Wanaopinga bandari kubinafsishwa ni mafisadi wanaogopa mirija kuzibwa na kukatwa au ni wadini?

Wanaopinga bandari kubinafsishwa ni mafisadi wanaogopa mirija kuzibwa na kukatwa au ni wadini?

Mbona unamsemea huyo mwekezaji?
Yeye mwenyewe ataongea akiona haitoshi!
Ni issue ya negotiation tu!
Ila serikali yetu iweke offer ya miaka 10
Sidhani Kama imewahi fanya biashara au wajua biashara...mtu aweke mifumo,ajenge Kisha umpe miaka kumi!?..kujenga tu miaka si chini ya mitatu
 
Yapo mengi ila la muhimu
Tuhakikishe kila anaepewa eneo nyeti awe na elimu ya uraia na uzalendo wa kutosha
Uadilifu, khofu ya Mungu
Tanzania kwanza
Elimu ya uraia haisaidii chochote,wanaopewa dhamana Leo walisoma siasa na urai shule za msingi mpaka sekondari
 
Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake
Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi,

Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu?
Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja?
Angekuwa mzungu tungepinga?

Du haya, safari ni ndefu bafo naona
 
Mwarabu hana tofauti na shetani ataigeuza Tanzania nchi ya magaidi km somalia
 
Yafanyiwe kazi yafuatayo;
1. Mda wa mkataba usizidi miaka 10 na iwe renewable
2. Apewe bandari moja au mbili na sio kupewa bandari zote za nchini
3. Akubali tusuluhishe mahakama za ndani kama mmojawapo akizingua
4. Kiwekwe kipengele cha kuvunja mkataba endapo itabidi
Yes uko sahihi sana
 
Mkataba upo wazi na utajadiliwa bungeni tarehe 10 /6
Tutege masikio na ikibidi tushiriki,kushauri na kukosoa
Lengo ni zuro ila mafisadi wanaogopa mirija kuzibwa
Hivi waarabu ni wa kuamini!?
Due diligence ya uhakika inahitajika! Tupate kwanza kama hakuna mgongano wa kimaslahi na hao wazanzibar wanaousukuma upite!.
 
Yafanyiwe kazi yafuatayo;
1. Mda wa mkataba usizidi miaka 10 na iwe renewable
2. Apewe bandari moja au mbili na sio kupewa bandari zote za nchini
3. Akubali tusuluhishe mahakama za ndani kama mmojawapo akizingua
4. Kiwekwe kipengele cha kuvunja mkataba endapo itabidi
Kwa uwekezaji huu mkubwa muda ni mchache.

Apewe miaka 90 Bandari moja ya Tanga.
Akifanya vizuri tumwongezee Bandari nyingine.
Akiharibu ni nafuu kwetu kesi tutaimudu hata kwa Kumlipa.

Lizingatiwe hili.
 
Back
Top Bottom