Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kubatiza watu wazima wanaojitambua, mtoto hana uchaguzi bado. Yesu alibatizwa akiwa anajitambua.Soma biblia yako katika andiko hilo la 1tim 2:5 kwamba mpatanishi kati ya wanadamu na Mungu ni mmoja naye ni Yesu kristo. Sio nabii wala mchungaji wala padre.
Ukija kwenye mada ya ubatizo ni pana tutakuja kwenye ubatizo upi ni sahihi, wa maji mengi (aliobatizwa Yesu) au maji machache (mnaobatiza nyie) na ubatizo upi sahihi, kubatiza watoto wadogo au kubatiza watu wazima
Sent using Jamii Forums mobile app