Wanaolilia lockdown: Je, wanajua mwelekeo wa sasa duniani?

Serious restriction, soma vizuri! as per WHO!
How do you measure the serious?? It is very subjective!! According to your measuring instrument, The USA which responded to the disease outbreak more than two months after encountering the first case its actions were more serious than us who responded immediately after just one day!! Are you serious with your argument?
 
Fuatilia vyombo vya habari uone, maambukizi bado yako juu tena kwa watu walioko Lockdown, Kama unabisha tafuta Video ya mahojiano ya juzi kati ya Gavana Cuomo na Steven Colbert, Yanapatikana You tube.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WHO hu
Serious restriction, soma vizuri! as per WHO!
WHO hutoa ushauri, si maelekezo! Halafu nchi husika itautekeleza kwa kuzingatia mazingira na hali halisi ya nchi! Each country is free to adopt or adapt WHO reccommendations! For our case we did not adopt but we adapted WHO reccommendations to suit our own real situation!
 
Bagosha!!! Ng'wichane!! Kama mwenye maambukizi mapya zaidi ya 20,000 kwa siku unakiri ameyadhibiti maambukizi, sisi ambao maambukizi ni pungufu ya kumi kwa siku basi tumeyadhibiti zadi ya mara 100!! Kwa hiyo hakuna kabisa haja ya lockdown!

Hii bagosha!

Haiko hivyo. Kuna parameter inaitwa Reproduction Rate of the disease (R). Hii inapatikana kutokea kwenye mass testing kuhusisha wagonjwa wapya na wanaopona katika kipindi fulani cha mass testing.

R > 1 ugonjwa unaongezeka. Maambukizi ni mengi kuliko wanaopona. Hospitali wagonjwa wanaendelea kuongezeka.

R < 1 ugonjwa unapungua. Maambukizi ni kidogo kuliko wanaopona. Hospitali wagonjwa wanazidi kupungua.

R = 1 kasi ya maambukizi na kasi ya kupona ni sawa. Ugonjwa haupungui wala kuongezeka. Mwelekeo mwema katika kuudhibiti ugonjwa.

Mkuu suala ni R ndiyo muhimu siyo namba ya maambukizi wala vifo.

Hiii bagosha USA, UK na wenziwe wako vizuri wako na 0 < R < 1.

Science siyo ramli.
 
Real situation tunapukutika! haya bwana Kwaheri!
 
Porojo tu unaleta hali bado mbaya nchi nyingi isipokuwa kidogo China
 
Porojo tu unaleta hali bado mbaya nchi nyingi isipokuwa kidogo China
View attachment 1447319

Umeshindwa kuelewa:

"And yet when I look at where we are tonight, we have the R below one, between 0.5 and 0.9 – but potentially only just below one."

Umeng'ang'ania namba. Hiyo ni extract tokea kwenye speech ya Boris.

Si nia yangu kuelimisha viazi kaa hivyo hivyo.
 
Acha matusi na kujifanya kujua sana. Tufanye mimi ni mwanafunzi na ww ni mwalimu. Embu nieleweshe.

Me bado sikuelewi huenda una kitu labda uwasilishwaji wako ndio haueleweki. Embu nifafanulie. Mfano wingereza pekee wameshinda vita vipi endapo ana maambukizi mapya waliyoyagundua zaidi ya 3800?? Na vifo leo tu ni 210.
Na wapi na lini nipe source ya taarifa yako wanaposema kuwa wamefanikiwa kudhibiti COVID-19 mbali labda na china maana hilo liko wazi wao wameshafanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Unaniwekwa habari sijui za R> na R< sisi hatukuelewi.
U
 

Strategy gani anaitumia Magufuli, do nothing strategy? Kama huwapimi watu utajuaje kama maambukizi yanapungua au yanaongezeka?
 
Bado unaendelea kuposha tu pamoja na darasa nililokupa? Unajua ni kwanini waliweka lockdown? Hujui, nakupa tena somo: Lockdown iliwekwa kwa ajili ya kuepesha madhara makubwa ya vifo vinavyoweza kuzuilika kama isingewekwa. Kwa mfano Tanzania haikuweka lockdown lakini watu wengi wamepoteza maisha mpaka Magufuli akaamuru wadanganye idadi ya wanaofariki ili baa lililoikumba nchi yetu kwa sababu ya uzembe wake lisijulikana. Sasa basi nikupashe: lengo kuu la lockdowm ni kuepusha watu wengi kuugua kwa mara moja na kufanya hospital zishindwe kuokoa wale ambao wangeweza kuokolewa. Ukiachia watu wazagae kama alivyofanya Magufuli ni kwamba watu wengi wanaugua kwa mara moja na kufanya huduma za afya kuelemewa. Na lengo jingine la lockdown ni kuvuta muda ili kuwaelewa kwa undani hawa virus na kweza kutafuta chanjo na/au tiba. Bila kupunguza kasi ya maambukizi ni hatari sana sana. Kwa hiyo lengo la lockdown siyo kumaliza tatizo la virus kwani hata wataalam wanakiri kuwa bila kuwa na chanjo au tiba tatizo litachukuwa muda mrefu sana ambapo lockdown haitawezekana kwa muda wote. Kwa hiyo waliofanya lockdown wamefanya hospital zao zisielemewe na wagonjwa na wengi zaidi na kufariki, na wale ambao hawajaambukizwa kuendelea kuwa safe mpaka hapo chanjo itakapopatikana. Jaribu kusoma habari za mataifa makubwa uone walivyokuwa wame-estimate watu wengi wangekufa bila kuweka lockdown na uone tofauti na walipoweka lockdown. Kama umeelewa nenda kwamweleshe na rais wako.
 
Jiongoze. Jisomee. Kuwa mdadisi. Tafiti kwa mfano Uingereza na Marekani walikuwa wamekisia ni watu wangapi wangekufa bila lockdown na baada ya kuweka lockdown vifo vimepungua kwa kiasi gani. Na zaidi lengo la lockdown siyo kumaliza tatizo. Wenzako wana utaalam na uzoefu na haya magonjwa ya mlipuko ya virus. Hata ukiweka lockdown na tatizo likaonekana kama limeisha lakini baada ya muda huwa kunatokea second and even third strikes. Lockdown ina lengo la kufanya hospital zisielemewe na vilevile lengo kuu ni kuvuta muda ili chanjo ipatikane na wasife watu wengi.
 
Angalau ww nakuelewa. Hata hivyo bado hatuwezi sema wameshinda vita.
 
Salamu ndugu yangu Tujitegemee...

Ngoja nikuulize: Kabla hujaandika ulitumia angalau dakika 3 kufanya kautafiti kidogo?! I doubt, kwa sababu lau kama ungefanya, mapema sana ungegundua maelezo yako hayapo sahihi!

Zipo nchi ambazo unaweza kuona haikusaidia... kwa mfano Marekani!

Nasema unaweza kuona haikusaidia kwa sababu maambukizi yanapanda! The question is: Watu walikuwa lockdown lakini situation ipo vile, what if wangekuwa wametapakaa tu kama TZ?!

I bet situation ingekuwa mara 3 ya pale! Lockdown ilionekana haikusaidia sana kwa sababu mosi, US walichelewa sana tena sana kuwa serious mpaka ilivyokuwa too late! Pili, Wamarekani na wenyewe wakaidi sana!!

Na hapa tukumbushane, lockdown haiponyi wenye corona bali inasaidia kuwafanya wenye virus wasiendelee kuvisambaza kwa watu wengi zaidi! Na kv US walichelewa sana kufanya lockdown, hadi wanakuja kupiga lockdown watu wengi tayari walishaathirika!

Lakini kwa upande mwingine, pitia mwenyewe hapa chini kwa nchi ambazo zilipigwa kweli kweli na coronavirus kisha ask yourself kama kweli lockdown isn't working!









Sasa how come watu mnadai lockdown doesn't work?! Hivi hao wanapotangaza kulegeza lockdown, ni kwamba lockdown ime-fail au wamefanikiwa kudhibiti maambuki?!

Hata Afrika Mashariki, Uganda walichukua a very strict approach, na wenyewe hawa hapa:-



Hiyo minara unayoona wameongezeka jana 5, majuzi 13 na hao 8 wa May 5, over 95% ni Madereva wa Malori; kwahiyo wana-import corona kutoka mainly in TZ na Kenya kwa kiasi fulani!! And remember, Uganda ime-test karibu watu 60K.
 

Uk



Ukitaka kufahamu kuhusu R ambayo umekiri kutokuelewa soma huku:

Why lockdowns can halt the spread of COVID-19

Ukitaka kujua UK yuko vipi na udhibiti wa ugonjwa na parameter hii soma speech hapa:

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aamua Lockdown sasa basi - JamiiForums
 
Kwa nianavyo tatizo halijaisha labda tuseme limepungua. Tuishie hapa, bado inahitajika kazi kubwa.

Ni hivi kama umesoma na kuelewa ukiwa na 0 < R < 1 wagonjwa wanaendelea kupungua hadi kwisha. Hiyo ni mathematics haijali wewe unaona je.

Ndiyo maana waungwana wakiipata R kwenye range hizo wanatangaza ushindi na kuanza kurejea taratibu kwenye maisha ya kawaida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…