Wanaoongea peke yao wanazidi kuongezeka

Kweli Mshana Jr.... Mm nakumbuka nilipokuwa darasa la kwanza au la pili hv,nilitaka kujifunza kuandika vizuri Sana darasani. Sasa kwa akili za kitoto sikuwa na wazo la kumuomba mtu nishindane Naye ili nione kama naandika vizuri. Badala yake,nilikuwa natumia mikono yangu yote miwili kushindana. Naanza kwa kuandika kwa kulia kisha kushoto,afu baada ya hapo nalinganisha majibu. Mkono utakaokuwa umeandika vizuri unamfinya mwenzake na unamfokea kabisa.. Nilikuwa naumia mwenyew lakini mwisho wa siku nilipambana mpaka nikawa naweza kuandika kwa mikono yote vizuri Sana. Kwa staili hyo hyo
 
Hahhahahaaaa ulifanya colabo na nafsi yako
 
Ni kweli nshawahi kumchk mchz wangu Wa karbu akizungumza baada ya family conflict
 
mimi ni nuhanga niombeeni


Tafuta hobby ya kufanya kila siku itakupunguzia mawazo
jaribu kufuma..ili ukikaa unawaza unakuwa unafuma
au fuatilia tamthilia....ili kila siku uwea kitu cha kukufurahisha
 
Ndo hali halisi ya kuitwa mkubwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…