Wanaomchukia Rais mitaani wengi ni Wanawake, ila wanaoandaa Kongamano Kubwa Kumsifu Rais kwa miaka yake Miwili ni Wanawake hao hao

Wanaomchukia Rais mitaani wengi ni Wanawake, ila wanaoandaa Kongamano Kubwa Kumsifu Rais kwa miaka yake Miwili ni Wanawake hao hao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ngoja tuendelee tu kunywa Mtori na Nyama huenda tukazikuta chini ya Sahani na Mabakuli.

Ngojea Sasa nimsikie Mwanamke yoyote iwe ndani ya DalaDala au Mtaani anaulalamikia Uongozi wa Rais GENTAMYCINE nitamtandika bonge la Kofi / Keleb.

Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama Unafiki na Watu kutokuwa na Msimamo huku wakiwa Wepesi Kununulika na Kutumika.

Na hivi Viganja Vyangu vya Mikono Vimekomaa kwa Mazoezi yangu Tukuka ya Karate na Kung Fu nina uhakika huyo Mwanamke atakayeingia katika 18 zangu kwa Kofi nitakalompiga ana mawili ama akimbizwe ICU Muhimbili au apelekwe moja kwa moja Wodi Namba 16 ( Mortuary ) hapo hapo Muhimbili National Hospital kusubiria Maziko yake.

Wapuuzi wakubwa na Wanafiki nyie.

Hovyoooooo........!!!!!!
 
Back
Top Bottom