Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kubatiza watu wazima wanaojitambua, mtoto hana uchaguzi bado. Yesu alibatizwa akiwa anajitambua.Soma biblia yako katika andiko hilo la 1tim 2:5 kwamba mpatanishi kati ya wanadamu na Mungu ni mmoja naye ni Yesu kristo. Sio nabii wala mchungaji wala padre.
Ukija kwenye mada ya ubatizo ni pana tutakuja kwenye ubatizo upi ni sahihi, wa maji mengi (aliobatizwa Yesu) au maji machache (mnaobatiza nyie) na ubatizo upi sahihi, kubatiza watoto wadogo au kubatiza watu wazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu
Kweli mkuu maandiko yako wazi ni uvivu wetu kuyasoma na kumtafakari Mungu, ukisoma mathayo 7inafafanua Sana tu
Pole sana!Imepenya hiyo.Hayo ya Walutherani sijui walokole achana nayo.Timu yako Wewe ndiyo inajitia kichwa maji.
Ndio hajielewi sasa!Hahaah sasa mkuu tupo kwenye uhalali wa mapadri kusamehe watu dhambi! Wewe unakimbilia kwa wasabato! Hii maada inawahusu hao wasabato?
Umejibiwa vizuri sana!Usichoelewa ni usiku wa giza. Umeorodhesha usiyoyaelewa ukidhani umeelewa. Kama unataka uelezwe uliza ujibiwe na ufanye uchunguzi kwa kusoma mafundisho Katoliki kuliko kukurupuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu nakuonea huruma sana! Kama Wewe ni msomaji mzuri wa biblia usingesema hivyo ! Ila Roho wa Mungu akupe akufunguliwe ufahamu wa kuelewa neno lakeUnajua chimbuko la neno Padre? Hii ni tafsiri tu ya neno Priest, Kuhani,Sacerdode na limetumika kuanzia Agano la Kale kwa mfano Kuhani Melkizedeki aliyetoa sadaka ya mkate na divai kwa Abrahamu.
Little knowledge is very dangerous my brother be careful.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu kapige maswaki..unajiabisha tuu hapa...Ndugu yangu nakuonea huruma sana! Kama Wewe ni msomaji mzuri wa biblia usingesema hivyo ! Ila Roho wa Mungu akupe akufunguliwe ufahamu wa kuelewa neno lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mungu akurehemu nduguWalokole hawajui maandiko inashangaza mtu anakosoa neno kristu au kristo. Hili ni neno moja Tu yani kiebrania na kigiriki. Ni sawa walokole mnavyotamka mesiya na sisi wakatoliki masiha zt ni lugha Tu. Nawashauri sana walokole acheni kujiinua kujifanya nyie malaika wakti matendo yn tunayaona mtaani hamuishi vzr na jamii hata kdg. Mnapenda mungu mnamchukia kiumbe chake binadamu wakti yesu alisema mpende jirani yko km unavyojipenda mwenywe. Walokole ndgu zangu acheni kujikweza bila kanisa katoliki msingeipata biblia wengine mmesomeshwa na wakatoloki Leo mnalipiga mawe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wakatoliki wasingekuwepo kusingekuwa na hiyo biblia? Pole sana nduguKwani wewe unatumia nini...??
Hujui hata Biblia ni mali ya hao Wakatoliki...??
Wao ndio walivipa majina na verses vitabu vya Biblia...
Endendelea kushangaa feri
Pole sana ukweli unauma tuMkuu hebu kapige maswaki..unajiabisha tuu hapa...
Halafu unajaza serva za JF tuu
Siyo biblia tuu.....No Catholicism no Christianity......Ukristo ndio Ukatoliki wenyewe kama ulikuwa hujui..Kwa hiyo wakatoliki wasingekuwepo kusingekuwa na hiyo biblia?
Nje ya mada kidogo: Hivi unaijua mantiki ya kenge kukwepa matone ya mvua na kuingia mtoni? Au na we ni miongoni mwa wanaomuona kenge ni mpumbavu kumbe ni super genius.Msimamo kama wa Kenge? Kwamba yeye hawezi kuona tofauti kati ya maji ya ziwani au mtoni na yale ya Mvua?
Na yale makanisa saba Yesu aliyomwambia Yohana kwenye kitabu cha ufunuo yametoka wapi? Je mbona Jina Katoliki halimo humo kama ndilo kabisa la kwanza unavyojidai? Umekurupuka ndugu yanguSiyo biblia tuu.....No Catholicism no Christianity......Ukristo ndio Ukatoliki wenyewe kama ulikuwa hujui..
Sihitaji huruma ya binadamu bali ya Mungu tu. Wewe onea huruma familia yako na roho yako.Ndugu yangu nakuonea huruma sana! Kama Wewe ni msomaji mzuri wa biblia usingesema hivyo ! Ila Roho wa Mungu akupe akufunguliwe ufahamu wa kuelewa neno lake
Sent using Jamii Forums mobile app