Wanaomiliki Toyota Starlet wanaonekana vituko wakiwa mjini na Vigari vyao

Lengo la kumiliki chombo cha usafiri kama gari ni nini? Kwa watu wengi ni kuweza kusafiri kutoka sehemu mmoja na kwenda sehemu nyingine wakati wowote anapoamua , kwa kuzingatia usalama na kwa gharama nafuu. Mambo mengine yote ni "extra extra" zisizokuwa na manufaa yoyote hasa kipindi hiki dunia inapotaka kupunguza mabadiliko ya tabia nchi.
 
Hakuna kadhaa kubwa kama kupanda daladala, ni basi tu hatuna hela ila daladala hapana kwa kweli.

Mwenzako yupo kwa ndinga yake, iwe starlet au VX V8 ni gari yake na anafurahia anachoendesha.
Daladala/mwendokasi ni laana.
 
Daladala/mwendokasi ni laana.
 
Hapo kwenye starlet Aisee hapana kama hela haitoshi jitahidi uendelee kujichanga uvute gari la kueleweka na sio kuharakisha kununua gari mwishowe ni aibu tu mnajitia barabarani
Kati ya kushika bomba la daladala/mwendokasi na starlet Kwa mtu mzima kama wewe ukiwa umepanga kama mbuzi kwenye fuso la mnadani mkibadilishana jasho, kikwapa na harufu za mdomo kipi ni aibu?
 
Umeipanda leo nini mkuu?🤣
Huu usafiri hapana kwakweli.

Kwanza kuna daladala zimechoka ndani zaidi ya mabanda ya kuku.

Na hili jua linavyowaka, mbanano na harufu aina tofauti, hakuna tofauti na jalalani.

No wonder watu wengi wa DSM ambao wengi wanapanda daladala wana makasiriko muda wote.

Ifike hatua kama umehamia DSM kutafuta maisha na ndani ya miaka 5 huna hata starlet, rudi mkoani kwenu tu.

Daladala/mwendokasi ni laana.
 
CC Mohamed mtaleban
 
Kumbe jamaa mwenyewe jobless, si ajabu hela ya kula kaweka bando ..then unaponda wenye starlet.

Wonder shall never end.
 
Ni kweli mkuu,
Kupanda usafiri wa umma nchi hii ni laana, mnakanyagana kupita maelezo, watu wananuka vikwapa mixer midomo...tafrani tupu!!
 
Ni ujinga wa mtu mwenyewe atakae waza hivyo hii gari kama zingine na pia ukiweza kuwaza hivyo ni moja ya uzwazwa kichwani mwa mtu na ndio ule msemo wa maskin akipata ni madako Hulia hilia ni dalili ya ushoga [emoji57][emoji51]
 
Kwaiyo ndio mmeamua mje kutusema uku kwakua ndio usafiri wetu tuendelee kuishi humo
 
Kumbe jamaa mwenyewe jobless, si ajabu hela ya kula kaweka bando ..then unaponda wenye starlet.

Wonder shall never end.
Wewe sio kila jobless hana hela. Watu tuna miradi ya biashara tunaiyendesha wemyewe wala hatutegemei kuwa mtumwa wa biashara ya mtu.
 
Kwaiyo ndio mmeamua mje kutusema uku kwakua ndio usafiri wetu tuendelee kuishi humo
Sijawasema bali nimeongea ukweli. Acheni kununua magari ya ajabu ajabu kwa kutaka uharaka wa maisha. Why usijichange ukasubiri nawe ununue gari la maana
 
Ni ujinga wa mtu mwenyewe atakae waza hivyo hii gari kama zingine na pia ukiweza kuwaza hivyo ni moja ya uzwazwa kichwani mwa mtu na ndio ule msemo wa maskin akipata ni madako Hulia hilia ni dalili ya ushoga [emoji57][emoji51]
Kwako inaweza kuwa gari ila kwa mwingine ni kichekesho
 
Mbongo asipokuwa nacho anataka yule aliyenancho awe kama yeye...

#Roho za kichawi...
 
Nakuonea huruma kwa huo mtazamo wako. Wee tembea tu na mguu mwenzako na starlet yake tuone nani anamudu maisha zaidi😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…