Kwahiyo hapo alifuata "utamaduni" au hakufuata .Kwa mujibu wa Katiba ameongoza muhula mmoja
Na je nchi inaongozwa kwa katiba au utamaduni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hapo alifuata "utamaduni" au hakufuata .Kwa mujibu wa Katiba ameongoza muhula mmoja
Umekua na haraka sana kujibu Ndio maana umeona nimeandika kile kile!Mbona Wewe Ndio mjinga maana umerudia kile kile nilichoandika Mimi bila wewe mwenyewe kujitambua😄
Nchi inaongizwa kwa Utamaduni Ndio sababu Kila Siku mnalilia Katiba mpyaKwahiyo hapo alifuata "utamaduni" au hakufuata .
Na je nchi inaongozwa kwa katiba au utamaduni?
Nadhani uko Form Three 🐼Umekua na haraka sana kujibu Ndio maana umeona nimeandika kile kile!
Lazima ujume what comes next and what comes first! The premise and conclusion!
Kwahiyo hizo " kelele" wanaopiga kuwa nchi iongozwe na katiba wapo sawa au hawapo sawa?Nchi inaongizwa kwa Utamaduni Ndio sababu Kila Siku mnalilia Katiba mpya
Msingi wa Katiba ya nchi yoyote ni UtamaduniKwahiyo hizo " kelele" wanaopiga kuwa nchi iongozwe na katiba wapo sawa au hawapo sawa?
Magufuli alifariki miezi mitano baada ya kuchaguliwa kwa hiyo makamo wake aliapishwa kwa lengo la kukamilisha kipindi cha mwisho cha mtangulizi wake. Dhana ya mgombea mwenza ambaye anakuja kuwa makamo wake ndivo hiyo ya kukamilisha kipindi cha awamu, sio kuchagua Rais mpya.Katiba inasema Rais akifa Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi basi Makamu wa Rais atamalizia hicho Kipindi kilichobaki na kama atagombea Uchaguzi Mkuu na kushinda atakuwa na HAKI ya kuhudumu vipindi viwili
Hapo unasemaje? 😄
Katiba inazungumzia "Mihula" siyo AwamuMagufuli alifariki miezi mitano baada ya kuchaguliwa kwa hiyo makamo wake aliapishwa kwa lengo la kukamilisha kipindi cha mwisho cha mtangulizi wake. Dhana ya mgombea mwenza ambaye anakuja kuwa makamo wake ndivo hiyo ya kukamilisha kipindi cha awamu, sio kuchagua Rais mpya.
Kumsimika Rais mpya inatakiwa apitie mchakato wa uteuzi na hatimaye kupigiwa kura kitu ambacho kinakwepwa kufanyika na badała yake kufuata mseleleko.
Unaweza kunipa reference/rejea ya hiki kitu nikajifunze?Msingi wa Katiba ya nchi yoyote ni Utamaduni
Umekiri wana katiba haipo tu kwenye maandishi ila sio tamaduni.Ndio sababu Nchi nyingine hawana Katiba iliyoandikwa
Katiba ya Kenya umewahi kuisoma?Wanaopiga kelele za Katiba mpya hawako sawa kama unabisha angalia Kenya Wenye Katiba mpya wanavyotekana na kuuwana
Ataongoza aliyechaguliwa kati ya wa ccm waliojitokeza. Hii precedence inayowekwa lazima itakuja leta shida Siku zijazo.Katiba
Katiba ya CCM ukiisoma sambamba na ile ya jmt inasema Rais wa JMT ataongoza Kwa Mihula miwili 😄
Katiba ya Kenya ni Bora kwa kuisoma na siyo kuitekeleza Ndio sababu IGP Kanja kaitwa mahakamani na hajaendaUnaweza kunipa reference/rejea ya hiki kitu nikajifunze?
Umekiri wana katiba haipo tu kwenye maandishi ila sio tamaduni.
kuna aina mbili za katiba written constitution & unwritten constitution na sio tamaduni.
Katiba ya Kenya umewahi kuisoma?
Unaweza kuweka hapa mlinganyo wa ubora kati ya katiba ya Kenya na Tanzania ?
Binafsi mimi ninazo zote na huwa nafanya rejea muda hadi muda katiba Tanzania si bora kuliko ya Kenya.
Kwahiyo na Wakurya waendelee na utamaduni wao wa kukeketa wanawake?Hapo kwenye utamaduni ndipo shida ilipo. Chaka la kuvunjia katiba na sheria.
Muhula unatokana na awamu. Elewa kwamba Rais mwenye awamu yake anapofariki makamo wake ndiye mwenye stahili ya kumalizia kipindi kilichobaki kwenye awamu.Katiba inazungumzia "Mihula" siyo Awamu
Unaelewa maana ya " kumalizia"?
Muhula ni miaka 5 Ndio sababu unaambiwa kifo cha Rais kikitokea Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu basi Makamu wa Rais " atamalizia" huo muhula 😄
Karibu sana
Awamu Ndio inatokana na Mihula MiwiliMuhula unatokana na awamu. Elewa kwamba Rais mwenye awamu yake anapofariki makamo wake ndiye mwenye stahili ya kumalizia kipindi kilichobaki kwenye awamu.
Huu ni upotoshaji , IG Douglas Kanjo na DCI Mohamed Amin wataenda mahakamni muda ukifika sikiliza hapa , sababu upelelezi wa kesi wanayotuhumiwa haujakamilika.Katiba ya Kenya ni Bora kwa kuisoma na siyo kuitekeleza Ndio sababu IGP Kanja kaitwa mahakamani na hajaenda
Katiba inafundishwa makumbusho ya taifa?Fika pale Makumbusho ya Taifa utapewa mtaalam Kabisa wa kukufundisha Somo la Utamaduni, Taratibu na Katiba
Karibu sana 😄
Hatimaye leo Inspector General wa Police Douglas Kanja na DCI Mohamed Amin wamefika mahakamani kujibu tuhuma za utekaji.Katiba ya Kenya ni Bora kwa kuisoma na siyo kuitekeleza Ndio sababu IGP Kanja kaitwa mahakamani na hajaenda
Fika pale Makumbusho ya Taifa utapewa mtaalam Kabisa wa kukufundisha Somo la Utamaduni, Taratibu na Katiba
Karibu sana 😄