Wanaomteua makonda huwa wanaona nini kutoka kwake?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Ivi Kuna kitu Gani makonda positive ambacho amewahi Fanya jamii mzima ikaguswa?

Hii LAND ROVER FESTIVAL INA FAIDA GANI?

naomba mwenye kunipa faida tatu za hiki kitu naomba anifahamishe
 
Ivi Kuna kitu Gani makonda positive ambacho amewahi Fanya jamii mzima ikaguswa?

Hii LAND ROVER FESTIVAL INA FAIDA GANI?

naomba mwenye kunipa faida tatu za hiki kitu naomba anifahamishe
Muacheni afanye kazi yake

Jambo lolote linalokutanisha watu kwa pamoja lina faida kiuchumi,kinetwork na kijamii

Wajerumani walifanya festival kama hii Mbona hamkuwashangaa?au kwa sababu ni ngozi nyeupe?

Black tupunguze kujidharau,tunaweza
 
Muacheni afanye kazi yake

Jambo lolote linalokutanisha watu kwa pamoja lina faida kiuchumi,kinetwork na kijamii

Wajerumani walifanya festival kama Mbona hamkuwashangaa?au kwa sababu ni ngozi nyeupe?

Black tupunguze kujidharau,tunaweza
Faida zake Kwa mwananchi ni zipi Tena masikini?
 
Kuna tetesi nilizisikia alikuwa anapora watu mali daslamu sasa wamempelekea Rengi wenyewe ajichagulie😁
 
Ivi Kuna kitu Gani makonda positive ambacho amewahi Fanya jamii mzima ikaguswa?

Hii LAND ROVER FESTIVAL INA FAIDA GANI?

naomba mwenye kunipa faida tatu za hiki kitu naomba anifahamishe
He may not be the best person for the job unayotamani awe, lakini hii ya Land Rover kawa mbunifu

If you don’t get it, forget about it
 
Hicho kinachoitwa Land Rover Festival ni kama marathons za bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…