MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Kwa nini Chato na si Morogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeizidi CHATO kwa nini ebu toa izo sababu tujueAcha kuzunguka..wewe unataka chato iwe mkoa kwaajili ya kumuenzi Magufuli. Hakuna mjinga hapa, kama ni mkoa basi kahama ndio ianze kwanza kuwa mkoa. Maana imeizidi chato kila kitu!
We in unahis butiama panalingana na CHATO acha hoja na chuki zisizo namahana Mzee aliitengeneza CHATO ndo mahana haya yanatokea leoChato kama Chato haipo Sawa ni upendeleo wa kijinga kama itapewa hadhi hiyo.
Maendeleo yapi ya watu laki mbili wanaotaka kulishwa eti Njemba yao ilizaliwa pale au kahamia pale.
Basi tuanzie Butiama kwa Mwalimu Nyerere. Harafu labda tuende Lupaso kwa Mkapa.
Magufuli .
Idadi ya watu, vyanzo vya kiuchumi(mji wote umezungukwa na migodi ya dhahabu), taasisi za kutosha nkImeizidi CHATO kwa nini ebu toa izo sababu tujue
Vipi kuhusu majengo na ofisi za serikali zipo pia za kutosha kama vipo basi waanze na uku ila kama hakuna hakuna sababuIdadi ya watu, vyanzo vya kiuchumi(mji wote umezungukwa na migodi ya dhahabu), taasisi za kutosha nk
Usaliti ni jambo baya sana, sidhani km mwenda zake angekuwepo Tibaijuka and co ltd wangethubutu kusema wanayoyasema.Kabisa aisee.
Wanachomfanyia hayati sio sawa kabisaa..