
Acha matusi na kujifanya kujua sana. Tufanye mimi ni mwanafunzi na ww ni mwalimu. Embu nieleweshe.
Me bado sikuelewi huenda una kitu labda uwasilishwaji wako ndio haueleweki. Embu nifafanulie. Mfano wingereza pekee wameshinda vita vipi endapo ana maambukizi mapya waliyoyagundua zaidi ya 3800?? Na vifo leo tu ni 210.
Na wapi na lini nipe source ya taarifa yako wanaposema kuwa wamefanikiwa kudhibiti COVID-19 mbali labda na china maana hilo liko wazi wao wameshafanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Unaniwekwa habari sijui za R> na R< sisi hatukuelewi.
U
Acha matusi na kujifanya kujua sana. Tufanye mimi ni mwanafunzi na ww ni mwalimu. Embu nieleweshe.
Me bado sikuelewi huenda una kitu labda uwasilishwaji wako ndio haueleweki. Embu nifafanulie. Mfano wingereza pekee wameshinda vita vipi endapo ana maambukizi mapya waliyoyagundua zaidi ya 3800?? Na vifo leo tu ni 210.
Na wapi na lini nipe source ya taarifa yako wanaposema kuwa wamefanikiwa kudhibiti COVID-19 mbali labda na china maana hilo liko wazi wao wameshafanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Unaniwekwa habari sijui za R> na R< sisi hatukuelewi.
U
Uk
Ukitaka kufahamu kuhusu R ambayo umekiri kutokuelewa soma huku:
Why lockdowns can halt the spread of COVID-19
Ukitaka kujua UK yuko vipi na udhibiti wa ugonjwa na parameter hii soma speech hapa:
Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aamua Lockdown sasa basi - JamiiForums
Kwa nianavyo tatizo halijaisha labda tuseme limepungua. Tuishie hapa, bado inahitajika kazi kubwa.