Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Hahhahahaaaa nakumbuka niliweka post moja hapa mwaka jana mwanzoni kuwa Jide anapenda kuwatungia nyimbo watu anaotofautiana nao Duu ilikuwa shida mbona ?

Unakaribishwa saaana
 

Attachments

  • 1462889201707.jpg
    1462889201707.jpg
    22.1 KB · Views: 46
Kwani hakumkojozoza halafu tuangalie na mazingira pia ndio tutoe hukumu, haya mambo yametokea sehem ya ulevi na ukiangalia kwa umakini jamaa alikua tayari kagonga vyombo kadhaa. Ingekuwa amesema hivyo studio sawa alistahili lawawa.
Ni kweli kabisa ika kasema alichofanya
 
Mwanaume kumkojoza mwanamke ni jambo la fahari, G Habash alitakiwa kupongezwa kwa kazi nzuri na sio kusemwa. Ni mwanamke gani hataki kukojozwa?


You are very right ,,,,,hata mie nashangaa hivi hamjui wananwake wengi hawajui hata kukojoa wakati wa mambo fulani?,,,,,hivyo ni jambo la fahari kwa Gardena kufanikiwa kwa miaka 15.....
 
Kama wewe ni binadamu uliyezaliwa na mwanamke na una mke/girlfriend/concubine kumbuka yanayofanyika ufichoni ni yenu na mwenzie akijatoa yako hutaonyesha uso wako. Tusiwe kama simba, nyani tunaowaangalia kwenye Geographical channel sisi ni binadamu. Tunajua inakuwaje lakini wanawake wangetoboa yao nadhani wanaume wangejichimbia kaburini. JD kama ana makosa hatujasikia hata siku moja kafumaniwa au ana mchepuko. G. alikuwa pale kwenye kiota chao Ali Hasan Mwinyi kazungukwa na madada poa wakati mke wake anatumbuiza kutafuta mkate wao wote.
 
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Ndo huwa napashangaa hapo samtaimu wanawake wote akili zao hufanana.

Hayo mambo yako wao wasiyehusika yanakuuuma nini?

Gadna katukanwa sana mpk kutungiwa nyimbo sasa Hugo jide kapewa kimoja tu dunia nzima imeshika mabango huwa nashangaa sana .

"Maisha hayaendi bila unafiki"-edo kumwembe[emoji57]
 
Wanawake wote ambao hawana watoto.

Wanawake wote walioachika na wanaume wao.

Wanawake wote wenye stress.

Wanawake wapenda mipasho.

Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.

Wanaume wenye wivu wakike.

Wanaume wasiopenda maendeleo.

Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.
Wewe una wivu wa nini.acha utoto Kwa iyo wewe unakubaliana mwanamke kudhalilishwa Kwa kuwa unamuunga mkono huyo teja wako gardener.
 
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Mkuu heshima kwako,i always respect your comments ,Lakini Kwa hili umekosea,hata Kama anatungiwa wimbo captain lakini Sio kwa hili alilolisema captain,tukubali tu captain aliteleza .
Real men knows how to dis not vomiting in front of camera mkuu.
 
Acha ujinga wewe mambo ya baba na mama yametoka wapi hapa ni jide na gadna .

Yaani ile methali "mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu" fikiri.
Kumbe inauma ikija kwa anayekuhusu. Nadhani umejifunza. Kwa heri milele
 
Wewe una wivu wa nini.acha utoto Kwa iyo wewe unakubaliana mwanamke kudhalilishwa Kwa kuwa unamuunga mkono huyo teja wako gardener.
Binafsi siungi mkono mwanamke (anayejitambua) kudhalilishwa, ila kwa hili la Gadna kwa JD naunga mkono tena kwa 100% na binafsi naona alichelewa sana, ondoeni ushe.nzi wenu humu na muache kuwa biased, mfano mdogo tu JD katoa wimbo wa Ndi ndi ndi...humu ukawa gumzo na kila mtu alijua ni wazi ameimbwa Gadna, ikafuatia video yake ambayo katika hali ya kibinadamu katika mazingira yeyote yale hakuna mwanamke yeyote anayejielewa anaweza kumdhalilisha x mme wake vile LAKINI tofauti na dhihaka na vicheko hakuna mtu humu alowahi kulikemea hilo, leo Gadna kajibu pigo imekuwa nongwa, acheni udoublestandards wenu.
 
ivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?
Hawezi tu kuambiwa from nowhere. Jide ana maneno sana.
 
Mhhh ww utakua, hunitambui huenda unaota,mchana huuu
 
Back
Top Bottom