Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nna Hali ngumu kimaisha? Alafu wewe mwenye Hali nzuri kazi yako ni kukaa humu jf kulialia serikali ikuajiri?Moja ya komenti mavi iliyotolewa na mtu mavi.
Ajabu ni kwamba mtoa post hii huenda ana hali ngumu ya kimaisha au ni mtumishi wa umma
Nyie watu mnapaswa mchapwe mijeledi Hadi akili zikae sawaJpm alibugi step from day one pale alipoanza kudharau Marais waliopita na kuwaona hawakufanya kitu wakati ndo walifanya kitu kumzidi yeye anayepuyanga tu. Jk alimaliza wimbi kwa kuajiri walimu kila mwaka na madaktari lakini huyi toka aingia anawarundika mtaani tu
True...yote maisha tu.You are not alone bro! Shukuru mungu uko na afya na uzima. Wale wa kubeza hawakosekanagi.
Umesomea nini mkuu...Mimi nimegraduate tangu 2016 nikiwa na miaka 26 mpaka leo nimefikisha miaka 31 bila bila.
Shetani [emoji216] kakanyaga waya.
Nina wasiwasi kama umesoma wewe. Hakuna anayeenda chuoni kusoma. Hakuna hata mmoja. Wanaenda kusomea taaluma. Wanaosoma ni chekechea kama wewe. Mkijua hiyo kkk yenu ndio mnaleta shida mnazoita mabandiko yenu. Kwenye hii mada moja tu umeitwa kila aina ya jina la hovyo. Wanaenda kusomea taaluma inayoajirika kirahisi. Sio serkali imwambie itamwajiri. Yeye mwenyewe anapiga hesabu wakati anafuzu ajira kwenye taaluma husika itakuwaje.Kazi ya serikali sio kuajiri. Na HAKUNA ambaye anaendaa chuoni kusoma alafu akaambiwa akimaliza serikali itamuajiri
-serikali pia ni muajiri hilo halipingiki kwa sababu serikali ina taasisi zake mfano Shule, Hospital, Mahakama,nk ambazo hizo zinahitaji wataalam wa kujaza nafasi za kaziKwa hiyo unasubiri serikali ikuajiri??
Haya subiri au endelea kulialia humu, si ndio kazi unayoiweza?
Ukubaliane na nani? Kutoa fact ni kulialia????Unataka waajiriwe wangap?
Umejuaje Kama nafasi Bado zipo?
Tukubaliane hapa na ikibidi nikusainishe contract kuwa wewe kazi yako ni kulialia tu
Inaonekana vyuo vyetu vinafaulisha vijana ambao hawajaelimika.`Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.
Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.
Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.
Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
Kwa hiyo uchumi wetu ni dormant haukui. Sasa mbona anajimwambafy unakua kwa 7% aache kuropoka na kudanganya Uma. Aseme ukweli nchi imemshinda.Inaonekana vyuo vyetu vinafaulisha vijana ambao hawajaelimika.
Mngekuwa mmeelimika mngejua kwamba ajira hakuna.
Ajira ni zao la kukua kwa UCHUMI. Hakukuwepo na uwiano wa ukuaji elimu ukilinisha na uchumi.
Kwa mfano mwaka 90 wilaya yangu ilikuwa inafaulisha watoto 60, mkoa wangu ulikuwa na shule 12 na tulikuwa na vyuo vikuu 2 tu. Leo wanafunzi 60 wanafaulu kutoka shule moja ya kijijini hapa wilayani kwangu.
Mkoa mzima zinakaribia sekondari 200. Vyuo vikuu nchini sasa vinakaribia 50. Umewahi kujiuliza huu ni ukuaji wa % ngapi!?
Hata ajira zilizokuwepo kipindi cha JK nyingi zililenga kuhudumia ukuaji wa sekta ya elimu.. ndipo tukaona ajira za walimu wa msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu. Sekta hii ndio iliajiri kwa wingi. Kama kuna msomi hajui haya basi huyo hajaelimika ni bure kabisaa
Akili hizi zinapatikana rumumba tuKazi ya serikali sio kuajiri. Huko vyuoni mnaposoma huwa mnaambiwa mkimaliza mtaajiriwa?
Kwani alisema nchi imemshinda halafu watu wenye akiri wakamsaidia Kuna tatizo gani kuliko kuwatesa watu halafu anadanganya watu eti nchi hii ni tajiri sanaInaonekana vyuo vyetu vinafaulisha vijana ambao hawajaelimika.
Mngekuwa mmeelimika mngejua kwamba ajira hakuna.
Ajira ni zao la kukua kwa UCHUMI. Hakukuwepo na uwiano wa ukuaji elimu ukilinisha na uchumi.
Kwa mfano mwaka 90 wilaya yangu ilikuwa inafaulisha watoto 60, mkoa wangu ulikuwa na shule 12 na tulikuwa na vyuo vikuu 2 tu. Leo wanafunzi 60 wanafaulu kutoka shule moja ya kijijini hapa wilayani kwangu.
Mkoa mzima zinakaribia sekondari 200. Vyuo vikuu nchini sasa vinakaribia 50. Umewahi kujiuliza huu ni ukuaji wa % ngapi!?
Hata ajira zilizokuwepo kipindi cha JK nyingi zililenga kuhudumia ukuaji wa sekta ya elimu.. ndipo tukaona ajira za walimu wa msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu. Sekta hii ndio iliajiri kwa wingi. Kama kuna msomi hajui haya basi huyo hajaelimika ni bure kabisaa
Tena hapo umegusa penyewe.Unamaanisha wizara ya madini kila mwaka iwe inaajiri tu? Wawe hata wakurugenzi 100?ili tu ionekane wanaajiri?
Mkuu naomba nikuulize swali. Kuna tasis moja ya elimu ya juu ma secretary kadhaa wamestaafu miaka mitatu iliyopita na hakuna replacement mpaka Leo , je unafikiri sababu ni huo uchumi unao uongelea? Kuna swali la nyonheza ukijibu hiliInaonekana vyuo vyetu vinafaulisha vijana ambao hawajaelimika.
Mngekuwa mmeelimika mngejua kwamba ajira hakuna.
Ajira ni zao la kukua kwa UCHUMI. Hakukuwepo na uwiano wa ukuaji elimu ukilinisha na uchumi.
Kwa mfano mwaka 90 wilaya yangu ilikuwa inafaulisha watoto 60, mkoa wangu ulikuwa na shule 12 na tulikuwa na vyuo vikuu 2 tu. Leo wanafunzi 60 wanafaulu kutoka shule moja ya kijijini hapa wilayani kwangu.
Mkoa mzima zinakaribia sekondari 200. Vyuo vikuu nchini sasa vinakaribia 50. Umewahi kujiuliza huu ni ukuaji wa % ngapi!?
Hata ajira zilizokuwepo kipindi cha JK nyingi zililenga kuhudumia ukuaji wa sekta ya elimu.. ndipo tukaona ajira za walimu wa msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu. Sekta hii ndio iliajiri kwa wingi. Kama kuna msomi hajui haya basi huyo hajaelimika ni bure kabisaa
Mkuu,Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.
Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.
Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.
Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
Mimi sililii ajira. Sina ubinafsi kama wewe.Nna Hali ngumu kimaisha? Alafu wewe mwenye Hali nzuri kazi yako ni kukaa humu jf kulialia serikali ikuajiri?
DV lottery na hizi Canadian VISA ni mifano. Wapi ulisikia Tanzania inashawishi wageni wa kada za chini kama manesi na madereva waje kufanya kazi. Mambele wanabembeleza wenye vigezo waende tena wanashawishi watu wao kutembelea nchi nyingine kutafuta fursa.Huko mbele wao kazi yao ni kukuwekea wewe nafasi ya kwenda kubeba boksi?
Ulichosema ni sahihi chief. Tatizo ni kwamba kwenye private sector biashara zinafungwa kwenye awamu hii. Kiwanda cha nguo mazava morogoro kimefungwa na vijaka kama elfu moja wamekuwa un employed. Kiwanda cha tumbaku poa kimefungwa ajira zaidi ya miatano zimepotea. Sera za uchumi awamu hii ya uraisi zimechangia kwenye upotevu was ajiraKazi ya serikal ni kutengeneza mchaka wa ajira kupatikana kwa wingi. Wether ni private or gov based.
The issue now serikalin ajira zimepungua sana. Sio kama enzi za jk.
Lazima ujue privaye sector ndio yenye mlango mkubwa wa kuajiri kwa sasa.
Ajira za serikal ni un-predictable kwa sasa
Nani kakwambia kuwa kazi ya serikali siyo kuajiri. Kwa hiyo unataka kuaema madaktari, manesi na walimu wakaajiliwe na mo dewji kwenye hospitali au shule za serikali