Wanaoongoza Kivuko cha MV Kazi (Magogoni -Kigamboni) leo 22/08/2024. Wachukuliwe hatua kali

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,487
Reaction score
3,978
TEMESA na Mamlaka zote zinazohusika na Vivuko, Wanatakiwa kuwachukulia hatua kali sana, Waliokuwa wanaongoza MV Kazi leo 22-08-2024 Saa 12:50jioni. Kutoka Upande wa Dar (Magogoni) Kuelekea Kigamboni.

Wamehatarisha sana maisha ya watu.

Kivuko kimetoka Wakati kuna meli iliyokuwa inatoka bandarini.

Awali walisubiri lakini meli ilivyofika karibu na wao wakatoa Kivuko.

Hii ni hatari sana kwasababu Meli na Kivuko vilipishana kidogo sana!

Huku ni kukosa umakini na kuhatarisha maisha ya watu kwa kukusudia kabisa.

Chunguzeni hili jambo sio lakawaida.

Nimetoa hadi muda lilipotokea.

Nimetanguliza hii habari hapa ila kesho nitawasaka pia hao wahusika.

Waache masihara kabisa na maisha ya watu.
 
Acha uoga..
 
Mji umepoa sana peter msechu hajaimba suku nyingi kesho angeamkia studio kuimba nyimbo za maombolezo.
Back to the point huyo nahodha atashinda tu hiyo hearing atasema alishapiga hesabu zake za kinematics na kugundua kuwa meli ba kivuko haviwezi kutana
 
Huyo nahodha alikuwa mlevi bila shaka.
Unajua ilibaki kidogo sana Meli na Kivuko vipigane pasi.
 
Mji umepoa sana peter msechu hajaimba suku nyingi kesho angeamkia studio kuimba nyimbo za maombolezo.
Back to the point huyo nahodha atashinda tu hiyo hearing atasema alishapiga hesabu zake za kinematics na kugundua kuwa meli ba kivuko haviwezi kutana
Bendera kesho zingeamka nusu mlingoti
 
Back
Top Bottom