PreGE2025 Wanaopaswa kuwa rumande muda huu ni mawaziri wezi na mafisadi ya CCM na sio Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Boston12

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
506
Reaction score
1,678
Yaani nchi hii kwa Sasa inasikitisha sana. Yaani ccm kimekuwa chama Cha manyangany'i na mafisadi ya taifa hili.

Kupitia kuwa mwanachama wa CCM, waziri, katibu mkuu, mkuu wa shirika, mkurugenzi wa halmashauri, rais wa nchi anaweza kuamua kuiba mali (rasilimali ) yoyote ya watanganyika na Bado akawa juu ya Sheria, hakuna Cha kumtisha zaidi ya kivuli Cha kifo chake pekee😫😫.

Wezi na mafisadi ya nchi hii, kwa Sasa yanaiba kwa urefu wa kamba zao maana rais wa nchi alishawaruhusu, yanaiba Hadi haki ya wazee, yatima na wajane wa taifa kwa maslahi Yao binafsi bila huruma yoyote.

Report za CAG zipo Kila mwaka Zina wizi mpya lakini hakuna anayethubutu kumuwajibisha mwingine kwa sababu mfumo mzima kuanzia juu Hadi chini kwenye serikali za mitaa ni wizi TU na kubambikia raia wema makosa na Kodi zisizo na kichwa Wala miguu.

Kwa mfano serikali ilikuwa na haja Gani kuteketeza zaidi ya billion 250 kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ingali inataka viongozi wa CCM pekee ndio waibuke washindi?

Hizo billion 254.82 SI Bora zingepelekwa kwenye ruzuku ya umeme ili kupunguza gharama za kununua umeme au maji?

Kwa mfano serikali hii inasititiza matumizi ya nishati safi kwenye makaratasi na sio kwenye uhalisia, Kuna haja Gani unit 2.8 za umeme kunuliwa kwa tsh 1000 wakati vyanzo vya umeme kwa Sasa vimeongezeka nchini kwetu?

Hizo billion 254.82 SI Bora zingeruzuku gharama tanesco ili Sasa mwananchi wa TANZANIA kwa tsh 1000 apate angalau unit 5 za umeme kuliko hivi Sasa anapata unit 2.8? Serikali haioni kwamba hii itakuwa chachu ya wananchi wengi kuhamia kwenye nishati safi ya kupitia na viwanda vingi vidogo vitaanzishwa nchini kwetu na hivyo kusaidia kukuza hali na uchumi wa mtanzania mmoja mmoja?

Lakini Cha ajabu pesa hizo zimepotea Bure kwa maagizo ya waziri wa tamisemi kukata majina ya wapinzani Hadi kuua baadhi ya viongozi kisa TU nafasi za mwenyekiti wa mtaa!

Sasa kwa maagizo kama hayo na upotevu wa pesa za watanganyika kiasi hicho nani anayefanya makosa ya uhaini kwenye taifa hili?

CCM muelewe Tundu Lissu ni mjumbe wetu sisi wananchi juu ya Yale yote yatukwazayo ambayo ninyi mnayaendekeza na kulindana, msiposikiliza ujumbe wa Tundu Lissu mkadhani kumuweka rumande mtamkomesha, eleweni Tundu Lissu sio saizi yenu yeye alishapitishwa kwenye tanuri ya moto na akatoka salama.

Sina hakika endepo wenye nchi (wananchi ) wataamua kuwapitisha ninyi wezi na mafisadi ya taifa hili mnaolindwa na mifumo mibovu ya uchaguzi na kuteuana kama mtahimili maumivu hayo.

Kama mmeamua kufumbia macho kesi za UAHINI wa wezi na mafisadi ya CCM yanayo sababisha umasikini na dhiki kwa watanzania wengi, tunaomba Tundu Lissu atoke rumande mara moja.

Tukitaka kufatilia kwa undani zaidi juu ya kesi za UAHINI nchi hii viongozi wengi wa serikali (mawaziri) ndio wanapaswa wawe rumande muda huu. Hivyo wezi na mafisadi hayana uhalali wa kumtuhumu Tundu Lissu kwa jambo lolote lile zaidi waanze kutoa maboriti kwanza kwenye macho Yao.
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-04-16-13-01-06-1.png
    Screenshot_2025-04-16-13-01-06-1.png
    404.8 KB · Views: 44
Billion 254.82 zingetosha kushusha bill za maji kutoka unit 1 za Sasa kwa tsh 1100 Hadi unit 1 ya maji kunuliwa kwa shs hata 400.
Suala la maji ya uhakika kwa watanzania lisiwe anasa bali liwe kwa umuhimu wa upatikanaji wa huduma za kijamii kwa bei nafuu.
 
Yaani nchi hii kwa Sasa inasikitisha sana. Yaani ccm kimekuwa chama Cha manyangany'i na mafisadi ya taifa hili.

Kupitia kuwa mwanachama wa CCM, waziri, katibu mkuu, mkuu wa shirika, mkurugenzi wa halmashauri, rais wa nchi anaweza kuamua kuiba mali (rasilimali ) yoyote ya watanganyika na Bado akawa juu ya Sheria, hakuna Cha kumtisha zaidi ya kivuli Cha kifo chake pekee😫😫.

Wezi na mafisadi ya nchi hii, kwa Sasa yanaiba kwa urefu wa kamba zao maana rais wa nchi alishawaruhusu, yanaiba Hadi haki ya wazee, yatima na wajane wa taifa kwa maslahi Yao binafsi bila huruma yoyote.

Report za CAG zipo Kila mwaka Zina wizi mpya lakini hakuna anayethubutu kumuwajibisha mwingine kwa sababu mfumo mzima kuanzia juu Hadi chini kwenye serikali za mitaa ni wizi TU na kubambikia raia wema makosa na Kodi zisizo na kichwa Wala miguu.

Kwa mfano serikali ilikuwa na haja Gani kuteketeza zaidi ya billion 250 kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ingali inataka viongozi wa CCM pekee ndio waibuke washindi?

Hizo billion 254.82 SI Bora zingepelekwa kwenye ruzuku ya umeme ili kupunguza gharama za kununua umeme au maji?

Kwa mfano serikali hii inasititiza matumizi ya nishati safi kwenye makaratasi na sio kwenye uhalisia, Kuna haja Gani unit 2.8 za umeme kunuliwa kwa tsh 1000 wakati vyanzo vya umeme kwa Sasa vimeongezeka nchini kwetu?

Hizo billion 254.82 SI Bora zingeruzuku gharama tanesco ili Sasa mwananchi wa TANZANIA kwa tsh 1000 apate angalau unit 5 za umeme kuliko hivi Sasa anapata unit 2.8? Serikali haioni kwamba hii itakuwa chachu ya wananchi wengi kuhamia kwenye nishati safi ya kupitia na viwanda vingi vidogo vitaanzishwa nchini kwetu na hivyo kusaidia kukuza hali na uchumi wa mtanzania mmoja mmoja?

Lakini Cha ajabu pesa hizo zimepotea Bure kwa maagizo ya waziri wa tamisemi kukata majina ya wapinzani Hadi kuua baadhi ya viongozi kisa TU nafasi za mwenyekiti wa mtaa!

Sasa kwa maagizo kama hayo na upotevu wa pesa za watanganyika kiasi hicho nani anayefanya makosa ya uhaini kwenye taifa hili?

CCM muelewe Tundu Lissu ni mjumbe wetu sisi wananchi juu ya Yale yote yatukwazayo ambayo ninyi mnayaendekeza na kulindana, msiposikiliza ujumbe wa Tundu Lissu mkadhani kumuweka rumande mtamkomesha, eleweni Tundu Lissu sio saizi yenu yeye alishapitishwa kwenye tanuri ya moto na akatoka salama.

Sina hakika endepo wenye nchi (wananchi ) wataamua kuwapitisha ninyi wezi na mafisadi ya taifa hili mnaolindwa na mifumo mibovu ya uchaguzi na kuteuana kama mtahimili maumivu hayo.

Kama mmeamua kufumbia macho kesi za UAHINI wa wezi na mafisadi ya CCM yanayo sababisha umasikini na dhiki kwa watanzania wengi, tunaomba Tundu Lissu atoke rumande mara moja.

Tukitaka kufatilia kwa undani zaidi juu ya kesi za UAHINI nchi hii viongozi wengi wa serikali (mawaziri) ndio wanapaswa wawe rumande muda huu. Hivyo wezi na mafisadi hayana uhalali wa kumtuhumu Tundu Lissu kwa jambo lolote lile zaidi waanze kutoa maboriti kwanza kwenye macho Yao.
Aseh umeongea kwa uchungu kweli kweli mkuu,kwa kweli inasikitisha,wengi tunaugulia makali ya maisha.
 
Una uhakika gani Tundu A Lissu naye siyo mwizi???
 
Leta wizi wake hapa!
Kwa hiyo kwako wizi ni jambo jema?
Jitu linaweza likawa jizi na usijue kwa sababu tu halijapata nafasi ya kukwapua! Mpe nafasi uone!

Kigezo kwamba hujui anayoyafanya gizani kisikufanye uhalalishe kwa jamaa siyo mwizi!

Hakuna mwanadamu mkamilifu! Lissu siyo Mungu! Wizi wake ni wa kiwango chake! Ukimpandisha kiwango kuwa waziri, atakuonesha wizi wa kiwango cha waziri! Ukimpa uraisi, atakuonesha wizi wa kiwango cha uraisi na nchi nzima itajua!!
 
Yaani nchi hii kwa Sasa inasikitisha sana. Yaani ccm kimekuwa chama Cha manyangany'i na mafisadi ya taifa hili.

Kupitia kuwa mwanachama wa CCM, waziri, katibu mkuu, mkuu wa shirika, mkurugenzi wa halmashauri, rais wa nchi anaweza kuamua kuiba mali (rasilimali ) yoyote ya watanganyika na Bado akawa juu ya Sheria, hakuna Cha kumtisha zaidi ya kivuli Cha kifo chake pekee😫😫.

Wezi na mafisadi ya nchi hii, kwa Sasa yanaiba kwa urefu wa kamba zao maana rais wa nchi alishawaruhusu, yanaiba Hadi haki ya wazee, yatima na wajane wa taifa kwa maslahi Yao binafsi bila huruma yoyote.

Report za CAG zipo Kila mwaka Zina wizi mpya lakini hakuna anayethubutu kumuwajibisha mwingine kwa sababu mfumo mzima kuanzia juu Hadi chini kwenye serikali za mitaa ni wizi TU na kubambikia raia wema makosa na Kodi zisizo na kichwa Wala miguu.

Kwa mfano serikali ilikuwa na haja Gani kuteketeza zaidi ya billion 250 kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ingali inataka viongozi wa CCM pekee ndio waibuke washindi?

Hizo billion 254.82 SI Bora zingepelekwa kwenye ruzuku ya umeme ili kupunguza gharama za kununua umeme au maji?

Kwa mfano serikali hii inasititiza matumizi ya nishati safi kwenye makaratasi na sio kwenye uhalisia, Kuna haja Gani unit 2.8 za umeme kunuliwa kwa tsh 1000 wakati vyanzo vya umeme kwa Sasa vimeongezeka nchini kwetu?

Hizo billion 254.82 SI Bora zingeruzuku gharama tanesco ili Sasa mwananchi wa TANZANIA kwa tsh 1000 apate angalau unit 5 za umeme kuliko hivi Sasa anapata unit 2.8? Serikali haioni kwamba hii itakuwa chachu ya wananchi wengi kuhamia kwenye nishati safi ya kupitia na viwanda vingi vidogo vitaanzishwa nchini kwetu na hivyo kusaidia kukuza hali na uchumi wa mtanzania mmoja mmoja?

Lakini Cha ajabu pesa hizo zimepotea Bure kwa maagizo ya waziri wa tamisemi kukata majina ya wapinzani Hadi kuua baadhi ya viongozi kisa TU nafasi za mwenyekiti wa mtaa!

Sasa kwa maagizo kama hayo na upotevu wa pesa za watanganyika kiasi hicho nani anayefanya makosa ya uhaini kwenye taifa hili?

CCM muelewe Tundu Lissu ni mjumbe wetu sisi wananchi juu ya Yale yote yatukwazayo ambayo ninyi mnayaendekeza na kulindana, msiposikiliza ujumbe wa Tundu Lissu mkadhani kumuweka rumande mtamkomesha, eleweni Tundu Lissu sio saizi yenu yeye alishapitishwa kwenye tanuri ya moto na akatoka salama.

Sina hakika endepo wenye nchi (wananchi ) wataamua kuwapitisha ninyi wezi na mafisadi ya taifa hili mnaolindwa na mifumo mibovu ya uchaguzi na kuteuana kama mtahimili maumivu hayo.

Kama mmeamua kufumbia macho kesi za UAHINI wa wezi na mafisadi ya CCM yanayo sababisha umasikini na dhiki kwa watanzania wengi, tunaomba Tundu Lissu atoke rumande mara moja.

Tukitaka kufatilia kwa undani zaidi juu ya kesi za UAHINI nchi hii viongozi wengi wa serikali (mawaziri) ndio wanapaswa wawe rumande muda huu. Hivyo wezi na mafisadi hayana uhalali wa kumtuhumu Tundu Lissu kwa jambo lolote lile zaidi waanze kutoa maboriti kwanza kwenye macho Yao.
Tume za kuchunguza ufisadi huundwa nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia, (mfukoni),

Matokeo ya hizo tume ni ufisadi kuendelea

Silence surrenders public responsibilities

Kunyamaza ni kusalimu amri majukumu ya kijamii vile vile kunyamaza siyo amani ball ni kusalimu amri majukumu ya kijamii

Swali je jamii itaendelea kunyamaza ama kunyamazishwa mpaka lini

Swali la pili je CCM wanajua madhara ya jamii kunyamaza ama kunyamazishwa?

CCM ni wataalamu wa kujizima data yaani kuahirisha kufikiri kizalendo, (kuahirisha kufikiri kwa nafsi), kwasababu wanatumia mfumo kandamizi wa unyumbu wa kisiasa kutuongoza,

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Machawa ukiwambia kuhusu unyumbu wa kisiasa watakwambia porojo kwasababu wanaishi nao, hasa kauli mbiu ya 'gentlemen'
 
Siku kikipita chama chochote cha upinzani naomba ccm ifutwe na iwajibishwe.
Ndiyo maana wanaogopa uchaguzi wa haki badala yake wanahubiri watu wafyate mkia yaani wanyamaze

Kunyamaza siyo amani naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwa

Kunyamaza ni kusalimu amri majukumu ya kijamii

Silence surrenders public responsibilities
 
Yaani nchi hii kwa Sasa inasikitisha sana. Yaani ccm kimekuwa chama Cha manyangany'i na mafisadi ya taifa hili.

Kupitia kuwa mwanachama wa CCM, waziri, katibu mkuu, mkuu wa shirika, mkurugenzi wa halmashauri, rais wa nchi anaweza kuamua kuiba mali (rasilimali ) yoyote ya watanganyika na Bado akawa juu ya Sheria, hakuna Cha kumtisha zaidi ya kivuli Cha kifo chake pekee😫😫.

Wezi na mafisadi ya nchi hii, kwa Sasa yanaiba kwa urefu wa kamba zao maana rais wa nchi alishawaruhusu, yanaiba Hadi haki ya wazee, yatima na wajane wa taifa kwa maslahi Yao binafsi bila huruma yoyote.

Report za CAG zipo Kila mwaka Zina wizi mpya lakini hakuna anayethubutu kumuwajibisha mwingine kwa sababu mfumo mzima kuanzia juu Hadi chini kwenye serikali za mitaa ni wizi TU na kubambikia raia wema makosa na Kodi zisizo na kichwa Wala miguu.

Kwa mfano serikali ilikuwa na haja Gani kuteketeza zaidi ya billion 250 kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ingali inataka viongozi wa CCM pekee ndio waibuke washindi?

Hizo billion 254.82 SI Bora zingepelekwa kwenye ruzuku ya umeme ili kupunguza gharama za kununua umeme au maji?

Kwa mfano serikali hii inasititiza matumizi ya nishati safi kwenye makaratasi na sio kwenye uhalisia, Kuna haja Gani unit 2.8 za umeme kunuliwa kwa tsh 1000 wakati vyanzo vya umeme kwa Sasa vimeongezeka nchini kwetu?

Hizo billion 254.82 SI Bora zingeruzuku gharama tanesco ili Sasa mwananchi wa TANZANIA kwa tsh 1000 apate angalau unit 5 za umeme kuliko hivi Sasa anapata unit 2.8? Serikali haioni kwamba hii itakuwa chachu ya wananchi wengi kuhamia kwenye nishati safi ya kupitia na viwanda vingi vidogo vitaanzishwa nchini kwetu na hivyo kusaidia kukuza hali na uchumi wa mtanzania mmoja mmoja?

Lakini Cha ajabu pesa hizo zimepotea Bure kwa maagizo ya waziri wa tamisemi kukata majina ya wapinzani Hadi kuua baadhi ya viongozi kisa TU nafasi za mwenyekiti wa mtaa!

Sasa kwa maagizo kama hayo na upotevu wa pesa za watanganyika kiasi hicho nani anayefanya makosa ya uhaini kwenye taifa hili?

CCM muelewe Tundu Lissu ni mjumbe wetu sisi wananchi juu ya Yale yote yatukwazayo ambayo ninyi mnayaendekeza na kulindana, msiposikiliza ujumbe wa Tundu Lissu mkadhani kumuweka rumande mtamkomesha, eleweni Tundu Lissu sio saizi yenu yeye alishapitishwa kwenye tanuri ya moto na akatoka salama.

Sina hakika endepo wenye nchi (wananchi ) wataamua kuwapitisha ninyi wezi na mafisadi ya taifa hili mnaolindwa na mifumo mibovu ya uchaguzi na kuteuana kama mtahimili maumivu hayo.

Kama mmeamua kufumbia macho kesi za UAHINI wa wezi na mafisadi ya CCM yanayo sababisha umasikini na dhiki kwa watanzania wengi, tunaomba Tundu Lissu atoke rumande mara moja.

Tukitaka kufatilia kwa undani zaidi juu ya kesi za UAHINI nchi hii viongozi wengi wa serikali (mawaziri) ndio wanapaswa wawe rumande muda huu. Hivyo wezi na mafisadi hayana uhalali wa kumtuhumu Tundu Lissu kwa jambo lolote lile zaidi waanze kutoa maboriti kwanza kwenye macho Yao.
Unamuachaje uraiani mtu anataka kuleta uasi??

Huyu atusubiri mpaka tumalize uchaguzi, na akitoka jengo la Mikocheni atakuta limerudi kwa mwenyewe na hela ya TONETONE Heche kanunulia ng'ombe hizi hapa

Screenshot_20250630_141458_Chrome.jpg
 
Kiukweli maswali ni mengi kuliko majibu... Haki ni msamiati mgumu Sana kwa nchi zetu hasa kwa tofauti za kisiasa au kidini
 
Back
Top Bottom