Kijogoodi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,361
- 2,373
Magari yanayotumiwa na polisi hapa Dar kupiga doria ni asante Makonda yote.
Alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Makonda aliamuru magari yote yaliyokufa na kurundikwa kwenye ofisi mbalimbali za serikali yapelekwe kwenye gereji yafanyiwe ukarabati na yakabidhiwe kwa polisi ili kuwaongezea nguvu ya kupiga doria na kuwahi kwenye maeneo pale linapotokea tukio.
Hali hiyo ilipelekea kuongezeka kwa usalama wa raia kwenye jiji la Dares salaam.
Lakini alipokuja RC Makalla cha kwanza alichoona ni kupiga machinga na kuchoma masoko