Unalazimisha apendwe kwa kutekeleza najukumu yake!!..pia akichukuwa kwa mabaya yake hutaki..Magari yanayotumiwa na polisi hapa Dar kupiga doria ni asante Makonda yote.
Alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Makonda aliamuru magari yote yaliyokufa na kurundikwa kwenye ofisi mbalimbali za serikali yapelekwe kwenye gereji yafanyiwe ukarabati na yakabidhiwe kwa polisi ili kuwaongezea nguvu ya kupiga doria na kuwahi kwenye maeneo pale linapotokea tukio.
Hali hiyo ilipelekea kuongezeka kwa usalama wa raia kwenye jiji la Dares salaam.
Lakini alipokuja RC Makalla cha kwanza alichoona ni kupiga machinga na kuchoma masoko
AiseeYalikua kwenye mpango wa upigaji fedha tu,.. Gharama ya ukarabati ilikua sawa na kuagiza gari mpya tu
Vipi Masuala ya BEN SAANANE,AZORY na Kubenea?Magari yanayotumiwa na polisi hapa Dar kupiga doria ni asante Makonda yote.
Alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Makonda aliamuru magari yote yaliyokufa na kurundikwa kwenye ofisi mbalimbali za serikali yapelekwe kwenye gereji yafanyiwe ukarabati na yakabidhiwe kwa polisi ili kuwaongezea nguvu ya kupiga doria na kuwahi kwenye maeneo pale linapotokea tukio.
Hali hiyo ilipelekea kuongezeka kwa usalama wa raia kwenye jiji la Dares salaam.
Lakini alipokuja RC Makalla cha kwanza alichoona ni kupiga machinga na kuchoma masoko
hapo sasaMagari yanayotumiwa na polisi hapa Dar kupiga doria ni asante Makonda yote.
Alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Makonda aliamuru magari yote yaliyokufa na kurundikwa kwenye ofisi mbalimbali za serikali yapelekwe kwenye gereji yafanyiwe ukarabati na yakabidhiwe kwa polisi ili kuwaongezea nguvu ya kupiga doria na kuwahi kwenye maeneo pale linapotokea tukio.
Hali hiyo ilipelekea kuongezeka kwa usalama wa raia kwenye jiji la Dares salaam.
Lakini alipokuja RC Makalla cha kwanza alichoona ni kupiga machinga na kuchoma masoko
Hivi yale maneno yake ya kejeli hikiyasikia,pumbafu zenu,mji una wenyewe huu lazima tuishi kwa staha,yule na baba yake wote ni devilsKm mtu atasoma vzr ulichoandika ataelewa kuwa waswahili wana mtindio wa akili maana unaeza kuta mtu anashabikia bila kujua makosa ya mtu ,just kasikia mtu anaemheshimu kasema Makonda mbaya basi na yy anabeba hivyo , ila wengi wanaomwandama Makonda ni kundi la madawa , plus wakimbia mimba na familia zao , pia bodaboda + boda boda na hata walijiona miamba mjini jamaa alilala nao sahani moja
Ni yule aliyesababisha mbowe aache biashara ya madawa ya kulevya
Mbona hampeleki mahakamani sasa?Huu ni mwendelezo wa vita aliyoianzisha enzi za ufalme wa jiwe bwana Bashite alitumika either kwa hiari yake au kwaku lazimishwa alivuruga na kuharibu biashara zenye maslahi pia kufedhehesha familia na maswahiba wa timu msoga.
Hivyo jamaa wanalipa kisasi ikumbukwe ndani ya fisiemu kuna vita kati ya timu msoga na timu mwendazake yaani ni mwendo wa mtafte mtafte.
Usimshokee Makonda, ile ilikuwa offer ya mfanyabiashara mmoja mwenye gereji , Makonda hakuwa na pesa hiyo.Magari yanayotumiwa na polisi hapa Dar kupiga doria ni asante Makonda yote.
Alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Makonda aliamuru magari yote yaliyokufa na kurundikwa kwenye ofisi mbalimbali za serikali yapelekwe kwenye gereji yafanyiwe ukarabati na yakabidhiwe kwa polisi ili kuwaongezea nguvu ya kupiga doria na kuwahi kwenye maeneo pale linapotokea tukio.
Hali hiyo ilipelekea kuongezeka kwa usalama wa raia kwenye jiji la Dares salaam.
Lakini alipokuja RC Makalla cha kwanza alichoona ni kupiga machinga na kuchoma masoko
Wengi wanaomchukia ni team ROHO MBAYA anti Magufuli ambao mianya yao ya upigaji pia ilizibwa.Magari yanayotumiwa na polisi hapa Dar kupiga doria ni asante Makonda yote.
Alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Makonda aliamuru magari yote yaliyokufa na kurundikwa kwenye ofisi mbalimbali za serikali yapelekwe kwenye gereji yafanyiwe ukarabati na yakabidhiwe kwa polisi ili kuwaongezea nguvu ya kupiga doria na kuwahi kwenye maeneo pale linapotokea tukio.
Hali hiyo ilipelekea kuongezeka kwa usalama wa raia kwenye jiji la Dares salaam.
Lakini alipokuja RC Makalla cha kwanza alichoona ni kupiga machinga na kuchoma masoko
Kweli kabisaWengi wanaomchukia ni team ROHO MBAYA anti Magufuli ambao mianya yao ya upigaji pia ilizibwa.
Hili kundi ndio anatokea pia Said Kubenea aliyefungua kesi dhidi ya Mh Makonda.