Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
- Thread starter
-
- #161
Sawa wewe unavimbia nini na starlet yako, unatofauti gani na bajaji bora bajaji anaingiza helaMbongo asipokuwa nacho anataka yule aliyenancho awe kama yeye...
#Roho za kichawi...
Unaona eh!!Mbongo asipokuwa nacho anataka yule aliyenancho awe kama yeye...
#Roho za kichawi...
Kwani kuna watembea kwa miguu na wapanda daladala wangapi wanamudu maisha yao. Kwangu daladala ni best option kwanza sidharauriki, hakuna mtu anayejua kipato changu, nakutana na jamii na watu tofauti tofauti na jifunza maisha na ki ujamaa nikiwa ndani ya daladalaNakuonea huruma kwa huo mtazamo wako. Wee tembea tu na mguu mwenzako na starlet yake tuone nani anamudu maisha zaidi[emoji23][emoji1787]
Sasa mimi nina nini cha kumuonea wivu mwenye starlet? Kama ni usafiri napata kupitia daladala, kama kunyeshewa na mvua hata kwenye daladala sinyeshewi, kuhusu comfortable hata ukipata siti kwenye daladala comfortable ipo hasa seat iwe ya dilishani. Sasa wivu utoke wapi??wenye wivu utamjua tu!!
Nataka watu wote wenye vigari vya starlet myaache magari yenu au ikiwezekana myafanye vyuma chakavu au toeni siti iwe banda la kufugia kuku. Msiwe na haraka ya kumiliki gari ya bei ya chini. Jaribuni kuendelea kujiwekea fedha zaidi na mnunue magari yenye hadhi ili hata sisi watembea kwa miguu mtutolee uvivu wa kuomba liftMbongo asipokuwa nacho anataka yule aliyenancho awe kama yeye...
#Roho za kichawi...
mjini mipango ndugu, fata yako !!Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwani wewe mtu akisema jobless unaelewa nini??? Kwani huko kwenye miradi ya biashara si ndo mtu anakofanyia kazi?? Au kwako wewe jobless ni ile kutokuwa na ajira pekee?? U-JOBLESS WA HUYO JAMAA NI KWAMBA HANA AJIRA NA WALA HANA MRADI WALA BISHARA INAYOMWINGIZIA KIPATO, LAKINI ANADIRIKI KUMCHEKA KWENYE GARI DOGO.Wewe sio kila jobless hana hela. Watu tuna miradi ya biashara tunaiyendesha wemyewe wala hatutegemei kuwa mtumwa wa biashara ya mtu.
Nataka watu wote wenye vigari vya starlet myaache magari yenu au ikiwezekana myafanye vyuma chakavu au toeni siti iwe banda la kufugia kuku. Msiwe na haraka ya kumiliki gari ya bei ya chini. Jaribuni kuendelea kujiwekea fedha zaidi na mnunue magari yenye hadhi ili hata sisi watembea kwa miguu mtutolee uvivu wa kuomba lift
Ila kwer Sasa utafanyanye na mfumo wa Maisha umebadirikaSijawasema bali nimeongea ukweli. Acheni kununua magari ya ajabu ajabu kwa kutaka uharaka wa maisha. Why usijichange ukasubiri nawe ununue gari la maana
😂😂😂Mtuache na boda boda zetukunasiku niliazima spacio ya blaza Ford yangu ilizingua.gari haikuwa na ac ilibidi nishushe kioo nilijiona mnyonge kinyama Kila nikipita mjini nahisi kilamtu ananijua kama vile natembea nje😁😁
Kwer kabisaUkishaona mtu anatumia muda kudharau chombo cha usafiri cha mwenzake kuwa hakina dhamani;
Iwe baiskeli, Pikipiki, Bajaji au hata gari; Ujue tu huyo hana chombo cha usafiri
Wanaoponda vyomba vya usafiri hapa utakuta ni watembea kwa miguu au wanajivunia magari waliyo nunuliwa na wazazi wao, au pengine wanajivunia magari ya ndugu zao au Marafiki zao (lakini sio magari waliyo nunua kwa hela zao walizo zihangaikia); watuache!
Kila mtu anapendeza akiwa kwenye chombo cha usafiri kinachoendana na kipato chake...
Mpaka nimetaka kumuuliza jamaa daladala za wapi zina nafuu, anafanya kazi gani?Daladala ni usafiri wa hovyo kabisa, hauna afadhali yoyote, hapo mbezi mwisho napita kila iitwayo leo, ni kero kuanzia mwendokasi hadi hizo daladala, kukanyagana, kuchafuana, kunusishana vikwapa na midomo inayonuka. Huwezi linganisha anayeendesha starket/vitz na anayeshika bomba ya daladala. Tusiwaonee wivu mkuu.
Kidogo niandike kuwa huyu jamaa ni under 30, halafu anaweza kuwa anakaa kwa ndugu au nyumba ya familia.Natafuta kazi, nina ujuzi wa kusimamia biashara kwa miaka 5
Habarini wakuu, NAME: Mohammed Ali STATUS: Job Seeker/Businessman DEGREE: BSC Commerce in Accounting EXPERIENCE: 1 years LOCATION: Ubungo Riverside DSM AGE: 24 Years SEX: Male OTHER PROFESSIONAL SKILL: Driving (class D), managing business, photoshop, graphics design. CONTACT: Email-...www.jamiiforums.com
Natafuta kazi, nina ujuzi wa kusimamia biashara kwa miaka 5
Huna akili mtoa mada tafut kwanz kazi
Kwako inaweza kuwa gari ila kwa mwingine ni kichekesho