Wanaopinga Azimio la Kimbisa pale Dodoma hawajui Utamaduni wa CCM unaochagizwa na Katiba yake ikisomwa sambamba na Katiba ya JMT. Hii ni Awamu ya 6!

Mbona Wewe Ndio mjinga maana umerudia kile kile nilichoandika Mimi bila wewe mwenyewe kujitambua😄
Umekua na haraka sana kujibu Ndio maana umeona nimeandika kile kile!
Lazima ujume what comes next and what comes first! The premise and conclusion!
 
Kwahiyo hizo " kelele" wanaopiga kuwa nchi iongozwe na katiba wapo sawa au hawapo sawa?
Msingi wa Katiba ya nchi yoyote ni Utamaduni

Ndio sababu Nchi nyingine hawana Katiba iliyoandikwa

Wanaopiga kelele za Katiba mpya hawako sawa kama unabisha angalia Kenya Wenye Katiba mpya wanavyotekana na kuuwana
 
Katiba inasema Rais akifa Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi basi Makamu wa Rais atamalizia hicho Kipindi kilichobaki na kama atagombea Uchaguzi Mkuu na kushinda atakuwa na HAKI ya kuhudumu vipindi viwili

Hapo unasemaje? 😄
Magufuli alifariki miezi mitano baada ya kuchaguliwa kwa hiyo makamo wake aliapishwa kwa lengo la kukamilisha kipindi cha mwisho cha mtangulizi wake. Dhana ya mgombea mwenza ambaye anakuja kuwa makamo wake ndivo hiyo ya kukamilisha kipindi cha awamu, sio kuchagua Rais mpya.

Kumsimika Rais mpya inatakiwa apitie mchakato wa uteuzi na hatimaye kupigiwa kura kitu ambacho kinakwepwa kufanyika na badała yake kufuata mseleleko.
 
ukitazama kwa makini chadema wanahofia kugaragazwa na huyu mama uzuri watanzania sio wajinga miradi wanaiyona kwa macho yao wenyewe
 
Magufuli alifariki miezi mitano baada ya kuchaguliwa kwa hiyo makamo wake aliapishwa kwa lengo la kukamilisha kipindi cha mwisho cha mtangulizi wake. Dhana ya mgombea mwenza ambaye anakuja kuwa makamo wake ndivo hiyo ya kukamilisha kipindi cha awamu, sio kuchagua Rais mpya.

Kumsimika Rais mpya inatakiwa apitie mchakato wa uteuzi na hatimaye kupigiwa kura kitu ambacho kinakwepwa kufanyika na badała yake kufuata mseleleko.
Katiba inazungumzia "Mihula" siyo Awamu

Unaelewa maana ya " kumalizia"?

Muhula ni miaka 5 Ndio sababu unaambiwa kifo cha Rais kikitokea Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu basi Makamu wa Rais " atamalizia" huo muhula 😄

Karibu sana
 
Msingi wa Katiba ya nchi yoyote ni Utamaduni
Unaweza kunipa reference/rejea ya hiki kitu nikajifunze?
Ndio sababu Nchi nyingine hawana Katiba iliyoandikwa
Umekiri wana katiba haipo tu kwenye maandishi ila sio tamaduni.

kuna aina mbili za katiba written constitution & unwritten constitution na sio tamaduni.
Wanaopiga kelele za Katiba mpya hawako sawa kama unabisha angalia Kenya Wenye Katiba mpya wanavyotekana na kuuwana
Katiba ya Kenya umewahi kuisoma?

Unaweza kuweka hapa mlinganyo wa ubora kati ya katiba ya Kenya na Tanzania ?

Binafsi mimi ninazo zote na huwa nafanya rejea muda hadi muda katiba Tanzania si bora kuliko ya Kenya.
 
Unaweza kunipa reference/rejea ya hiki kitu nikajifunze?

Umekiri wana katiba haipo tu kwenye maandishi ila sio tamaduni.

kuna aina mbili za katiba written constitution & unwritten constitution na sio tamaduni.

Katiba ya Kenya umewahi kuisoma?

Unaweza kuweka hapa mlinganyo wa ubora kati ya katiba ya Kenya na Tanzania ?

Binafsi mimi ninazo zote na huwa nafanya rejea muda hadi muda katiba Tanzania si bora kuliko ya Kenya.
Katiba ya Kenya ni Bora kwa kuisoma na siyo kuitekeleza Ndio sababu IGP Kanja kaitwa mahakamani na hajaenda

Fika pale Makumbusho ya Taifa utapewa mtaalam Kabisa wa kukufundisha Somo la Utamaduni, Taratibu na Katiba

Karibu sana 😄
 
Hapo kwenye utamaduni ndipo shida ilipo. Chaka la kuvunjia katiba na sheria.
Kwahiyo na Wakurya waendelee na utamaduni wao wa kukeketa wanawake?

Tamaduni zote za hovyo na za kipumbavu zikomeshwe.
 
Daa hivi Kimbisa Kabila gani👑👑👑
Screenshot_2025-01-24-15-42-33-34.png
 
Katiba inazungumzia "Mihula" siyo Awamu

Unaelewa maana ya " kumalizia"?

Muhula ni miaka 5 Ndio sababu unaambiwa kifo cha Rais kikitokea Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu basi Makamu wa Rais " atamalizia" huo muhula 😄

Karibu sana
Muhula unatokana na awamu. Elewa kwamba Rais mwenye awamu yake anapofariki makamo wake ndiye mwenye stahili ya kumalizia kipindi kilichobaki kwenye awamu.
 
Awamu Ndio inatokana na Mihula Miwili

Ila Kila muhula unajitegemea

Ndio sababu hata Marekani wenye Mihula Miwili kama sisi Trump kwa sasa ni Rais wa 47

Karibu sana 😄
 
Katiba ya Kenya ni Bora kwa kuisoma na siyo kuitekeleza Ndio sababu IGP Kanja kaitwa mahakamani na hajaenda
Huu ni upotoshaji , IG Douglas Kanjo na DCI Mohamed Amin wataenda mahakamni muda ukifika sikiliza hapa , sababu upelelezi wa kesi wanayotuhumiwa haujakamilika.

Kenya mahakama ni mhimili huru na zinajitegemea ndio maana hadi hao polisi wa rank za juu wanaenda mahakamani sio hizo mahakama za CCM

View: https://youtu.be/TtCWlgVohU8?si=_FlFFnOsXAMV-pnE

Pia Kenya Deputy IG Gilbert Masengeli alifikishwa mahakamani baada ya kukiuka wito awali.

View: https://youtu.be/sqcAhuIYs1k?si=769NghfMgqhyZne2

Sasa kama kwa katiba yao wanaweza kuwaita IG ,DCI mahakamani kwa mashitaka je kwa Tanzania mahakama ipi inaweza kuwa na ubavu wa kumuita IG Camilius Wambura au DCI Ramadhan Kingai kama twalishindwa kumwita Afande Fatuma Kingondo aliyetuma wwahuni kumbaka binti wa Yombo?
Fika pale Makumbusho ya Taifa utapewa mtaalam Kabisa wa kukufundisha Somo la Utamaduni, Taratibu na Katiba

Karibu sana 😄
Katiba inafundishwa makumbusho ya taifa?
 
Katiba ya Kenya ni Bora kwa kuisoma na siyo kuitekeleza Ndio sababu IGP Kanja kaitwa mahakamani na hajaenda

Fika pale Makumbusho ya Taifa utapewa mtaalam Kabisa wa kukufundisha Somo la Utamaduni, Taratibu na Katiba

Karibu sana 😄
Hatimaye leo Inspector General wa Police Douglas Kanja na DCI Mohamed Amin wamefika mahakamani kujibu tuhuma za utekaji.

View: https://youtu.be/K5wespDzMT4?si=cshLgqYG5_kccdye

Nyie huko watu wanatekwa bibi wa Unguja anasema kifo ni kifo , bunge na mahakama ameziweka kwenye mkoba wake wenye lip bam.
 
Back
Top Bottom