OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
nadhani hata fisi wanapofanya eneo liwe makao makuu yao kuna mambo muhimu wanazingatia. sio maamuzi ya fisi mmoja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bifu na Mwalimu wake kuzulumiana lisingekuwepo mara paap mkoa wa Chato unajimega kuwa sehemu ya Rwanda.Chato ilijiandaa au Sukuma Gang Members ndio mnalazimisha Chato iwe mkoa?
Mimi niliwaonea wivu Sana warundi aisee pale covid ilipofanya yake nikasema Baba nasi tutembelee, hakika Mungu usikia maombi ya wengi yafananayo yaombwapo kwa unyoofu na akutuacha yatima.Magu alikuwa selfish sana, kosa kutwaliwa kwenye makazi ya milele jamaa kweli lisingetoka madarakani 2025, alikuwa hana hata chembe ya aibu
Unaweza kuweka mkoa shemu hata watu wanaoga mara mtatu kwa wiki?Kwanza umeedit ujumbe na kuni qoute hayo ni maneno yako na sii yangu, sina sababu ya kukuonea wivu, ila kufuata sheria na taratibu ndio jambo la muhimu na isiwe kama tuliko toka.
hii muvi ilikuwa imeandaliwa 2024Bifu na Mwalimu wake kuzulumiana lisingekuwepo mara paap mkoa wa Chato unajimega kuwa sehemu ya Rwanda.
Iwe mkoa so what, why CHATO?Mbona ni rahisi tu? Chato iwe makao makuu ya huo mkoa wa Chato na mkoa, Geita iendelee kuwa makao makuu ya wilaya na mji wa Geita. Nyakanazi Biharamlo na Kakonko ziacheni kama zilivyo.
Kwa sababu ya idadi kubwa ya watuChato kuwa Mkoa ni kupoteza rasilmali za Serikali. Hayo yalikuwa mawazo ya Magufuli na wazo hili ni la ubinafsi. Hata Kisesa na Katoro kuwa Wilaya ni wazo lake na pia upotevu wa rasilmali za Serikali. Kwa nini tu iwe Kanda ya Ziwa?.
hata kuuandika hapa ni potevu wa muda, CHATO iwe kijiji tu kama vijiji vingine,Ni upotevu wa pesa na rasilimali kuendelea na huu mchakato.
Yule alikuwa ni SHETANI kamili.Magu alikuwa selfish sana, kosa kutwaliwa kwenye makazi ya milele jamaa kweli lisingetoka madarakani 2025, alikuwa hana hata chembe ya aibu
Inawezekana hao wanaosukuma Hoja hii wana maslahi binafsi lakini isiwe kwa gharama ya mikoa mingine. Inaonekana Kati ya Geita na Chato kuna makundi yalikuwa yanashindana kuunda mkoa kimya kimya. Chato walijiiandaa vilivyo kwa kujenga miundombinu wakitegemea itakuwa rahisi, Geita wakawazidi ujanja Chato na hivyo kuwa mkoa.Iwe mkoa so what, why CHATO?
Acheni ujinga, ina mapato ya kujiendesha ama inategemea serikali kuu?
Hiyo burigi ishangiza zaidi ya watalii watano toka ianzishwe?
Mjinga sana huyu Kanyasi sijui Kanyasu. Ubinafsi tu unamsumbua. Chato iwe mkoa?????!Kigezo ni miundombinu?
Yule mtu angejaliwa miaka mitano mingine basi chato ingekuwa makao makuu ya nchi, kweli Mungu anajua yote.Mbunge wa Geita bwana Kanyasu amehojiwa na radio France idhaa ya Kiswahili amesema kwa sasa Chato ina miundombinu yote inayofanya iwe tayari kuwa mkoa.
Amewabeza wale wote wanaotaka Nyakanazi pawe makao makuu ya mkoa huo kwa kusema mji huo mdogo wa Nyakanazi hauna miundombinu yeyote ya kuufanya uwe mkoa.
Mungu in mwema siku zotekamili
Chato itabakia kuwa Gbadolite ya Tanzania. Mungu hakupenda ujinga na UPUMBAVU wa Mwendazake kuchukua raslimali za nchi na kwenda kuzirundika kijijini kwake Chato.mMbunge wa Geita bwana Kanyasu amehojiwa na radio France idhaa ya Kiswahili amesema kwa sasa Chato ina miundombinu yote inayofanya iwe tayari kuwa mkoa.
Amewabeza wale wote wanaotaka Nyakanazi pawe makao makuu ya mkoa huo kwa kusema mji huo mdogo wa Nyakanazi hauna miundombinu yeyote ya kuufanya uwe mkoa.
Gwabi ungeweka namba za sim nikutumie vocha.Inawezekana hao wanaosukuma Hoja hii wana maslahi binafsi lakini isiwe kwa gharama ya mikoa mingine. Inaonekana Kati ya Geita na Chato kuna makundi yalikuwa yanashindana kuunda mkoa kimya kimya. Chato walijiiandaa vilivyo kwa kujenga miundombinu wakitegemea itakuwa rahisi, Geita wakawazidi ujanja Chato na hivyo kuwa mkoa.