johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Wamefika na mateka wamepatikana wakiwa maiti Sasa Kuna katiba Bora hapo? 🐼Hatimaye leo Inspector General wa Police Douglas Kanja na DCI Mohamed Amin wamefika mahakamani kujibu tuhuma za utekaji.
View: https://youtu.be/K5wespDzMT4?si=cshLgqYG5_kccdye
Nyie huko watu wanatekwa bibi wa Unguja anasema kifo ni kifo , bunge na mahakama ameziweka kwenye mkoba wake wenye lip bam.
Katiba ya JMT umeisingizia, haisemi hayoKwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 ...
Utamaduni wa chama hauna nguvu ya Kikatiba, yaani siyo binding kwa ummaKwa mujibu wa Utamaduni wa CCM Rais wa JMT anaongoza kwa Mihula miwili...
Kesi inaendelea .Wamefika na mateka wamepatikana wakiwa maiti Sasa Kuna katiba Bora hapo? 🐼
Aliwahi kufika mahakamani Rais mstaafu ndio itakuwa IGP 🐼Kesi inaendelea .
Wamefika ndio ,Tanzania kuna mahakama inaweza kutoa order IG na DCI wafike mahakamani?
Hapa tuko na mada ya IGP na DCI.Aliwahi kufika mahakamani Rais mstaafu ndio itakuwa IGP 🐼
Wana Mashtaka gani hao IGP na DCI?Hapa tuko na mada ya IGP na DCI.
Uwepo wa Mkapa kwa kipindi kile ilikuwa ni kutestify tu , rais wa Tanzania ana immunity dhidi ya mashtaka ndio maana kichaa kama Magufuli alitumia mwanya huu kufanya kila linalomjia.
Hawa wana mashtaka kabisa.
Uvivu ulionao unashangaza kweli, nimeweka hapo link yenye video ya saa 1:54 kuonyesha muendelezo wa kesi mahakamani halafu unauliza tena wana mashtaka gani?Wana Mashtaka gani hao IGP na DCI?
Labda kama huelewi Maana ya Mashtaka 🐼Uvivu ulionao unashangaza kweli, nimeweka hapo link yenye video ya saa 1:54 kuonyesha muendelezo wa kesi mahakamani halafu unauliza tena wana mashtaka gani?
Haya link nyingine hiii hapa kasome kesi yao inahusu nini.
Na labda wewe hujui kusoma au huelewi nilichokiweka hapo.Labda kama huelewi Maana ya Mashtaka 🐼
Mimi nafuatilia hii case hadi saa chache zilizopita mubasharaNa labda wewe hujui kusoma au huelewi nilichokiweka hapo.
Kwahiyo hao watu wameitwa kwenda kupiga kampeni za UDA mahakamani?,Mimi nafuatilia hii case hadi saa chache zilizopita mubashara
Siyo kila shauri lililopo mahakamani ni Mashtaka 🐼
ccm wanaogopa kitu kinaitwa kura hata wenyewe kwa wenyeweMagufuli alifariki miezi mitano baada ya kuchaguliwa kwa hiyo makamo wake aliapishwa kwa lengo la kukamilisha kipindi cha mwisho cha mtangulizi wake. Dhana ya mgombea mwenza ambaye anakuja kuwa makamo wake ndivo hiyo ya kukamilisha kipindi cha awamu, sio kuchagua Rais mpya.
Kumsimika Rais mpya inatakiwa apitie mchakato wa uteuzi na hatimaye kupigiwa kura kitu ambacho kinakwepwa kufanyika na badała yake kufuata mseleleko.
Kutoa maelezo tu kama Watu hao wanaodhaniwa kutekwa wanashikiliwa na Mapolisi au la!Kwahiyo hao watu wameitwa kwenda kupiga kampeni za UDA mahakamani?,
DCI na IG hawana immunity ya mashtaka.Kutoa maelezo tu kama Watu hao wanaodhaniwa kutekwa wanashikiliwa na Mapolisi au la!
Kwani hao mateka hawajapatikana?DCI na IG hawana immunity ya mashtaka.
Maelezo wanayoenda kutoa ndio yako subjected na mashtaka , uchunguzi ukikamilika tarajia askari wa ngazi ya chini nao watajumuishwa.
Ndio maana deputy IG aliposhindwa kufika mahakamani alipewa kifungo cha miezi 6.
Mmoja hajapatikana watatu wamekutwa wamefariki.Kwani hao mateka hawajapatikana?