Wanaomchukia Makonda ina maana hawaoni hata magari ya polisi?

Yalikua kwenye mpango wa upigaji fedha tu,.. Gharama ya ukarabati ilikua sawa na kuagiza gari mpya tu
 
Unalazimisha apendwe kwa kutekeleza najukumu yake!!..pia akichukuwa kwa mabaya yake hutaki..
 
Kama kesi itaenda mahakamani... wasiwasi wa nini?! Kuna alie jichukulia sheria mkononi? Acheni kutetea ujinga...au mahakama zenu hamziamini.
 
Vipi Masuala ya BEN SAANANE,AZORY na Kubenea?
 
hapo sasa
 
Huu ni mwendelezo wa vita aliyoianzisha enzi za ufalme wa jiwe bwana Bashite alitumika either kwa hiari yake au kwaku lazimishwa alivuruga na kuharibu biashara zenye maslahi pia kufedhehesha familia na maswahiba wa timu msoga.
Hivyo jamaa wanalipa kisasi ikumbukwe ndani ya fisiemu kuna vita kati ya timu msoga na timu mwendazake yaani ni mwendo wa mtafte mtafte.
 
Hivi yale maneno yake ya kejeli hikiyasikia,pumbafu zenu,mji una wenyewe huu lazima tuishi kwa staha,yule na baba yake wote ni devils
 
Mbona hampeleki mahakamani sasa?
 
Usimshokee Makonda, ile ilikuwa offer ya mfanyabiashara mmoja mwenye gereji , Makonda hakuwa na pesa hiyo.
 
Wengi wanaomchukia ni team ROHO MBAYA anti Magufuli ambao mianya yao ya upigaji pia ilizibwa.

Hili kundi ndio anatokea pia Said Kubenea aliyefungua kesi dhidi ya Mh Makonda.
 
Wengi wanaomchukia ni team ROHO MBAYA anti Magufuli ambao mianya yao ya upigaji pia ilizibwa.

Hili kundi ndio anatokea pia Said Kubenea aliyefungua kesi dhidi ya Mh Makonda.
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…