Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Oct 12, 2024 #61 FK21 said: Inatengenezwa au inaunganishwa ? Click to expand... Tunatengeneza
K Kidenga JF-Expert Member Joined Apr 28, 2018 Posts 233 Reaction score 676 Oct 12, 2024 #62 Hili tukio linafaida kubwa kwa Jiji la Arusha. Mahoteli yanajazana pia wafanya bishara nao watauza bidhaa. Hata wauza Maji watafaidi. Huu ni utalii wa ndani. Ya mkazi wa DSM anaenda kufanya matumizi Arusha .
Hili tukio linafaida kubwa kwa Jiji la Arusha. Mahoteli yanajazana pia wafanya bishara nao watauza bidhaa. Hata wauza Maji watafaidi. Huu ni utalii wa ndani. Ya mkazi wa DSM anaenda kufanya matumizi Arusha .
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Oct 12, 2024 #63 FK21 said: Unaamini Kila mtu ana MAPUNGUFU? Click to expand... Kabisa kasoro baba ndubwi tu
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Oct 13, 2024 #64 FK21 said: Ivi Kuna kitu Gani makonda positive ambacho amewahi Fanya jamii mzima ikaguswa? Hii LAND ROVER FESTIVAL INA FAIDA GANI? naomba mwenye kunipa faida tatu za hiki kitu naomba anifahamishe Click to expand... Anaemteua ana mpango mkakati nae sisi hatujuwi
FK21 said: Ivi Kuna kitu Gani makonda positive ambacho amewahi Fanya jamii mzima ikaguswa? Hii LAND ROVER FESTIVAL INA FAIDA GANI? naomba mwenye kunipa faida tatu za hiki kitu naomba anifahamishe Click to expand... Anaemteua ana mpango mkakati nae sisi hatujuwi