Wanaomteua makonda huwa wanaona nini kutoka kwake?

Wanaomteua makonda huwa wanaona nini kutoka kwake?

Bahati
Kumiliki siri nyingi za watu fulani
Asili ya chama alichopo

Kuhusu uwezo wa kiutendaji -nadhani kuwa na uwezo wa kiutendaji inaweza isiwe sifa kuu Kama kuwa na uwezo wa kukaa katika limelight.
Duh
 
Makonda anawaumiza sana vichwa sijui kwanini? Huku mnamchukia na headline kila saa, kwann msimpuuze?
Kamuumiza nani ni uthibitisho kuwa Huwa tunaongozwa na Wenda wazimu
 
Mikakati unaelewa lakini maana yake?
Sasa Mkuu, umeuliza swali, wadau tunajibu unaanza kuchallenge tena majibu yetu! Kama unajua si ungekaa kimya usingeleta uzi hapa! Aaah. Kumbe ni uzi wa Chit chat.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha anafanya tukio la mkoani kwake Arusha halafu unauliza faida kwa mtu wa dsm, wewe jamaa ni hater wa kiwango cha sgr.
Mbona ametoa watu dar Hadi kasababisha foreni
 
1. Michezo huunganisha watu
2. Promoting Utalii as Arusha ni kitovu cha tourism
3. Usisahau Royal Tour Impact
4. Uchumi wa eneo husika kukua i.e pa kulala,bars,vyakula, bodaboda etc

Kama hayo yote hujawahi kuyafikiria wewe utakua una shida kifikra
Sizani makonda ni jau tu
 
Mimi siokuwa namkubali saana makonda ila napenda anavyokuwa mbunifu mpaka watanzania wote wanapata attention yake
Wewe mleta mada una chuki binafsi na makonda na hii chuki naona chadema karibia wote wanayo kwasababu zifuatazi
1. Makonda ni mkuu wa mkoa maana yake anamipaka ya kiutawala sasa wewe mtoa mada unauliza jamii yte wanaguswaje? Niambie mkuu wako wa mkoa amefanya nini cha maana au hata lini alitatua mgogoro mpka watu wakamkubali?
2. Makonda anajaribu kubuni namna ya kutatua matatizo mbalimbali. Katika eneo lake analoongoza na kwa namna moja au nyingine anafanikiwa kwa kiasi chake kumbuka migogoro ya ardhi,waliodhulumiwa haki zao n.k je hapo arusha ni viongozi wangapi wamepita na walifanya mabadiliko gani?
3. Niambie mkuu wa mkoa hapa tanzania ambaye labda anafanya mambo makubwa na yenye tija katika jamii na mimi nitakuonesha kuku anayekojoa

N.b ACHENI CHUKI ZENU ACHENI KIJANA WA WATU APIGE KAZI
 
Mbona ametoa watu dar Hadi kasababisha foreni
Sihusiki na akili mgando yako, maswali mepesi ya kujibiwa na mtoto wa chekechea tafuta nursery ya karibu yako mpe mtoto wa preunit
 
Faida zake Kwa mwananchi ni zipi Tena masikini?
Mafundi geriji watapiga hela

Carwash watapiga hela..

Network ukiwa maskin huwez kuelewa hiki kipengele..

Hotel zote Arusha na gesti bubu zote zinaenda kujaaa

Ma cafe na resturant wanaenda kupiga hela

Petrol station zinaenda kuingiza mamilion ya hela

Faida n nyingi sana... Makonda ni mbunifu sana
 
Faida yake ni ipi Kwa mtu aliye dar kigamboni?
Faida ya flyover ni ipi Kwa mtu aliepo bangata Arusha

Mawazo ya kimaskini na unafiki hayawezi ona umuhimu wa hiki kitu
 
Sizani makonda ni jau tu
Na kwa jibu lako hili katika comment hii ya KusiniKuchele nimepigilia mstari kuwa una chuki husda roho mbaya dhidi ya makonda maana umeshindwa kupinga kwa hoja. Hivi unadhani leo hiyo festival akina mama ntilie wangapi watauza vyakula? Wauza bidhaa vya reja reja wangapi watauza? Wamiliki wa guest na hotel wangap watapata wateja wapya? Hiv mwamba unafikiria kwa kutumia ubongo au makamasi?
 
Mafundi geriji watapiga hela

Carwash watapiga hela..

Network ukiwa maskin huwez kuelewa hiki kipengele..

Hotel zote Arusha na gesti bubu zote zinaenda kujaaa

Ma cafe na resturant wanaenda kupiga hela

Petrol station zinaenda kuingiza mamilion ya hela

Faida n nyingi sana... Makonda ni mbunifu sana
Ahsante saana mwamba maaana jamaa anataka faida watakayoipata watu wa arusha Tanzania nzima wapate et anauliza inafaida gan kwa wananchi. Anasahau kuwa huyo n mkuu wa mkoa sio rais
 
Unaangalia then unakuwa benefited with what?
Si kila kitu utaambiwa ufanye tumia akili ndogo tu chukua maji kawauzie kwenye huo mkusanyiko acha chuki hadi kwa wanaume wenzako
 
Mafundi geriji watapiga hela

Carwash watapiga hela..

Network ukiwa maskin huwez kuelewa hiki kipengele..

Hotel zote Arusha na gesti bubu zote zinaenda kujaaa

Ma cafe na resturant wanaenda kupiga hela

Petrol station zinaenda kuingiza mamilion ya hela

Faida n nyingi sana... Makonda ni mbunifu sana
Nishamjibu ila kichwa poyoyo huyu jamaa
 
Back
Top Bottom