TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Kama maandamano?Upumbavu wa Hali ya mbali mno I think
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama maandamano?Upumbavu wa Hali ya mbali mno I think
kasema asiyekuwa na Range abaki nyumbaniNdiyo watu wakusanywe na magari wasio nayo je?
Unaangalia then unakuwa benefited with what?Landrover festival faida yake ni kuwa tunaouza spare parts za landrover tumepiga sana pesa msimu huu.
Wanaopiga rangi wamepiga pesa, mafundi seat covers wamepiga pesa, mechanics wamepiga pesa, watu wa hotel wamefanya biashara maana ni zaidi ya landrover 1,000+ ziko Arusha.
Vituo vya mafuta wameuza sana diesel, wafugaji wameuza sana wanyama maana pale kisongo zinauzwa nyama choma mbaya mbovu kwanzia leo, bodaboda & daladala wanapiga pesa watu wanatoka mjini kwenda kuangalia hilo tamasha
Ni wewe tu kutumia fursa ya mkusanyiko wa watu kupeleka biashara yako
Nakataa landrover festival ni tofauti na Marathon kwenye marathon hautauza spare za magari kama ilivyo kwa landrover, mafundi hawapati kazi kama walivyopata wakati huu wa landrover, vituo vya mafuta hawauzi diesel kwenye marathon kama kwenye landrover festivalHicho kinachoitwa Land Rover Festival ni kama marathons za bongo
Unakua benefited kwenye kuuza spare parts, kubeba abiria kwenye bodaboda, enjoyment, hotel zinajaa, vyakula vinauzwa vya kutosha, vinywaji vya kutosha, Vituo vya mafuta Diesel, petrol inauzwa sana ni wewe tu fursa iko mlangoni ukiamua kulala ni juu yakoUnaangalia then unakuwa benefited with what?
Kwani wasafi festival Ina faida gani?Ivi Kuna kitu Gani makonda positive ambacho amewahi Fanya jamii mzima ikaguswa?
Hii LAND ROVER FESTIVAL INA FAIDA GANI?
naomba mwenye kunipa faida tatu za hiki kitu naomba anifahamishe
Sasa wewe wa kigamboni mambo ya Arusha yanakuhusu Nini?Faida yake ni ipi Kwa mtu aliye dar kigamboni?
Mkuu wa mkoa wa Arusha anafanya tukio la mkoani kwake Arusha halafu unauliza faida kwa mtu wa dsm, wewe jamaa ni hater wa kiwango cha sgr.Faida yake ni ipi Kwa mtu aliye dar kigamboni?