inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Sidhani Kama imewahi fanya biashara au wajua biashara...mtu aweke mifumo,ajenge Kisha umpe miaka kumi!?..kujenga tu miaka si chini ya mitatuMbona unamsemea huyo mwekezaji?
Yeye mwenyewe ataongea akiona haitoshi!
Ni issue ya negotiation tu!
Ila serikali yetu iweke offer ya miaka 10
Elimu ya uraia haisaidii chochote,wanaopewa dhamana Leo walisoma siasa na urai shule za msingi mpaka sekondariYapo mengi ila la muhimu
Tuhakikishe kila anaepewa eneo nyeti awe na elimu ya uraia na uzalendo wa kutosha
Uadilifu, khofu ya Mungu
Tanzania kwanza
Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake
Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi,
Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu?
Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja?
Angekuwa mzungu tungepinga?
We ndo huna kabisaaa, samahani lakini. Huelewi kitu zaidi ya kukaririMtoa maada akili kisoda..wakati wa magu kwani ilikuwa inaendeshwaje??.
Achana nae, hao ni sgWe ndo huna kabisaaa, samahani lakini. Huelewi kitu zaidi ya kukariri
Poleni sana kina upinde!Mwarabu hana tofauti na shetani ataigeuza Tanzania nchi ya magaidi km somalia
Yes uko sahihi sanaYafanyiwe kazi yafuatayo;
1. Mda wa mkataba usizidi miaka 10 na iwe renewable
2. Apewe bandari moja au mbili na sio kupewa bandari zote za nchini
3. Akubali tusuluhishe mahakama za ndani kama mmojawapo akizingua
4. Kiwekwe kipengele cha kuvunja mkataba endapo itabidi
Hivi waarabu ni wa kuamini!?Mkataba upo wazi na utajadiliwa bungeni tarehe 10 /6
Tutege masikio na ikibidi tushiriki,kushauri na kukosoa
Lengo ni zuro ila mafisadi wanaogopa mirija kuzibwa
Kwa uwekezaji huu mkubwa muda ni mchache.Yafanyiwe kazi yafuatayo;
1. Mda wa mkataba usizidi miaka 10 na iwe renewable
2. Apewe bandari moja au mbili na sio kupewa bandari zote za nchini
3. Akubali tusuluhishe mahakama za ndani kama mmojawapo akizingua
4. Kiwekwe kipengele cha kuvunja mkataba endapo itabidi