mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
pamojaYafanyiwe kazi yafuatayo;
1. Mda wa mkataba usizidi miaka 10 na iwe renewable
2. Apewe bandari moja au mbili na sio kupewa bandari zote za nchini
3. Akubali tusuluhishe mahakama za ndani kama mmojawapo akizingua
4. Kiwekwe kipengele cha kuvunja mkataba endapo itabidi
[emoji625][emoji625]Yafanyiwe kazi yafuatayo;
1. Mda wa mkataba usizidi miaka 10 na iwe renewable
2. Apewe bandari moja au mbili na sio kupewa bandari zote za nchini
3. Akubali tusuluhishe mahakama za ndani kama mmojawapo akizingua
4. Kiwekwe kipengele cha kuvunja mkataba endapo itabidi
Miaka kumi kwa biashara ya bandari naona ni michache sana yaani mtu alete mifumo ya maana ya mabillioni halafu mkataba miaka kumi...hivi anakuwa hata kasharudisha mtaji?Yafanyiwe kazi yafuatayo;
1. Mda wa mkataba usizidi miaka 10 na iwe renewable
2. Apewe bandari moja au mbili na sio kupewa bandari zote za nchini
3. Akubali tusuluhishe mahakama za ndani kama mmojawapo akizingua
4. Kiwekwe kipengele cha kuvunja mkataba endapo itabidi
That's good👍Yafanyiwe kazi yafuatayo;
1. Mda wa mkataba usizidi miaka 10 na iwe renewable
2. Apewe bandari moja au mbili na sio kupewa bandari zote za nchini
3. Akubali tusuluhishe mahakama za ndani kama mmojawapo akizingua
4. Kiwekwe kipengele cha kuvunja mkataba endapo itabidi
Bado unakubali sisi watanzania hatuwezi kwa namna yoyote ile kuendesha bandari?Yafanyiwe kazi yafuatayo;
1. Mda wa mkataba usizidi miaka 10 na iwe renewable
2. Apewe bandari moja au mbili na sio kupewa bandari zote za nchini
3. Akubali tusuluhishe mahakama za ndani kama mmojawapo akizingua
4. Kiwekwe kipengele cha kuvunja mkataba endapo itabidi
Kwa kweli hatuwezi, tatizo wanakula sanaaaa kupitiliza, angalau hawa tutaona mapatoBado unakubali sisi watanzania hatuwezi kwa namna yoyote ile kuendesha bandari?
Walishafuta nyingine mbili, na huu wakifuta sitashangaa, na hii imedhihirisha kweli kwamba ni kweli either ni udini au ni ufisadiNchi hii imejawa na walemavu wa Akili kila Kona.
Moderate kwanini mnaacha uchafu kama huu ujadiliwe?
Sema wakati wa dikteta, iliendeshwa kwa hasara na ndio chanzo cha kuibia watu mali zaoMtoa maada akili kisoda..wakati wa magu kwani ilikuwa inaendeshwaje??.
Toa mawazo ya kurekebishwa....sio kulaumu na kusingizia..Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake
Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi,
Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu?
Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja?
Angekuwa mzungu tungepinga?
AiseeMtoa maada akili kisoda..wakati wa magu kwani ilikuwa inaendeshwaje??.
Mkataba upo wazi na utajadiliwa bungeni tarehe 10 /6Mimi sipingi Bandari kukodishwa na Dubai ports World wasi wasi wangu ni mkataba huenda ukawa ni ilie ile mikataba mibovu ambayo Serkali ya CCM huingia miaka yote.
Mikataba ya akina Mangungo na Mkoloni.
Umefikiria upande wa hasara.Kwa kweli hatuwezi, tatizo wanakula sanaaaa kupitiliza, angalau hawa tutaona mapato
Nimeshatoa maoni yangu ya kurkebisha na natumai yamefanyiwa kazi, na nikiona bado na kuna mapungufu nitasema tena,Toa mawazo ya kurekebishwa....sio kulaumu na kusingizia..