Wanaopinga kuanzishwa mkoa wa Chato hawana hoja

Sasahivi wapo hoi
 
Hoja yako kuwa Tanzania haijawahi kuwa na tatizo la kugharamia watendaji wake,unasema uongo,Ili kujua tuna tatizo kubwa la kuendesha serikali angalia bajeti ya maendeleo,huwa haitoshi,mpaka tukope,wakati mwingine,pesa za maendeleo haziendi asilimia 100,inabidi zilipe mishahara,ndio maana tunaona tusiendelee kuongeza gharama,kinachotakiwa,Geita,Mwanza,Chato,zote ziwe chini ya Katibu tawala mmoja,Kilimanjaro,Arusha,Manyara,chini ya Katibu tawala mmoja,Kagera,Kigoma,vile vile,Dar,pwani,Morogoro nazo pia,
We kwa akili zako,lini ulisikia USA,au UK imegawa state moja kutengeneza state nyingine?kama wenye hela hawaongezi mzigo wa mishahara,kwanini sie?
Harafu kusema njia pekee ya kutengeneza ajira,ni kuongeza watumishi, Hizi ni akili mfu,zilizokufa.
Unahitaji viwanda,na sekta binafsi kuongeza ajira,kuongeza RPC,DAS,RAS,Kuna ongeza vp mapato ya nchi?
 
Mkuu bila hata vocha ni wajibu wangu kugawana madini na wengine kwa kile ninachokijua. Pamoja na kutokuwa mwanasiasa nafahamu hila zote zilizokuwa zimepangwa ila tukumbuke kuwa pembe la ng'ombe halifichiki mifikoni. Hii nchi ni yetu sote hivyo Keki ya taifa sharti igawanywe kwa usawa ili kuepuka lawama.
Nimefika Chato na kujionea kilichokuwa kinapangwa, ni kweli jamaa alikuwa amejipanga kuistaajabisha Dunia, naona alifuata nyayo za PK na M7 katika kupata maendeleo, ila dosari moja tu niliyoiona ni upendeleo na kubebana, mengine tungeweza kumezea..... Hebu angalia hii!.

 
Kwani mpaka leo huwajui wahaya na matatizo yao?wao kila kitu wanakijua ni ukabila ni uhaya ndo shida yao.mm napendekeza ila kuupunguza uhaya chato ipewe tu hadhi ya mkoa.OVA
 
Mimi naomba mkoa wa Butiama, Lupilo na Msoga ikimpendeza mama nipate na mkoa wa Mkuranga. Ni hayo tu basi.
 
Kilicho dhahiri, aliishi na roho ya shetani, huku wakati wote shetani akitenda kazi ndani yake.

Ameondoka duniani lakini ibilisi aliyeishi ndani yake, bado anaishi na kutenda kazi katika mioyo ya wafuasi wake.

Hakika nawaambieni, hakuna mtawala mwenye Roho wa Mungu anayeua watu wake, anayeteka na kupoteza watu wake, anayebagua watu wake.

Marehemu alitapanya mali za umma kwa ubinafsi wake, kwa kupendelea kijiji chake. Akajiona mshindi wa kila kitu. Hakujua kuwa juu yetu sote yupo mkuu kuliko wote. Huyu ndiye aliyemwambia yule tajiri ..... mpumbavu wewe, usiku wa leo, naitaka Roho yako. Uwanja wa ndege wa kimataifa hakuufaidi, bohari kuu ya madawa ya kanda hakuifaidi, bank ya CRDB aliyolazimisha ijengwe hakuifaidi, mbuga ya wanyama ya kutengenezwa hakuifaidi, hospitali ya rufaa ya kanda hakuifaidi, uwanja wa mpira wa kisasa hakuuona.

Mbaya zaidi, wafuasi wa mwendazake bado wamepigwa upofu, hata hawajifunzi chochote kutokana na matendo makuu ya Mungu. Wamefungwa ufahamu ili watazame lakini wasione, wasikilize lakini wasisikie. Hawa ni lazima wataionja sehemu ya adhabu ya uovu ule wa aliyetutangulia maana wamenyimwa hekima na ufahamu.
 
Unajenga hospitali ya rufaa inayozidi Bugando kwenye kijiji cha Chato, Unajenga uwanja wa ndege kwenye kijiji cha Chato. Sasa hivi ndege gani inatua pale?.
 
UKABILA NA UBINAFSI wa SUKUMA GANG.

NOTE:Sukuma-gang inajumuisha watu wa kabila zote walio jitoa ufahamu na kutaka kuifanya hii nchi ni jamhuri ya Sukuma bila kujali ina zaidi ya makabila 136.
Mungu si adhumani akafanya mpango ushindikane.
Hata Sabaya ni Sukuma Gang, na kuna WAsukuma Wengi si-Sukuma Gang.
 
Na uwe mkoa
 
Mkoa huu kama makao makuu yangewekwa nyakanazi ingekuwa vizuri sana sema chato nako mbali kutoka ngara mkuu
 
Hoja za kipumbafu sana hizi, na yeyote anayeziunga mkono ana akili ndogo kama PIRITONI.

Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge, bado unataka utushawishi TUBARIKI MAKOSA yake kwa kuipa Chato hadhi ya Mkoa?? You are not serious.

Mungu ametuepushia hiyo DHAHMA kwa kuchukua roho ya mtu mwongo, mwizi na katili na mbinafsi ili tujipange vizuri, kama tutaupa Chato hadhi ya mkoa itakuwa ni KUFURU kwa Mungu wetu.

Ile Chato ni ya kubaki hivyo hivyo kama GBADOLITE ya Mobutu, ili vizazi vijavyo vije vitambue kuwa tukiwahi tawaliwa na mtu KICHAA kwa miaka 5 na siku 131
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…