nyakagwe
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 425
- 212
Hahhahahaaaa nakumbuka niliweka post moja hapa mwaka jana mwanzoni kuwa Jide anapenda kuwatungia nyimbo watu anaotofautiana nao Duu ilikuwa shida mbona ?
Unakaribishwa saaana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahahaaaa nakumbuka niliweka post moja hapa mwaka jana mwanzoni kuwa Jide anapenda kuwatungia nyimbo watu anaotofautiana nao Duu ilikuwa shida mbona ?
Ni kweli kabisa ika kasema alichofanyaKwani hakumkojozoza halafu tuangalie na mazingira pia ndio tutoe hukumu, haya mambo yametokea sehem ya ulevi na ukiangalia kwa umakini jamaa alikua tayari kagonga vyombo kadhaa. Ingekuwa amesema hivyo studio sawa alistahili lawawa.
Na msipokojozwa mnakuja kulalamika humu.Ndi Ndi ndiii
Mwanaume kumkojoza mwanamke ni jambo la fahari, G Habash alitakiwa kupongezwa kwa kazi nzuri na sio kusemwa. Ni mwanamke gani hataki kukojozwa?
Hahahaaaaaa Dr mwakaNdio zao kigwangala naye kadandia treni kwa mbele... waziri wa afya na sanaa wapi na wapi?
Ndo huwa napashangaa hapo samtaimu wanawake wote akili zao hufanana.Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Nimemshangaa sana mweshimiwa sijui ndo kutafuta airtime au vipi [emoji57]Ndio zao kigwangala naye kadandia treni kwa mbele... waziri wa afya na sanaa wapi na wapi?
Wewe una wivu wa nini.acha utoto Kwa iyo wewe unakubaliana mwanamke kudhalilishwa Kwa kuwa unamuunga mkono huyo teja wako gardener.Wanawake wote ambao hawana watoto.
Wanawake wote walioachika na wanaume wao.
Wanawake wote wenye stress.
Wanawake wapenda mipasho.
Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.
Wanaume wenye wivu wakike.
Wanaume wasiopenda maendeleo.
Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.
Acha ujinga wewe mambo ya baba na mama yametoka wapi hapa ni jide na gadna .Think of this if it were your father telling your mother, would you be happy?
Mkuu heshima kwako,i always respect your comments ,Lakini Kwa hili umekosea,hata Kama anatungiwa wimbo captain lakini Sio kwa hili alilolisema captain,tukubali tu captain aliteleza .Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Kumbe inauma ikija kwa anayekuhusu. Nadhani umejifunza. Kwa heri mileleAcha ujinga wewe mambo ya baba na mama yametoka wapi hapa ni jide na gadna .
Yaani ile methali "mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu" fikiri.
Kati ya gadna na jide nani teja?Wewe una wivu wa nini.acha utoto Kwa iyo wewe unakubaliana mwanamke kudhalilishwa Kwa kuwa unamuunga mkono huyo teja wako gardener.
Binafsi siungi mkono mwanamke (anayejitambua) kudhalilishwa, ila kwa hili la Gadna kwa JD naunga mkono tena kwa 100% na binafsi naona alichelewa sana, ondoeni ushe.nzi wenu humu na muache kuwa biased, mfano mdogo tu JD katoa wimbo wa Ndi ndi ndi...humu ukawa gumzo na kila mtu alijua ni wazi ameimbwa Gadna, ikafuatia video yake ambayo katika hali ya kibinadamu katika mazingira yeyote yale hakuna mwanamke yeyote anayejielewa anaweza kumdhalilisha x mme wake vile LAKINI tofauti na dhihaka na vicheko hakuna mtu humu alowahi kulikemea hilo, leo Gadna kajibu pigo imekuwa nongwa, acheni udoublestandards wenu.Wewe una wivu wa nini.acha utoto Kwa iyo wewe unakubaliana mwanamke kudhalilishwa Kwa kuwa unamuunga mkono huyo teja wako gardener.
Hawezi tu kuambiwa from nowhere. Jide ana maneno sana.ivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?