Gaidi mbowe jeSabaya pia.alitatua migogoro mbali mbali ya wafugaji.na wakulima,jinai ni jinai
Kwa wauza madawa ya kulevya lazima wamuone ni katili sanaKitu nimejifunza HATA UWE MBAYA KIASI GANI.. AU MKATILI KIASI GANI. Bado utapata wafuasi Wengi Tu Ali mradi uwe na cheo kikubwa au nguvu kubwa ya pesa. Ukatili wa Makonda kuona ana washabiki.. inashangaza watu wengi lakini ndio life lilivyo #Sad..
Tatizo ni moja, mabaya ya Makonda hayasemwi dhahiri shahiri!Kitu nimejifunza HATA UWE MBAYA KIASI GANI.. AU MKATILI KIASI GANI. Bado utapata wafuasi Wengi Tu Ali mradi uwe na cheo kikubwa au nguvu kubwa ya pesa. Ukatili wa Makonda kuona ana washabiki.. inashangaza watu wengi lakini ndio life lilivyo #Sad..
Kipato Chao kinaongezeka mkuu.Makonda akifungwa wewe unafaidika na nini?
Hawatakaa wakuletee maana hawana tuhuma wala ushahidi wowote kuhusu Makonda ila kinachowatesa ni unyumbu tuTatizo ni moja, mabaya ya Makonda hayasemwi dhahiri shahiri!
Kila mtu anayesema "Makonda mbaya" huishia kusema ya Clouds yaliyokwisha fikia muafaka wa kusameheana na maisha yakaendelea!
Tunataka tuhuma zake ziwekwe wazi ili tujue tukae upande gani.
Kusema watu wote tumchukie Makonda kiushabiki wa "bendara fuata upepo", haitawezekana.
Wengine tupo neutral siyo mashabiki wala maadui zake.
Leteni hoja za tuhuma zake zenye ukweli tuzitathimini pamoja.
***** harudi tena
πππNikitaka kuwa chawa kama wewe, nitalipwa dollar ngapi kwa thread moja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Km mtu atasoma vzr ulichoandika ataelewa kuwa waswahili wana mtindio wa akili maana unaeza kuta mtu anashabikia bila kujua makosa ya mtu ,just kasikia mtu anaemheshimu kasema Makonda mbaya basi na yy anabeba hivyo , ila wengi wanaomwandama Makonda ni kundi la madawa , plus wakimbia mimba na familia zao , pia bodaboda + boda boda na hata walijiona miamba mjini jamaa alilala nao sahani mojaTatizo ni moja, mabaya ya Makonda hayasemwi dhahiri shahiri!
Kila mtu anayesema "Makonda mbaya" huishia kusema ya Clouds yaliyokwisha fikia muafaka wa kusameheana na maisha yakaendelea!
Tunataka tuhuma zake ziwekwe wazi ili tujue tukae upande gani.
Kusema watu wote tumchukie Makonda kiushabiki wa "bendara fuata upepo", haitawezekana.
Wengine tupo neutral siyo mashabiki wala maadui zake.
Leteni hoja za tuhuma zake zenye ukweli tuzitathimini pamoja.
Yes.. na Ma**shoga pia[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wauza madawa ya kulevya lazima wamuone ni katili sana