Wanaonekana wa ajabu lakini watarejea Kigoma matajiri sana

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200

Unaweza kuwaita chawa,wanaa,wambeya na jina lolote fanani nalo.

Picha hapo juu ni Mwijaku na Baba Levo vijana maarufu kwa sasa hapa Tanzania hasa kwenye tasnia ya sanaa.

Kinachonivutia kwao ni namna wanavyoisaka shilingi pasi na kujali kuitwa majina tajwa hapo juu bali wao wanajali kinachoingia baada ya!

Binafsi naona biashara yao ya uchawa inawalipa hasa ukizingatia kwa sasa makampuni mengi makubwa yanawahitaji kufanya nao kazi kueneza sifa zake.

Nawaona ni watu waliofanikiwa sana kiuchumi hapo baadae kwa kupitia uchawa wao.
 
Wasanii wengi wana feki life brooo hakuna kitu hapo
 
Basi utajiri utakuwa unapatikana kirahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…