Wanaomteua makonda huwa wanaona nini kutoka kwake?

Wanaomteua makonda huwa wanaona nini kutoka kwake?

Hili tukio linafaida kubwa kwa Jiji la Arusha. Mahoteli yanajazana pia wafanya bishara nao watauza bidhaa. Hata wauza Maji watafaidi. Huu ni utalii wa ndani. Ya mkazi wa DSM anaenda kufanya matumizi Arusha .
 
Ivi Kuna kitu Gani makonda positive ambacho amewahi Fanya jamii mzima ikaguswa?

Hii LAND ROVER FESTIVAL INA FAIDA GANI?

naomba mwenye kunipa faida tatu za hiki kitu naomba anifahamishe
Anaemteua ana mpango mkakati nae sisi hatujuwi
 
Back
Top Bottom