Wanaopinga Azimio la Kimbisa pale Dodoma hawajui Utamaduni wa CCM unaochagizwa na Katiba yake ikisomwa sambamba na Katiba ya JMT. Hii ni Awamu ya 6!

Wanaopinga Azimio la Kimbisa pale Dodoma hawajui Utamaduni wa CCM unaochagizwa na Katiba yake ikisomwa sambamba na Katiba ya JMT. Hii ni Awamu ya 6!

Wamefika na mateka wamepatikana wakiwa maiti Sasa Kuna katiba Bora hapo? 🐼
Kesi inaendelea .

Wamefika ndio ,Tanzania kuna mahakama inaweza kutoa order IG na DCI wafike mahakamani?

Ubora wa katiba ni kuwa IG na DCI hawako juu ya sheria leo wametinga mahakamani hiyo ndio tofauti na katiba ya Tanzania , mahakama ilishindwa hata kumwita Fatuma Kingodo aliyetuma watu kumbaka binti wa Yombo.
 
Aliwahi kufika mahakamani Rais mstaafu ndio itakuwa IGP 🐼
Hapa tuko na mada ya IGP na DCI.

Uwepo wa Mkapa kwa kipindi kile ilikuwa ni kutestify tu , rais wa Tanzania ana immunity dhidi ya mashtaka ndio maana kichaa kama Magufuli alitumia mwanya huu kufanya kila linalomjia.

Hawa wana mashtaka kabisa.
 
Wana Mashtaka gani hao IGP na DCI?
 
Wana Mashtaka gani hao IGP na DCI?
Uvivu ulionao unashangaza kweli, nimeweka hapo link yenye video ya saa 1:54 kuonyesha muendelezo wa kesi mahakamani halafu unauliza tena wana mashtaka gani?

Haya link nyingine hiii hapa kasome kesi yao inahusu nini.

Labda kama huelewi Maana ya Mashtaka 🐼
 
Magufuli alifariki miezi mitano baada ya kuchaguliwa kwa hiyo makamo wake aliapishwa kwa lengo la kukamilisha kipindi cha mwisho cha mtangulizi wake. Dhana ya mgombea mwenza ambaye anakuja kuwa makamo wake ndivo hiyo ya kukamilisha kipindi cha awamu, sio kuchagua Rais mpya.

Kumsimika Rais mpya inatakiwa apitie mchakato wa uteuzi na hatimaye kupigiwa kura kitu ambacho kinakwepwa kufanyika na badała yake kufuata mseleleko.
ccm wanaogopa kitu kinaitwa kura hata wenyewe kwa wenyewe
 
Kutoa maelezo tu kama Watu hao wanaodhaniwa kutekwa wanashikiliwa na Mapolisi au la!
DCI na IG hawana immunity ya mashtaka.

Maelezo wanayoenda kutoa ndio yako subjected na mashtaka , uchunguzi ukikamilika tarajia askari wa ngazi ya chini nao watajumuishwa.

Ndio maana deputy IG aliposhindwa kufika mahakamani alipewa kifungo cha miezi 6.
 
Kwani hao mateka hawajapatikana?
 
Back
Top Bottom