Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Inalazimishwa kwa nguvuChato ilijiandaa au Sukuma Gang Members ndio mnalazimisha Chato iwe mkoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inalazimishwa kwa nguvuChato ilijiandaa au Sukuma Gang Members ndio mnalazimisha Chato iwe mkoa?
Sasahivi wapo hoiGwabi ungeweka namba za sim nikutumie vocha.
Huo ndio ukweli, mjini ndio wanaitwa SUKUMA-GANG, si lazma awe msukuma ili ni GENGE lililokuwa limejipangia mgawanyo wa madaraka, na lilijipanga nchi hii isitioke kwenye mikono yao. iliongozwa na bwana yule na yule jamaa aliyempiga rungu la kichwa.
Hoja yako kuwa Tanzania haijawahi kuwa na tatizo la kugharamia watendaji wake,unasema uongo,Ili kujua tuna tatizo kubwa la kuendesha serikali angalia bajeti ya maendeleo,huwa haitoshi,mpaka tukope,wakati mwingine,pesa za maendeleo haziendi asilimia 100,inabidi zilipe mishahara,ndio maana tunaona tusiendelee kuongeza gharama,kinachotakiwa,Geita,Mwanza,Chato,zote ziwe chini ya Katibu tawala mmoja,Kilimanjaro,Arusha,Manyara,chini ya Katibu tawala mmoja,Kagera,Kigoma,vile vile,Dar,pwani,Morogoro nazo pia,Hoja kama NNE hivi zinatumiwa na watu wenye kupinga Chato kufanywa Mkoa. Bahati mbaya kwao, HOJA zote ni dhaifu. Kwa sababu hiyo, Chato isipokuwa Mkoa ni kwa sababu mwenye mamlaka (Rais) hapendi kuifanya kuwa Mkoa sio kwa sababu haina sifa. Chato ina sifa za kuwa Mikoa miwili sio mmoja.
Hoja zinazotumiwa kupinga Chato kuwa Mkoa na udhaifu wake;
1. Historia
Wanasema kwamba ramani inaonesha Chato ni sehemu ya Wilaya ya Bihalamulo Mkoa wa Kagera. Nadhani hapa wanajaribu kuonesha kwamba Chato haipaswi kuwa Mkoa wa kujitegemea nje ya Kagera. Ni bahati mbaya sana kwamba hizi ni fikra za Profesa. Kama watu hawa na historia zao wangesikilizwa tangu zamani, leo tusingalikua na Mikoa 31 kwa sababu tulianza na Mikoa 15 hivyo Mikoa mingine 16 imetokana na hiyo 15. Ni lazima Mikoa ya asili ikubali kuzaa Mikoa mingine ili nchi ichangamke. Hizi ni fikra potofu, dhaifu za kizamani. Historia haiwezi kutumika kama kingo za maendeleo badala yake historia itusaidie kuendelea sio kusimama tulipo, kutengeneza Mkoa ni maendeleo!! Hii hoja ya historia haipo, inakufa.
2. Udogo wa eneo
Sababu hii pia haipo, haina maana yoyote. Katika sababu na vigezo vya kuanzisha mamlaka za Serikali za Mitaa kigezo cha ukubwa au umbali wa eneo hakipo. Chato ikiwa na watu 300,000 na ukubwa wa Kilomita za mraba 10,000 halafu Tabora ikawa na watu 200,000 kwa kilomita za mraba 76,000 bado Chato itafaa kuwa Mkoa kuliko Tabora. Wenye hoja hii sijui wanaipata wapi, vigezo vikubwa katika kuanzisha Mikoa ni shughuli za uchumi na idadi ya watu. Zingine ni huduma za kijamii, basi. Hakuna kigezo cha ukubwa wa eneo wala urefu. Chato inaweza isichukue hata hizo Wilaya 1 Kigoma na 2 Kagera na bado ikastahili kuwa Mkoa kwa sababu ina idadi ya watu wenye kukidhi mahitaji. Kuzisogeza Wilaya hizo za Kagera na Kigoma ni kujali zaidi watu, kuwasogezea karibu huduma. Sababu hii ya ukubwa wa eneo haina maana yoyote, inakufa kabisa.
2. Ukabila
Ukisoma maoni yao au kuwasikiliza kwa makini wenye kupinga hoja ya Chato kuwa Mkoa japo hawasemi lakini wanasukumwa na Ukabila (ubinafsi). Wote ni watu wa Mkoa wa Kagera, wote wanasema historia ya Kagera itapotea ikiwa Wilaya za Bihalamulo na Ngara zitapelekwa Chato. Wanachosema hapo ni kwamba kuchukua Wilaya za Kagera ni kuvunja historia ya watu wa Kagera. Huu ndio ukabila wenyewe!! Hii ni sababu ya hovyo sana, sababu ya kibinafsi, kibaguzi na ni hatari kwa ustawi wa nchi ikiwa itaachwa iendelee. Tulianzisha Mikoa kama replacement ya tawala za ki-chief ili kuvunja Ukabila halafu watu wa Kagera wanaleta ukabila katika karne hii, tunapaswa kuwaonya.
3. Gharama za Uendeshaji
Wanasema ni gharama kuendesha Mkoa karibu na Mikoa mingine, Mkoa mdogo usio na sababu ya kuwepo. Wanasema wananchi watabebeshwa mzigo mkubwa kuhudumia isivyo na maana yoyote. Unaweza kujiuliza kama watu hawa wanaishi nchi hii. Huu ni uongo tu, Tanzania haijawahi kuwa na tatizo la gharama za kuendesha mamlaka zake. Tunahudumia ofisi za Wakuu wa Wilaya nchi nzima wasio na kazi, Wakuu wa Mikoa nchi nzima wasio na kazi, Mawaziri wasio na kazi yoyote.
Kwa vyovyote Mkoa wa Chato sio lolote katika gharama. Hii haiwezi kuwa hoja ya msingi kuzuia Chato kuanzishwa. Kwa kawaida kila jambo lina faida na hasara zake, Mkoa wa Chato utakua na faida na hasara zake. Kinachoitwa gharama ni fursa ya ajira kwa watu wetu. Kwa lugha nyingine hizo ndizo njia ambazo nchi yetu hutengenezea ajira zake. Kwa kuanzisha Mkoa wa Chato, tutaanzisha Idara zote za wataalam katika kada zote. Kuanzia elimu, afya, jamii hadi Polisi. Kwa kufanya hivyo tutapata nafasi ya kuajiri watu wetu, nchi yetu haina namna nyingine ya kutengeneza ajira zaidi ya hizo. Tunataka ajira halafu tunaogopa gharama za kutengeneza ajira, haiwezekani.
Kwa kifupi hakuna HOJA ya maana ya kuizuia Chato kuwa Mkoa. Ni watu wenye chuki na ukabila tu ndio wanaweza kupinga hoja hiyo. Wenye kuipinga hoja hiyo kwa sababu ni ahadi ya Rais Magufuli wanakosea pia. Hayati John Pombe Magufuli aliahidi na kutekeleza mambo mengi, aliahidi Barabara ya Morroco Dar, ikajengwa. Aliahidi Hospital ya Rufaa Dodoma (Uhuru) nje ya Ilani ikajengwa. Aliahidi Msikiti Mkubwa Dodoma na Uwanja wa Mpira vinajengwa.
Aliahidi vingi vingine vilikamilika vingine bado na vitakamilishwa. Ahadi zote hizo ni pamoja na Chato kuwa Mkoa, ni lazima tukamilishe ahadi za Rais. Rais akiahidi Urais umeahidi hata akifa ahadi inabaki Ikulu, Urais ni mamlaka sio mtu.Tuache longolongo tutekeleze ahadi Chato ni zaidi ya Mkoa mmoja.
#TutakuenziDaimaJPM.
MenukaJr .
Da'slama.
Mkuu bila hata vocha ni wajibu wangu kugawana madini na wengine kwa kile ninachokijua. Pamoja na kutokuwa mwanasiasa nafahamu hila zote zilizokuwa zimepangwa ila tukumbuke kuwa pembe la ng'ombe halifichiki mifikoni. Hii nchi ni yetu sote hivyo Keki ya taifa sharti igawanywe kwa usawa ili kuepuka lawama.Gwabi ungeweka namba za sim nikutumie vocha.
Huo ndio ukweli, mjini ndio wanaitwa SUKUMA-GANG, si lazma awe msukuma ili ni GENGE lililokuwa limejipangia mgawanyo wa madaraka, na lilijipanga nchi hii isitioke kwenye mikono yao. iliongozwa na bwana yule na yule jamaa aliyempiga rungu la kichwa.
CHADEMA inatokea wapi jamani! Watu wanajadili vigezo paunguani wengine wanakuja na upupu wao!Iwe ni kwa mujibu wa sheria kanuni na taratibu nasii upendeleo ama hisani.
Kwani mpaka leo huwajui wahaya na matatizo yao?wao kila kitu wanakijua ni ukabila ni uhaya ndo shida yao.mm napendekeza ila kuupunguza uhaya chato ipewe tu hadhi ya mkoa.OVAHoja kama NNE hivi zinatumiwa na watu wenye kupinga Chato kufanywa Mkoa. Bahati mbaya kwao, HOJA zote ni dhaifu. Kwa sababu hiyo, Chato isipokuwa Mkoa ni kwa sababu mwenye mamlaka (Rais) hapendi kuifanya kuwa Mkoa sio kwa sababu haina sifa. Chato ina sifa za kuwa Mikoa miwili sio mmoja.
Hoja zinazotumiwa kupinga Chato kuwa Mkoa na udhaifu wake;
1. Historia
Wanasema kwamba ramani inaonesha Chato ni sehemu ya Wilaya ya Bihalamulo Mkoa wa Kagera. Nadhani hapa wanajaribu kuonesha kwamba Chato haipaswi kuwa Mkoa wa kujitegemea nje ya Kagera. Ni bahati mbaya sana kwamba hizi ni fikra za Profesa. Kama watu hawa na historia zao wangesikilizwa tangu zamani, leo tusingalikua na Mikoa 31 kwa sababu tulianza na Mikoa 15 hivyo Mikoa mingine 16 imetokana na hiyo 15. Ni lazima Mikoa ya asili ikubali kuzaa Mikoa mingine ili nchi ichangamke. Hizi ni fikra potofu, dhaifu za kizamani. Historia haiwezi kutumika kama kingo za maendeleo badala yake historia itusaidie kuendelea sio kusimama tulipo, kutengeneza Mkoa ni maendeleo!! Hii hoja ya historia haipo, inakufa.
2. Udogo wa eneo
Sababu hii pia haipo, haina maana yoyote. Katika sababu na vigezo vya kuanzisha mamlaka za Serikali za Mitaa kigezo cha ukubwa au umbali wa eneo hakipo. Chato ikiwa na watu 300,000 na ukubwa wa Kilomita za mraba 10,000 halafu Tabora ikawa na watu 200,000 kwa kilomita za mraba 76,000 bado Chato itafaa kuwa Mkoa kuliko Tabora. Wenye hoja hii sijui wanaipata wapi, vigezo vikubwa katika kuanzisha Mikoa ni shughuli za uchumi na idadi ya watu. Zingine ni huduma za kijamii, basi. Hakuna kigezo cha ukubwa wa eneo wala urefu. Chato inaweza isichukue hata hizo Wilaya 1 Kigoma na 2 Kagera na bado ikastahili kuwa Mkoa kwa sababu ina idadi ya watu wenye kukidhi mahitaji. Kuzisogeza Wilaya hizo za Kagera na Kigoma ni kujali zaidi watu, kuwasogezea karibu huduma. Sababu hii ya ukubwa wa eneo haina maana yoyote, inakufa kabisa.
2. Ukabila
Ukisoma maoni yao au kuwasikiliza kwa makini wenye kupinga hoja ya Chato kuwa Mkoa japo hawasemi lakini wanasukumwa na Ukabila (ubinafsi). Wote ni watu wa Mkoa wa Kagera, wote wanasema historia ya Kagera itapotea ikiwa Wilaya za Bihalamulo na Ngara zitapelekwa Chato. Wanachosema hapo ni kwamba kuchukua Wilaya za Kagera ni kuvunja historia ya watu wa Kagera. Huu ndio ukabila wenyewe!! Hii ni sababu ya hovyo sana, sababu ya kibinafsi, kibaguzi na ni hatari kwa ustawi wa nchi ikiwa itaachwa iendelee. Tulianzisha Mikoa kama replacement ya tawala za ki-chief ili kuvunja Ukabila halafu watu wa Kagera wanaleta ukabila katika karne hii, tunapaswa kuwaonya.
3. Gharama za Uendeshaji
Wanasema ni gharama kuendesha Mkoa karibu na Mikoa mingine, Mkoa mdogo usio na sababu ya kuwepo. Wanasema wananchi watabebeshwa mzigo mkubwa kuhudumia isivyo na maana yoyote. Unaweza kujiuliza kama watu hawa wanaishi nchi hii. Huu ni uongo tu, Tanzania haijawahi kuwa na tatizo la gharama za kuendesha mamlaka zake. Tunahudumia ofisi za Wakuu wa Wilaya nchi nzima wasio na kazi, Wakuu wa Mikoa nchi nzima wasio na kazi, Mawaziri wasio na kazi yoyote.
Kwa vyovyote Mkoa wa Chato sio lolote katika gharama. Hii haiwezi kuwa hoja ya msingi kuzuia Chato kuanzishwa. Kwa kawaida kila jambo lina faida na hasara zake, Mkoa wa Chato utakua na faida na hasara zake. Kinachoitwa gharama ni fursa ya ajira kwa watu wetu. Kwa lugha nyingine hizo ndizo njia ambazo nchi yetu hutengenezea ajira zake. Kwa kuanzisha Mkoa wa Chato, tutaanzisha Idara zote za wataalam katika kada zote. Kuanzia elimu, afya, jamii hadi Polisi. Kwa kufanya hivyo tutapata nafasi ya kuajiri watu wetu, nchi yetu haina namna nyingine ya kutengeneza ajira zaidi ya hizo. Tunataka ajira halafu tunaogopa gharama za kutengeneza ajira, haiwezekani.
Kwa kifupi hakuna HOJA ya maana ya kuizuia Chato kuwa Mkoa. Ni watu wenye chuki na ukabila tu ndio wanaweza kupinga hoja hiyo. Wenye kuipinga hoja hiyo kwa sababu ni ahadi ya Rais Magufuli wanakosea pia. Hayati John Pombe Magufuli aliahidi na kutekeleza mambo mengi, aliahidi Barabara ya Morroco Dar, ikajengwa. Aliahidi Hospital ya Rufaa Dodoma (Uhuru) nje ya Ilani ikajengwa. Aliahidi Msikiti Mkubwa Dodoma na Uwanja wa Mpira vinajengwa.
Aliahidi vingi vingine vilikamilika vingine bado na vitakamilishwa. Ahadi zote hizo ni pamoja na Chato kuwa Mkoa, ni lazima tukamilishe ahadi za Rais. Rais akiahidi Urais umeahidi hata akifa ahadi inabaki Ikulu, Urais ni mamlaka sio mtu.Tuache longolongo tutekeleze ahadi Chato ni zaidi ya Mkoa mmoja.
#TutakuenziDaimaJPM.
MenukaJr .
Da'slama.
Mimi naomba mkoa wa Butiama, Lupilo na Msoga ikimpendeza mama nipate na mkoa wa Mkuranga. Ni hayo tu basi.Hoja kama NNE hivi zinatumiwa na watu wenye kupinga Chato kufanywa Mkoa. Bahati mbaya kwao, HOJA zote ni dhaifu. Kwa sababu hiyo, Chato isipokuwa Mkoa ni kwa sababu mwenye mamlaka (Rais) hapendi kuifanya kuwa Mkoa sio kwa sababu haina sifa. Chato ina sifa za kuwa Mikoa miwili sio mmoja.

Wewe unajua maeneo yenye idadi kubwa ya watu? Chato, ukilinganisha na baadhi ya maeneo, ni kijiji kikubwa.Kwa sababu ya idadi kubwa ya watu
Kilicho dhahiri, aliishi na roho ya shetani, huku wakati wote shetani akitenda kazi ndani yake.Chato itabakia kuwa Gbadolite ya Tanzania. Mungu hakupenda ujinga na UPUMBAVU wa Mwendazake kuchukua raslimali za nchi na kwenda kuzirundika kijijini kwake Chato.
Ndiyo maana akamdedisha. Magufuli alikuwa IBILISI.
Kama Chato inajitosheleza kwa nini ukamege Biharamulo kutoka Kagera na Kakonko kutoka Kigoma. Au Busanda toka Geita.
Huo ni uchizi wa kiwango cha juu kuliko aliifanya Mwendazake. Hatuwezi KUBARIKI makosa ya Magufuli ya matumizi mabaya ya raslimali za umma kwa kuharibu mizania ya Jiografia na historia ya watu wa Kugoma, Kagera na Geita.
Nyie akina Kanyasu si mumejengewa hizo hospitali na viwanja na hayo ma Zoo ya Burigi, basi bakieni nayo hivyo hivyo
Jamani ni wakati wa kumwezi Hayati JPM kwa yale aliyotenda na kutuasa. Hayati alishasema kuwa mambo ya kuongeza mikoa hayana nafasi tena YANAONGEZA UKUBWA WA BAJETI KIUTAWALA, hivyo sasa sio wakati wa kuongeza mikoa.
UKABILA NA UBINAFSI wa SUKUMA GANG.Hoja kama NNE hivi zinatumiwa na watu wenye kupinga Chato kufanywa Mkoa. Bahati mbaya kwao, HOJA zote ni dhaifu. Kwa sababu hiyo, Chato isipokuwa Mkoa ni kwa sababu mwenye mamlaka (Rais) hapendi kuifanya kuwa Mkoa sio kwa sababu haina sifa. Chato ina sifa za kuwa Mikoa miwili sio mmoja.
Hoja zinazotumiwa kupinga Chato kuwa Mkoa na udhaifu wake;
1. Historia
Wanasema kwamba ramani inaonesha Chato ni sehemu ya Wilaya ya Bihalamulo Mkoa wa Kagera. Nadhani hapa wanajaribu kuonesha kwamba Chato haipaswi kuwa Mkoa wa kujitegemea nje ya Kagera. Ni bahati mbaya sana kwamba hizi ni fikra za Profesa. Kama watu hawa na historia zao wangesikilizwa tangu zamani, leo tusingalikua na Mikoa 31 kwa sababu tulianza na Mikoa 15 hivyo Mikoa mingine 16 imetokana na hiyo 15. Ni lazima Mikoa ya asili ikubali kuzaa Mikoa mingine ili nchi ichangamke. Hizi ni fikra potofu, dhaifu za kizamani. Historia haiwezi kutumika kama kingo za maendeleo badala yake historia itusaidie kuendelea sio kusimama tulipo, kutengeneza Mkoa ni maendeleo!! Hii hoja ya historia haipo, inakufa.
2. Udogo wa eneo
Sababu hii pia haipo, haina maana yoyote. Katika sababu na vigezo vya kuanzisha mamlaka za Serikali za Mitaa kigezo cha ukubwa au umbali wa eneo hakipo. Chato ikiwa na watu 300,000 na ukubwa wa Kilomita za mraba 10,000 halafu Tabora ikawa na watu 200,000 kwa kilomita za mraba 76,000 bado Chato itafaa kuwa Mkoa kuliko Tabora. Wenye hoja hii sijui wanaipata wapi, vigezo vikubwa katika kuanzisha Mikoa ni shughuli za uchumi na idadi ya watu. Zingine ni huduma za kijamii, basi. Hakuna kigezo cha ukubwa wa eneo wala urefu. Chato inaweza isichukue hata hizo Wilaya 1 Kigoma na 2 Kagera na bado ikastahili kuwa Mkoa kwa sababu ina idadi ya watu wenye kukidhi mahitaji. Kuzisogeza Wilaya hizo za Kagera na Kigoma ni kujali zaidi watu, kuwasogezea karibu huduma. Sababu hii ya ukubwa wa eneo haina maana yoyote, inakufa kabisa.
2. Ukabila
Ukisoma maoni yao au kuwasikiliza kwa makini wenye kupinga hoja ya Chato kuwa Mkoa japo hawasemi lakini wanasukumwa na Ukabila (ubinafsi). Wote ni watu wa Mkoa wa Kagera, wote wanasema historia ya Kagera itapotea ikiwa Wilaya za Bihalamulo na Ngara zitapelekwa Chato. Wanachosema hapo ni kwamba kuchukua Wilaya za Kagera ni kuvunja historia ya watu wa Kagera. Huu ndio ukabila wenyewe!! Hii ni sababu ya hovyo sana, sababu ya kibinafsi, kibaguzi na ni hatari kwa ustawi wa nchi ikiwa itaachwa iendelee. Tulianzisha Mikoa kama replacement ya tawala za ki-chief ili kuvunja Ukabila halafu watu wa Kagera wanaleta ukabila katika karne hii, tunapaswa kuwaonya.
3. Gharama za Uendeshaji
Wanasema ni gharama kuendesha Mkoa karibu na Mikoa mingine, Mkoa mdogo usio na sababu ya kuwepo. Wanasema wananchi watabebeshwa mzigo mkubwa kuhudumia isivyo na maana yoyote. Unaweza kujiuliza kama watu hawa wanaishi nchi hii. Huu ni uongo tu, Tanzania haijawahi kuwa na tatizo la gharama za kuendesha mamlaka zake. Tunahudumia ofisi za Wakuu wa Wilaya nchi nzima wasio na kazi, Wakuu wa Mikoa nchi nzima wasio na kazi, Mawaziri wasio na kazi yoyote.
Kwa vyovyote Mkoa wa Chato sio lolote katika gharama. Hii haiwezi kuwa hoja ya msingi kuzuia Chato kuanzishwa. Kwa kawaida kila jambo lina faida na hasara zake, Mkoa wa Chato utakua na faida na hasara zake. Kinachoitwa gharama ni fursa ya ajira kwa watu wetu. Kwa lugha nyingine hizo ndizo njia ambazo nchi yetu hutengenezea ajira zake. Kwa kuanzisha Mkoa wa Chato, tutaanzisha Idara zote za wataalam katika kada zote. Kuanzia elimu, afya, jamii hadi Polisi. Kwa kufanya hivyo tutapata nafasi ya kuajiri watu wetu, nchi yetu haina namna nyingine ya kutengeneza ajira zaidi ya hizo. Tunataka ajira halafu tunaogopa gharama za kutengeneza ajira, haiwezekani.
Kwa kifupi hakuna HOJA ya maana ya kuizuia Chato kuwa Mkoa. Ni watu wenye chuki na ukabila tu ndio wanaweza kupinga hoja hiyo. Wenye kuipinga hoja hiyo kwa sababu ni ahadi ya Rais Magufuli wanakosea pia. Hayati John Pombe Magufuli aliahidi na kutekeleza mambo mengi, aliahidi Barabara ya Morroco Dar, ikajengwa. Aliahidi Hospital ya Rufaa Dodoma (Uhuru) nje ya Ilani ikajengwa. Aliahidi Msikiti Mkubwa Dodoma na Uwanja wa Mpira vinajengwa.
Aliahidi vingi vingine vilikamilika vingine bado na vitakamilishwa. Ahadi zote hizo ni pamoja na Chato kuwa Mkoa, ni lazima tukamilishe ahadi za Rais. Rais akiahidi Urais umeahidi hata akifa ahadi inabaki Ikulu, Urais ni mamlaka sio mtu.Tuache longolongo tutekeleze ahadi Chato ni zaidi ya Mkoa mmoja.
#TutakuenziDaimaJPM.
MenukaJr .
Da'slama.
Na uwe mkoaHoja kama NNE hivi zinatumiwa na watu wenye kupinga Chato kufanywa Mkoa. Bahati mbaya kwao, HOJA zote ni dhaifu. Kwa sababu hiyo, Chato isipokuwa Mkoa ni kwa sababu mwenye mamlaka (Rais) hapendi kuifanya kuwa Mkoa sio kwa sababu haina sifa. Chato ina sifa za kuwa Mikoa miwili sio mmoja.

Hoja za kipumbafu sana hizi, na yeyote anayeziunga mkono ana akili ndogo kama PIRITONI.Hoja kama NNE hivi zinatumiwa na watu wenye kupinga Chato kufanywa Mkoa. Bahati mbaya kwao, HOJA zote ni dhaifu. Kwa sababu hiyo, Chato isipokuwa Mkoa ni kwa sababu mwenye mamlaka (Rais) hapendi kuifanya kuwa Mkoa sio kwa sababu haina sifa. Chato ina sifa za kuwa Mikoa miwili sio mmoja.